Fungua bahasha yako.

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,496
37,789
Nimepata Taarifa toka nje ya Bunge hili kwamba Waheshimiwa Wabunge mmepewa bahasha. Hebu Mheshimiwa fungua bahasha yako!
Mhe: Bahasha yangu ni nyepesi siwezi kununulika Kwa bahasha nyepesi namna hii!!!

Hili ni igizo la Spika asiye na aibu akiongoza sinema ya uuzaji wa bandari.
Kwamba kuna Mtanzania Mtu mzima tena mwakilishi wa Wananchi aliyesoma na kuhitimu, Hadi Leo hajui msemo wa kupewa bahasha Tanzania hii unamaanisha nini?
Spika kujifanya director wa Fulamu bungeni ni kuwaona Watanzania wote Hakuna mwenye akili kulinganisha na Wabunge hawa wa kuteuliwa.
 
Back
Top Bottom