Nape-chadema wamekiuka katiba yao wenyewe!

Nape-chadema wamekiuka katiba yao wenyewe!

Juzi nakumbuka niliwapa maelekezo yeye Nape na mwenzie KINANA(A.K.A NDOVU) nini cha kuzungumza katika ziara yao ili anainchi wawaelewe vizuri na waichukie CHADEMA nilisema waseme haya

By ebaeban katika ziala yenu ya majukwaani mkoa wa njombe pambaneni na chadema kisayansi bahati nzuri mtakutana na mwenzenu mzoefu deo filikunjombe, kamwe msiitete serikali kama inakosea na wala mda mwingi msiutumie kuitaja taja chadema. Waelezeni wanainchi maana ya:

  1. maisha bora kwa kila mtanzania sera hii ya ccm ni nzuri sana ikitekelezwa ipasavyo ila chama kinakwamishwa na watumishi wasiowaaminifu wa halimashauri zipatazo 136, maana wanakwiba hela zote zinazotumwa katika halimashauri zao ili kutekeleza miradi ya maendeleo, hii ni fursa nzuri kwenu(kinana, nape ) kuwasisitiza madiwani wasimamie vizuri hela za miradi, waambieni madiwani wawaangalie sana watendaji na wahoji hizo nyumba na magari wanayonunua.
  2. pia ni fursa kwenu kuwaambia wanainchi jinsi serikali yao inavyoshghurika na kudhibiti mfumko wa bei kwani nao ni kikwzo katika utekelezaji wa sera ya maisha bora kwa kila mtanzania
  3. kwamwe msijihusishe na matusi hasa wewe nape mambo yako ya kusema eti chadema ni nguruwe kamwe wanainchi hawawezi kukuelewa na ndo utalikoroga kabisaaaa
  4. pia waelezeni wanainchi jinsi serikali yao inavyojishughulisha na kupiga vita masuala ya rushwa ambayo imeshamili kiasi taasisi nzima kama bunge linahongwa.

mwisho waelezeni wanainchi namana serikali yao inavyoshughurika na wale wanaofuja raslimali ya taifa kama majangili wanaouwa tembo na kusafirisha vipusa, masuala ya kusaini mikataba mibovu ya kinyonyaji na wale wanaotorosha hela na kuweka banki za inje wote hawa wanakwamisha utekelezaji wa sera ya maisha bora kwa kila mtu.

Mukisema yote haya majukwaani bila matusi hakika chadema kwisha na tegemeeni kuvuna kadi nyingi sana toka upinzani,

nawatakia kazi njema

ebaeban
Tel.Aviv
Kwa nini hawasikii?
tel.aviv.

Mkuu!

Hapo umegonga IKULU! Hawata thubutu kusema hayo kabisa. Hapo ni aswa na kuwaambia waingize chuma cha moto kwenye ile sehemu aliyoitaja Serukamba!!
 
Nape! Si uhamie CHADEMA? Mbona kila siku umejikita kuihubiri CHADEMA badala ya CCM yetu? Kazi tuliyo kupa ni kuipigia praganda CCM ila inaonyesha una mapenzi makubwa na CHADEMA. Kwa vile umeonyesha mapenzi makubwa sana kwa CHADEMA kiasi kwamba kila siku unapo pata nafasi ya kuzungumza na waTanganyika ni kuitaja taja CHADEMA ni vyema ukachukua uamuzi wa kuhamia huko. Sio kila siku kubwabwanya habari za CHADEMA huku ukiamini kwamba unakibomoa kumbe unakijenga CHADEMA.

Tuachie CCM yetu maana tunajua wewe ni mmoja wa waasisi wa CCJ.

Huyu anaweza kukosa kwenda chooni kwa siku lakini si kukosa kuitaja CHADEMA. Kwake CHADEMA ni kama mate mdomoni.
 
Nape anaipenda sana CDM....tatizo he will not fit in...hana akili ya kufikiria haraka haraka...kwa mfano wakina mbowe walivyo omba msamaha kwa bunge na watanzania ...ingelua ni CCM nape angewashauri wakomae tuu....nape hana akili ya kufikiria harak...!!!!
 
