nape, naamini bado kuwa wewe ni miongoni mwa wanasiasa wachache wenye uvumilivu na IQ ya juu kabisa ktka medali za siasa tuliokuwa nao TZ, lakini kitendo chako cha kutoweza kusoma alama za nyakati haswa wakati huu ambao cdm wanatumia madhaifu ya ccm kujiimarisha unanisikitisha sana. Na wewe unakubali kuwa kwenye siasa za kizamani za kina wasira makamba senior na wengineo? please nape WAKE UP, njoo na siasa za kishindan na kisasa zaidi haswa kwa kucheza pia na alama za nyakati na uhalisia wa kichwa vya watanzania wa leo
.
tweve wewe si mkweli nape hajazomewa aliyekwambia amekudanganya mimi nilikuwepo hapa mkm. Mapokezi yalikuwa mazuri tu.
Mkutano WA nape makambako
waishia kwa nape kuzomewa na kuoneshwa alama ya chama pinzani.nape
uzalendo ulimshinda akafungua kioo na kuonesha ishara ya mkono akiwa na
maana kuwa wale wanaozomea wana...
...rwa. jiheshimu
Nangojea kuliona gamba litakavyokuja mbio humu kukanusha. Maana kila kitu yeye sasa ameamua kukikanusha tu. Itafika mahali atakanusha kwamba yeye si mwasisi wa CCJ.Akiwa makambako nape amekutana na zahama hiyo baada ya kukataa kuulizwa maswali na wananchi.baada ya kuona wanamzomea na kuonyesha alama ya v inayotumiwa na cdm naye kawaonyesha alama ya matusi kuwajibu.asema wanaohama ccm ni oil chafu azomewa,asema slogan ya m4c imekosewa ilibidi iwe movement for demokratic change ,aambiwa hiyo ni ya ccm na si cdm.leo wamepata aibu ya mwaka.Source ni mimi mwenyewe niliyekuwepo kwenye mkutano
Akiwa makambako nape amekutana na zahama hiyo baada ya kukataa kuulizwa maswali na wananchi.baada ya kuona wanamzomea na kuonyesha alama ya v inayotumiwa na cdm naye kawaonyesha alama ya matusi kuwajibu.asema wanaohama ccm ni oil chafu azomewa,asema slogan ya m4c imekosewa ilibidi iwe movement for demokratic change ,aambiwa hiyo ni ya ccm na si cdm.leo wamepata aibu ya mwaka.
Source ni mimi mwenyewe niliyekuwepo kwenye mkutano
Le mutuz ana figure ya kifisadi, yani kabla ya kuongea tu wangemtupia mawe.Hahahahahahahahahahaha!
Le Mutuz hakumsindikiza??
Kwa iyo aliwaonyesha wapiga kura dole la kati??
Dah, nnauye jr kama ni kweli kazi unayo.
Ila sishangai sana kwani wewe ni mmoja kati ya waasisi wa kifo cha ccm.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums