Nape: Dhambi ya ubaguzi inaimaliza CHADEMA!

Nape: Dhambi ya ubaguzi inaimaliza CHADEMA!

Wakati unatupa madongo yasiyo na mashiko kwa Watanzania ambao hawajui leo au kesho watakula nini. Tafakari na hili kuwa dhambi kubwa inayoitafuna CCM ni uisadi ambao ndani ya CCM hakuna mwenye ubavu wa kuikemea na kuwawajibisha wahusika. mgawanyo usio sawa wa raslimali za nchi.
Juzi ilikuwa kichekesho Mzee mzima wa porini kwenye mahojiano yaliyorushwa na Star TV kuhusu kukua kwa uchumi wa Tanzania. Aliambiwa na msikirizaji mmoja kuwa hapo alipo amekuja na gari la 300m huku mama yake huko kijijini anatembea umbali wa 20km kutafuta maji ambayo hata akiyapata si salama. Na akiugua hawezi hata kupata dawa.
Jamaa alijibu kwa kejeli kuwa kwanza hilo gari si lake ni la serikali na hawezi kuacha kulitumia. Huo ndio umbumbumbu wa viongozi wetu wanafikiri wananchi wataendelea kuwa wajinga daima. Hoja haikuwa kwamba gari ni mali yake, bali ni kwa kiongozi makini kuona umuhimu wa kuwafikiria wananchi kwanza kwa kutatua matatizo yao, badala ya kujipendelea kwa kutumia vifaa vya gharama kubwa inayotokana na kodi zao ambapo ingewezekana kabisa kutumia gari ya gharama nafuu ili zipatikane pesa za kuwahudumia wananchi.
 
Katibu wa NEC-CCM Nape NNauye ambaye vile vile ni Mkuu wa Itikadi na Uenezi, ametoboa siri ya kifo cha CHADEMA kuwa kitatokana na ubaguzi kati ya wananachama wake.

Ingalau magazeti mawili yamemnukuu akikomelea msumari katika tofauti zinazojitokeza hivi sasa ndani ya CHADEMA.Gazeti la Majira (21/1/2013) lenyewe limedai kwamba :

"Nape afichua siri za kifo cha CHADEMA, na kudai-hakuna dawa ya kutumia lazima kife-ameendelea kudai ni laana ya Nyerere, wasitafute mchawi"

...

My take

Wana CHADEMA huo ni msumari unaoweza kuwa mkuki moyoni.
Jisahihisheni kabla hamjafa kweli.
(NB wale wenye matusi chukueni likizo)

Hizi kauli zimekaa kishirikina zaidi kuliko kimantiki. Ushabiki wa aina hii hautusaidii katika mijadala ya maana hapa. Aidha, kwa aina ya ajira ya Nape na mwenendo wa kauli zake ni vigumu sana kuziingiza kwenye mjadala makini. In short, he is not a person to quote.
 
ccm watazomewa sana na tena bado maana ujinga wanaoufanya wengi tulisha usitukia miaka mingi iliyopita ukikuta mtu anang'ang'ania kurudi ccm alikuwa ametoka basi akili yake inabidi apimwe na kunauwezekano kama anafamilia basi watoto alionao sio wake
 
Sioni jipya. Kama mtazamaji,naona hayo yanayotokea CHADEMA ni matatizo "cosmetic". Sijaona hata mtu mmoja amechambua sera za CHADEMA na kusema ya kuwa ni mbaya na au hazitufai kupeleka Tanzania huko tunakotaka iende. Sanasana ninayoona ni vijimananeno vya kijiweni na au maneno yanayostahili kuitwa maneno udaku. Hivi, leo hii watu wenye akili timamu wanaweza kukaa chini na kuanza kujadili swala la Dr. Slaa kuwa na kadi ya CCM kama ni issue inayopaswa kujadiliwa? Au kukaa chini na kujadili mamboya kupandikizapandikiza au ya kuhisihisi anayosema Nape? . Eti walianza na Wangwe ... na sasa wanamuandama Zitto Kabwe. Halafu ukiuliza ushahidi hamna. This is preposterous!!. Are we this low and light headed?

Hii inadhihirisha ni kwa jinsi gani Tanzanania tumewekeza kwenye mambo ya kipuuzi na kuzalisha watu wapuuzi ambao kila kukicha kazi yao ni kuchambua na kujenga hoja za kipuuzi. Mambo ya kipuuzi

Mkuu siasa ndivyo zilivyo dunia nzima, usitegemee kwamba watu watadiscuss mambo magumu tu, hata mepesi yaweza kubadili mwelekeo wa siasa.

Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita Reaga alipokutana na Gorbachev baada ya kutambiana kwa muda muda mrefu, Dorbachev alipepesa macho na hiyo ilimpa ushujaa wa kutosha Reagan.

Reagan alitamba" He blinked first"
Na ikawa issue kubwa kisiasa.

Wa kumwelewa walimwelewa.
 
Hizi kauli zimekaa kishirikina zaidi kuliko kimantiki. Ushabiki wa aina hii hautusaidii katika mijadala ya maana hapa. Aidha, kwa aina ya ajira ya Nape na mwenendo wa kauli zake ni vigumu sana kuziingiza kwenye mjadala makini. In short, he is not a person to quote.
Mkuu kama wewe unaikalia siasa kwenye chungu shauri lako!
 
Kwanza kabisa masopakyindi nikufahamishe kwamba ccm haijengi nchi na wala haiongozi hii nchi, kinachofanyika ni kwamba mnaitafuna na kuitawala. Katika hili mmeshapoteza legitimacy yenu kwa watanzania.

Pili usidanganye watu kwamba mnajibu mashambulizi ya vyama vingine kama Chadema na cuf. Hawa cuf mnashirikiana kuendesha serikali kule zenji na tangu wakati huo hatujawahi kuwasikia viongozi wenu wa ccm wakipanda kwenye majukwaa ama mashabiki wa ccm kwenye mitandao wakiishambulia cuf.

Tunachoshuhudia kila kukicha si kwa viongozi tu bali hata wapenzi, mashabiki pamoja na vibaraka wa ccm ni kuishambulia Chadema tu kila uchao. Kiongozi yeyote wa ccm akizungumza na wanaccm wenzake bila kuitaja Chadema anaweza kupondwa mawe. Hata mzee wassira alijipatia kura za kishindo akiwania ujumbe wa nec kwa ahadi kwamba yeye ndiye kiboko ya Chadema!! kwamba imefika mahali wanaccm wakiisikia Chadema wanaumwa matumbo ya kuhara!!

Kama haitoshi ccm mmeamua kutenga fungu maalum la kuendesha propaganda chafu dhidi ya Chadema kwa kuwalipa waandishi wa habari wa magazeti, televison na wamiliki wa mitandao ya kijamii ili wawasaidie kufanya propaganda chafu. Mmekwenda mbali kiasi cha kuajiri vijana na kuwapatia vitendea kazi (computer) ili wakeshe mitandaoni kuwatukana viongozi wa Chadema.

Kwanini hizo nguvu msizielekeze kwenye kutekeleza ilani yenu ya uchaguzi ili wananchi wenyewe wajionee maendeleo mliyowaletea badala ya kuzungusha mawaziri mikoani kuyatetea maendeleo yasiyoonekana? hivi kweli kiongozi mzima na akili yake anawaambia wananchi kwamba ccm imeleta maendeleo mwanza kwakuwa sasahivi kuna mabugando mengi tofauti na ilivyokuwa hapo awali!!??
Mkuu bahasha yako ipo, nakuweka kiporo kwanza.
 
Npe aanza kufunga virago

nape nauye rudi ccj mapema maana unaona kasi ya mheshimiwa mtarajiwa edward lowassa anavyong'ara.wahenga walisema usitukane wakunga na uzazi ungalipo,ulimkashifu sana lowasa ukamuuta fisadi,ukamuta gamba ndani ya chama ukampa siku 90. Sasa nape kikwete anaondoka 2015 na lowasa anongoza ngome ya ccm kwa ukweli weka hii taarifa vizuri utasahaulika ndani ya ccm na utajutia domo kaya lako,if u don't believe call me na nikupe data zako zote.pole sana maana chadema hawatakuchukua maana wewe na nchemba ni member wa masalia labda cuf tu.lowasa ni kiongozi jasiri aakayeweza kufukuza wapuuzi wote ndani ya ccm viva lowasa. ccm mnajua bila ya lowassa na kundi lake hamna pesa za kuendesha chama.[COLOR=#49535A !important] +447534130796

 
“Never interrupt your enemy when he is making a mistake.”