"UANZISHWAJI WA KANDA ZA CHADEMA NI KINYUME NA KATIBA YAO,,
Kama Chadema wanaweza kukiuka katiba yao wenyewe wataweza vipi kuiheshimu katiba ya Nchi?"-Nape aliyasema haya alipokuwa akiwahutubia umati wa wakazi wa mji mdogo wa makambako jana,alisema anashangazwa na kitendo cha chadema kuanzisha kanda na viongozi wa kanda hizo kutolewa mfukoni kwa mwenyekiti wa chadema ndugu mbowe huku wakifahamu wazi kuwa huo ni ukiukwaji wa katiba yao,,!!!

ukiwa tope lazima utatamka matope,yeye ameacha kazi yake na anaipigia CDM kampeni.mbona wanaCDM hawasemi au yeye anadhani ana akili kuliko WanaCDM.
 
Kama kuna kitu kinawaumiza na kuwasumbua sana CCM kwa sasa ni mpango wa CHADEMA kuanzisha kanda.
Kwa maana sasa CCM inapigwa kila upande.

CHADEMA kwa sasa inatwanga kotekote, tena kutokea maeneo ya vijijini.
Iwe mitaani, vijijini, bungeni, vyuoni, mitandaoni kila kitu CHADEMA YATOSHA!!!
 
"UANZISHWAJI WA KANDA ZA CHADEMA NI KINYUME NA KATIBA YAO,,
Kama Chadema wanaweza kukiuka katiba yao wenyewe wataweza vipi kuiheshimu katiba ya Nchi?"-Nape aliyasema haya alipokuwa akiwahutubia umati wa wakazi wa mji mdogo wa makambako jana,alisema anashangazwa na kitendo cha chadema kuanzisha kanda na viongozi wa kanda hizo kutolewa mfukoni kwa mwenyekiti wa chadema ndugu mbowe huku wakifahamu wazi kuwa huo ni ukiukwaji wa katiba yao,,!!!

Rushwa ni adui wa haki katika Katiba ya CCM; lakini ndio msingi wa uwepo wa CCM kubakia madarakani.
 
Nape ndio ametoka mfukoni mwa mwenyekiti!

Viongozi wote wa kanda za cdm wanatoka mfukoni mwa mwenyekiti wa chadema bwana mbowe kwani hawachaguliwi kikatiba ila ni marafiki wa mbowe kawateua ili kuunda safu yake,,Zito is against hii kitu ila kwakuwa chama ni cha wachache hana ujanja,,!!
 
Baraza kuu ndilo lililopitisha utaratibu wa kanda.Kikatiba baraza kuu ndilo lenye maamuzi ya juu na hata katika mabadiliko ya katiba.Aache kukurupuka!
 
Siku hizi JJ Mnyika ana wasaidizi wengi mpaka akina Nape, mtu ambaye anatoa kauli kwa kutumia tumbo na sio fikra na hoja za msingi. Aje atuambie ni ibara gani imekiukwa na ni viongozi wangapi na akina nani wametoka mfukoni kwa Mwenyekiti

Mkuu ni kweli, jj mnyika anapata usaidizi mkubwa toka kwa napw nauye...maana nape amekuwa akifanya kazi ya uenezi na itikadi za chadema kuliko za ccm.kwa kweli nape tunakushukuru kwa kazi nzuri ya kuipa promo chadema.wakati mwingine huwa nalipenda hili linape maana linasaidia cjadema bila kujijua...sasa linape linampunguzia mh.jj mnyika kazi ya uenezaji.hongera wewe linape..
 
Ben naomba unipe kifungu ndani ya atiba ya cdm kinachoruhusu baraza kuu kuvunja vifungu vya katiba!!
 
"UANZISHWAJI WA KANDA ZA CHADEMA NI KINYUME NA KATIBA YAO,,
Kama Chadema wanaweza kukiuka katiba yao wenyewe wataweza vipi kuiheshimu katiba ya Nchi?"-Nape aliyasema haya alipokuwa akiwahutubia umati wa wakazi wa mji mdogo wa makambako jana,alisema anashangazwa na kitendo cha chadema kuanzisha kanda na viongozi wa kanda hizo kutolewa mfukoni kwa mwenyekiti wa chadema ndugu mbowe huku wakifahamu wazi kuwa huo ni ukiukwaji wa katiba yao,,!!!
Nape, kwani hiyo nayo ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM?
 
