Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Waambie magamba hawana uwezo wa kuibadili rasimu hiyo.
uwezo wanao; wako wengi kwenye mabaraza ya Katiba na watakuwa wengi kwenye Bunge la Katiba.
uwezo wanao; wako wengi kwenye mabaraza ya Katiba na watakuwa wengi kwenye Bunge la Katiba.
tutegemee tamko litakaloimaliza ccm,maana sioni kama kuna mtu wa kusoma nyakatiSource BBC Kwa mujibu wa taarifa ya habari bwana Nape Nnauye kasema atatoa tamko la chama juu ya rasimu ya katiba kwani wao kama chama tawala na wana wabunge wengi na wanauwezo wa kukaa kama kamati na kuamua wapendavyo wataamua wapi walalie juu ya katiba. Na tamko hilo lonatolewa leo mchana mara baada ya kumalizika kwa kikao kilichoanza jana
national referendum will decide
wewe unaunga mkono chama kutuamulia hili suala nyeti sio? Hatuna waandishi kama ndo hivyo.
Bado wao ni wengi... na ukumbuke wanahitaji only 50 percent ya watu watakaopiga kura...
Mkuu achana na tabia ya kujidanganya ili kuridhisha nafsi.wewe unaunga mkono chama kutuamulia hili suala nyeti sio? Hatuna waandishi kama ndo hivyo.
4. Je! ikiwa tume ya katiba ni tume huru na imeonesha uhuru wake; Ni nini CCM wanataka kufanya?
Ni kweli wako wengi in number but very little in values.uwezo wanao; wako wengi kwenye mabaraza ya Katiba na watakuwa wengi kwenye Bunge la Katiba.