Nape adai kwamba 2025 hakutakuwa na goli la mkono

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,780
218,404
Akizungumza leo Jijini Dar es Salaam , tena Mbele ya Rais Samia , Nape Nnauye amesema kwamba kutokana na mradi wa Mawasiliano unaoenda kusambazwa vijijini kote , basi bila shaka kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 Hakutakuwa na goli la mkono .

Sisi tuliosema CCM haikushinda Urais wala Ubunge kwenye Majimbo Mengi yakiwemo majimbo ya Mbeya Mjini , Mtama na Rwangwa tuombwe radhi kwa kejeli zote tulizoelekezewa .

Toa Maoni yako .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ina maana hajaenda msibani?
 
Nape kavurugwa na kachoka kulitumikia chama!

Anajua FIKA bila mishe chama hakitoboi hata sisi wanaccm tunajua tangu 2010 ni mwendo wa kubebwa na dola tu!!!

amekata tamaa !nadhani atulie azike kwanza!halafu atulize moyo !

kufiwa ni kufiwa tu na kifo kipo siku zote!

Mungu ibariki TANZANIA nchi yetu niipendayo SANA!
 
😅😅😅hilo linajulikana
 
Nape kachoka kama yule afande John Guru wa Zimbabwe😅
 
Back
Top Bottom