CHADEMA KWANI IKIFA NI YA MAMA YAKO? SASA UTUACHE TUENDELEE NA MAKOSA YETU KAMA HAYAKUHUSU YANAKUKERA NINI!
 
“Never interrupt your enemy when he is making a mistake.”

CHADEMA KWANI IKIFA NI YA MAMA YAKO? SASA UTUACHE TUENDELEE NA MAKOSA YETU KAMA HAYAKUHUSU YANAKUKERA NINI!

Du wewe una matatizo
Na pengine utueleze kama mama yako wewe alipoenda labour alizaa CHADEMA.
 
masopakyindi,

..Nape na CCM wako busy kuwashambulia CDM wakati nchi inasambaratika.
 
Last edited by a moderator:
Wabunge baadhi wa chadema hakika ni malimbukeni na wapuuzi kwelikweli hivi mbunge anayesifiwa ni kiongozi anamvalisha raia nguo za jeshi nakupiga nae picha na mashabiki wa chadema walivyo wapuuzi ,wajinga na mambumbumbu wakasifia ooooooh hata jeshi liko na peoples power ,,,,,pumbavu sana ,,,kumbe wamemtengeneza wapate umaarufu wa kipuuzi ....ukitaka kujua vijana wa chadema ni malimbukeni wa kisiasa na hawana upeo kuona hatari ya huu upuuzi wote wakawa mashabiki pumbavuuuuuuuu ,,,,,,,,leo kijana kala miaka minne wote wamemkimbia na kunyuti ,,,,,,,sasa hapa kuna kiongozi wa maana hapa utoto wa kipuuuzi kabisa alafu unashabikiwa na wapuuzi wenzao ,,,,,,,,tatizo uhuni mwingi sio weledi chadema siku zote mbowe imelala hekima na utulivu sio hawa mahayawani
 
Umebugi meen!
Nimeweka source kwenye habari pamoja na page number kwa ajili ya mnaosoma vichwa tu bila kusoma habari yenyewe.

Siku hizi umeanza biashara ya kununua magazeti,na wahariri wao,yale ambayo yameonesha dhahiri kuwabana katika harakati zenu za kuturudisha kwenye single part system with no democracy umeyafungia kwa sababu ambazo ata ukienda milembe kuwaeleza vichaa wanakukatalia tena wanakufukuza (na baada ya kujiuliza utasema vichaa tu wale),sasa hivi kama chama umeshindwa kuisaidia serikali sasa unafikiri propaganda is only deal (tambwe hiza alishindwa) jengeni nchi nyie vichaa.
 
Mbona hujamalizia....hao waliokuwa wanaambiwa hayo walimshangilia au walimzomea???
 
ZITTO ameisha wajibu. Mradi wa gesi duniani kote ni 1.2mill/mile,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Tanzania chini ya ccm ni 2.2mill/km

Unajua mile ni kubwa kuliko km yaani ni hivi

1mile = 1.6093km (source >>>Miles to Kilometers conversion)

Kwa pesa halali ya ujenzi bomba la gesi kama Zitto alivyoeleza katika vipimo vya km (kilometre) ni U$.745,667.00 kwa kilometre moja (U$745,667.00/km). Wakati kwa viwango visivyo halali vinavyoelezwa hapa ni kuwa U$ 2,200,000.00 kwa kilometre moja (U$2,200,000.00/km).

Kwa hiyo kwa kila kilometre moja itakayounganishwa bomba la kusafirisha gesi basi kuna hela isiyo halali itakayo liwa na wajanja ambayo ni U$ 1,454,334.00, (U$1,454,334.00/km)

Sasa jiulize ni kilometre ngapi zitajengwa za bomba la gesi kutoka Ntwara mpaka Daslaam. Ukizipata hizo kilometre uzidishe na hizo hela zitakazoliwa na wajanja kwa kila kilometre ili upate jumla kuu ya pesa zitakazo liwa na wajanja. Na ukishakupata jumla kuu hiyo ifikirie ingeweza kutataua kwa kiwango gani kero za watanzania kwenye afya na elimu.
 
katibu wa nec-ccm nape nnauye ambaye vile vile ni mkuu wa itikadi na uenezi, ametoboa siri ya kifo cha chadema kuwa kitatokana na ubaguzi kati ya wananachama wake.

