NAPE fungua hapa kuna zawadi yako

outwardly utaona hivyo lakini mkuu sio mpaka uende kijijini tu kwani hata miji kama DSM kuna watu wanaishi maisha haya. Kikubwa ni kukata tamaa ya maisha, mtoto ana nguo mbili za kutembelea! Nafikiri unaicheck hiyo 4x4 kwa nyuma!
kuna wazazi wana raha kweli..swala la kumnunulia mwanae nguo halipo kichwani mwake
 
190397_115568648518471_100001960098301_122797_6121656_n.jpg
St ulaaniwe hizi picha umetengeneza mwenyewe.....ili kuiponda serikali tukufu ya CCM....

images

tena na ukome iam busy an scrub....
 


In Which country are these innocent children are coming from?
Usikute ni TZ ambapo serikali ikiwa na huruma na utu kwa angalau asilimia 1% na kuuza shangingi moja malaika wa namna hii across TZ wanaweza kujengewa shule zisizopungua hata 15. Poleni watoto sijui kama kwa namna hii mtafika huku tuliko ila kama serikali imeshindwa kuwasaidia Mungu atawasaidia kwani huwa hawatupi waja wake.
 
Hommie kusema ukweli inatia uchungu sana... halafu kajamaa kanapita kanachekacheka tu!!
Acha tu yaani ukiwasikia kule bungeni unaweza kutapika yaani jitu linatumia dakika kumi kati ya kumi na tano kusifia ujinga wakati kule kijijini watu wanakufa kwa njaa!!
 
Back
Top Bottom