hivi nape anapaka carolite , midomo mweusiii au ni picha tu
Samahani, mbona hii ni kama zizi la nguruwe! Au macho yangu yananidanganya!.
fegi izo....hivi nape anapaka carolite , midomo mweusiii au ni picha tu
kuna wazazi wana raha kweli..swala la kumnunulia mwanae nguo halipo kichwani mwake
siku kipata hedhi anavaa nini? matambara yenyewe siyaoni humo..au majani?Wengi wa wazazi wa watoto hawa unawakuta wao wenyewe wamevaa MASURUMPWETE...Hela ataipata wapi ya kumnunulia mwanae nguo hali yeye mwenyewe mzazi anatembea kalio moja liko njee kutokana na matobo kwenye suaruali??!!
Hali vijijini huko si nzuri kabisaaa!!!! Hapa inawezekana hawa wamevaa BEST SUNDAY zao hapo!!!!! Ndio wamejikwatua kwa kupiga picha
Naomba wanajamvi tuwe fair kidogo , kwani hizi picha ni za watanzania, nimechanganyikiwa baada ya kuziona, hivi hali kumbe ndo iko hivyo ?
fegi izo....
Tena juha umempendelea sana,hilo ***** kabisa!!!mnakaa dar hapa unaona picha hizo za somalia!!Hata dar huijui!!Unafahamu kuna wilaya ya ilala vijijini na watu hawa wengi tu !!Mijitu mibishi inanikera sana mimi,sijui tuifanyaje!!!Nenda mikoani huko utaona vituko kama sio vioja.Umezaliwa mjini umekulia mjini,utayajua wapi ya vijijini juha wewe.
Nadhani zimepigwa miaka 50 baada ya uhuru.hizi picha zilipigwa miaka 50 kabla ya uhuru.
imepigwa last yearNadhani zimepigwa miaka 50 baada ya uhuru.