Kwani Nape unakumbuka Nyie Magamba mlivunja katiba yenu kwa kuwatumia tiketi za ndege magamba wa diaspora kuja kwenye uchaguzi mkuu wa chama chenu pale Dodoma?.wapi kwenye katiba yenu imeweka wazi kuhusu wanchama wa wa chama chenu kutoka nje kuja kupiga kura kuwachagua ,mwenyekiti,katibu,wewe,wengine ?.Unalijua hilo tutaweka picha zao hapa,na tena wengine walikuja huko sio raia wa Tanzania ni wamarekani na wengine ni waingereza.sema sasa nyie hamtakiwa kutuongoza kwenye hii nchi yetu
 
"UANZISHWAJI WA KANDA ZA CHADEMA NI KINYUME NA KATIBA YAO,,
Kama Chadema wanaweza kukiuka katiba yao wenyewe wataweza vipi kuiheshimu katiba ya Nchi?"-Nape aliyasema haya alipokuwa akiwahutubia umati wa wakazi wa mji mdogo wa makambako jana,alisema anashangazwa na kitendo cha chadema kuanzisha kanda na viongozi wa kanda hizo kutolewa mfukoni kwa mwenyekiti wa chadema ndugu mbowe huku wakifahamu wazi kuwa huo ni ukiukwaji wa katiba yao,,!!!
Nyie ccm hamjioni mlivyo potoka badala ya kutekeleza sera za chama chenu mmekuwa mnajikita kutekeleza sera za Chadema, ona katiba mpya, haikuwa kwenye ilani yenu, wabunge wa ccm kujibu hoja za kambi rssmi, hiyo ni sera yenu au ni mfa maji hujaribu kujishika nayo. Wewe binafsi unaitaja Chadema mara nyapi kwa siku??? Makada wa ccm kupiromosha matusi hadharani pia ni sera yenu??? Nape fikiria kabla ya kuropoka. Una deal na watu wenye akili usitumie siasa za 1960s.
 
Ben naomba unipe kifungu ndani ya atiba ya cdm kinachoruhusu baraza kuu kuvunja vifungu vya katiba!!
 
"UANZISHWAJI WA KANDA ZA
CHADEMA NI KINYUME NA KATIBA YAO,,
Kama Chadema wanaweza kukiuka katiba yao wenyewe wataweza vipi
kuiheshimu katiba ya Nchi?"-Nape aliyasema haya alipokuwa akiwahutubia
umati wa wakazi wa mji mdogo wa makambako jana,alisema anashangazwa na
kitendo cha chadema kuanzisha kanda na viongozi wa kanda hizo kutolewa
mfukoni kwa mwenyekiti wa chadema ndugu mbowe huku wakifahamu wazi kuwa
huo ni ukiukwaji wa katiba yao,,!!!

l.i.k.e!
 
Bila shala Ben wewe ndo umekurupuka,katiba ya cdm kifungu 7:7:13(l)baraza kuu litashughulikia kazi zote za chama pamoja na kutoa mapendekezo ya mabadiliko ya katiba ya chama..haya Ben kama wewe ni mweledi wa katiba yenu nipe kifungu,,!!
 
"UANZISHWAJI WA KANDA ZA CHADEMA NI KINYUME NA KATIBA YAO,,Kama Chadema wanaweza kukiuka katiba yao wenyewe wataweza vipi kuiheshimu katiba ya Nchi?"-Nape aliyasema haya alipokuwa akiwahutubia umati wa wakazi wa mji mdogo wa makambako jana,alisema anashangazwa na kitendo cha chadema kuanzisha kanda na viongozi wa kanda hizo kutolewa mfukoni kwa mwenyekiti wa chadema ndugu mbowe huku wakifahamu wazi kuwa huo ni ukiukwaji wa katiba yao,,!!!
Hoja sio kuwa au kutokuwa na akili, hoja ni jinsi gani unatumia akili uliyo nayo . Kanda /majimbo ya chadema yananzishwa kwa mujibu wa katiba ya chadema ibara ya 7.6 Napee hebu aendelee na project BMW (Baba Mama na Watoto) mambo ya M4C yatampa kifafa bureeeeee
 
Hakuna sehemu yoyote ndani ya katiba ya chadema inataja neno KANDA,,!!
 
Kuanzia ukurasa wa kwanza hadi wa 95 wa katiba ya chadema hakuna sehemu imetaja neno kanda au zone kwa lugha ya kigeni,,!Na hakuna sehemu inaonesha jinsi viongozi hao wa kanda watakavyo patikana,,!
 
Back
Top Bottom