Ingalau magazeti mawili yamemnukuu akikomelea msumari katika tofauti zinazojitokeza hivi sasa ndani ya chadema.gazeti la majira (21/1/2013) lenyewe limedai kwamba :

"nape afichua siri za kifo cha chadema, na kudai-hakuna dawa ya kutumia lazima kife-ameendelea kudai ni laana ya nyerere, wasitafute mchawi"

page 4 ya gazeti hili linaendelea

"alisema(nape) ubaguzi ulioota mizizi kwa muda mrefundio unakimalizachama hichoambao umelelewa na waasisi pamoja na viongozi wa kitaifa hivyo kina haki ya kufa kutokana na dhambi hiyo"

aliendelea...

"hamuwezi kuwa na chama ambacho kinaendekeza ubaguzi..ili kiongozi wake adumu na kuheshimika lazima atoke ukanda fulani au ukoo fulani vinginevyo anasukiwa mizengwe na kutimiliwa. Walianza na marehemu wangwe.... Hivi sasa wameanza kumuandama zitto kabwe(naibu katibu mkuu chadema) na wanaoitwa vijana wake, nasikia wiki ijayo wamejipanga kumfukuza shibuda(bunge wa maswa)"

nnauye akamalizia kwa msumari mzito

"chadema ni chama kidogo kinabaguana kiasi hicho, wakipewa dhamana ya kutawala nchi hali itakuwa mbaya zaidi"


my take

wana chadema huo ni msumari unaoweza kuwa mkuki moyoni.
Jisahihisheni kabla hamjafa kweli.
(nb wale wenye matusi chukueni likizo)

yap habari ndio hiyo.......tunataka vyama vya siasa siyo koo za watu.
 
Siku hizi umeanza biashara ya kununua magazeti,na wahariri wao,yale ambayo yameonesha dhahiri kuwabana katika harakati zenu za kuturudisha kwenye single part system with no democracy umeyafungia kwa sababu ambazo ata ukienda milembe kuwaeleza vichaa wanakukatalia tena wanakufukuza (na baada ya kujiuliza utasema vichaa tu wale),sasa hivi kama chama umeshindwa kuisaidia serikali sasa unafikiri propaganda is only deal (tambwe hiza alishindwa) jengeni nchi nyie vichaa.

Sasa ndio umeongea nini?Na wewe unajua kuwa hapo ueposti utumbo!
 
Unajua mile ni kubwa kuliko km yaani ni hivi

1mile = 1.6093km (source >>>Miles to Kilometers conversion)

Kwa pesa halali ya ujenzi bomba la gesi kama Zitto alivyoeleza katika vipimo vya km (kilometre) ni U$.745,667.00 kwa kilometre moja (U$745,667.00/km). Wakati kwa viwango visivyo halali vinavyoelezwa hapa ni kuwa U$ 2,200,000.00 kwa kilometre moja (U$2,200,000.00/km).

Kwa hiyo kwa kila kilometre moja itakayounganishwa bomba la kusafirisha gesi basi kuna hela isiyo halali itakayo liwa na wajanja ambayo ni U$ 1,454,334.00, (U$1,454,334.00/km)

Sasa jiulize ni kilometre ngapi zitajengwa za bomba la gesi kutoka Ntwara mpaka Daslaam. Ukizipata hizo kilometre uzidishe na hizo hela zitakazoliwa na wajanja kwa kila kilometre ili upate jumla kuu ya pesa zitakazo liwa na wajanja. Na ukishakupata jumla kuu hiyo ifikirie ingeweza kutataua kwa kiwango gani kero za watanzania kwenye afya na elimu.

Ndio maana wanaongea vice versa,eti wananchi wa mtwara ni wahaini,kumbe wahaini na wao wanaotuibia ata hivi vichache tulivyonavyo,hivi kweli watanzania tumeshindwa kabisa kuwapa kuwarejeshea adabu hawa manyang'au,ebu jaribuni basi ili turudishe heshima ya mtanzania.
 
Back
Top Bottom