Nape azindua mpya ya CCM "Vua gamba vaa uzalendo"

Yeah, nimemwona eti anasema hata kama wanaccm wote watahama na kubaki peke yake eti ccm haitakufa,,,

WANATAPATAPA, UKWELI WANAUJUA KWAMBA KIAMA CHAO NI 2015,,,,,

Nimemwangalia Itv,mbona jukwaa alilotumia lilipambwa kwa rangi za Cdm? Hii imekaaje wakuu? Hebu mwenye picha zile aziweke hapa tuzifarague.
 
Kama BAN ni kwa wanaotukana basi naomba Moods tufungie wote, mimi na huyu jamaa maana amemtukana Nape tusi kubwa sana aisee.
Amesahau kuwa yeye ndie MSHENZI mkubwa, hata haya hana, MAVI tu, Ameshindwa kujizuia kutoa mchango wake kistaarabu, anakurupuka na MATUSI utafikiri MAJI ya kuuuuuuu maaaaaaaaaaaaa.

Isiwe kwakuwa huyo ni Nape na yule ni Mnyika! JF acheni USENGE mfungie huyu jamaa aisee.
CCM wanachojua ni kutukana tuu! mod tutolee huu uchafu unatia kichefuchefu
 
Ni kweli KWA VIPIMO VYA MAGWANDA SINA SIFA MAANA WAO LAZIMA UJUE KUSEMA UONGO, UZUSHI, UMBEA ,UKANDA NA UKABILA NA UJUE NAMNA YA KUSHAWISHI WATU KUCHANGA TSHS MBILIMBLI HUKU MKIWAAMBIA HAWANA PESA HATA ZA DALADALA! hizo sifa sina, so you are right!
Nnauye Jr Ni kweli umepanic kiasi cha kukurupuka namna hii??
Try to be creative bana, hii ya kuiga inakufanya uonekane kituko na ndo ivyo CCM ina kufa ukiiona.
Hivi unajua kuwa wewe ni muasisi wa kifo cha CCM?
Then hii kanyaga twende yako ni layman act kwani ukikanyaga tu ilimradi, utakanyaga kinyesi alafu utajikuta umefika sebleni kwako na kinyesi kwenye soli na nzi wamekuzunguka mwili mzima.
Think the big picture bwana green guard.
This is layman solution totally.
 
Chuki hebu jaribu kuwa na political tolerance kwani huku JF kuna kanuni.
Sijaona sababu ya wewe kutukana namna hii,
Hebu punguza jazba na ulete hoja ya maana, lugha ya matusi ina shake credibility yako na iyo CCM unayoitetea.
inamisha kichwa utafakari babu jinga, CCM iko kwenye grave condition.
 
Hahahaaaaa! MMEFULIA, MSIPOTOSHE UKWELI, NYIE MNAVUA MAGAMBA NA KUWAVISHA WATU MAGWANDA NA KUWADANGANYA NDIO TIBA YA MATATIZO YAO, SIE TUNAWAVUA MAGWANDA NA MAGAMBA NA KUWAVISHA UZALENDO... Kanyaga twende sasa!

Nape hivi kabla hujaanza kutumia hiyo keyboard, huwa unafikiri utakayo-type kwanza ....? Au mwenzetu unatumia Voice command PC?? Huo uzalendo umeanza leo? What about miaka 49 iliyopita? Pamoja na mabandiko yako hapa au FB, bado sijataka kuamini kuwa watu wanaenda shule ili wapate kazi. Bado naamini watu wanaenda shule ili waelimike, jiangalie kaka hiki ni kizazi kipya but wewe unalazimisha kurudisha miaka nyuma.
 
Wendawazimu

Katibu mwenezi wa Ccm bwana nape nauye amezindua movement ya 'vua gamba vaa uzalendo' ameongea hilo katika eneo la Misenyi mkoani Kagera.
Source:chanel 10 taarifa ya habari saa 1usiku.
My take kweli magamba hali yao ni mbaya mwaka huu wanalo! Magamba kwishney! Lol!
 
Ni kweli KWA VIPIMO VYA MAGWANDA SINA SIFA MAANA WAO LAZIMA UJUE KUSEMA UONGO, UZUSHI, UMBEA ,UKANDA NA UKABILA NA UJUE NAMNA YA KUSHAWISHI WATU KUCHANGA TSHS MBILIMBLI HUKU MKIWAAMBIA HAWANA PESA HATA ZA DALADALA! hizo sifa sina, so you are right!

Hivi Nape utabadilika lini uwe unaongea mambo ya maana yanayoendana na hadhi yako ya nafasi yako ya uongozi kwenye chama na ktk jamii?
 
nape hauna tabia za uongozi!

Bwana Mkubwa Nape ni mtu wa mipasho sana! Ona hicho kicheko, hustaili kuwa hata mtendaji wa kijiji!! Madaraka mnaridhishana kwa kujuana tu.. Zungumza kama msomi na sio kama kina mama waliokaa barazani wakiwateta wenzao.
 
Katibu mwenezi wa Ccm bwana nape nauye amezindua movement ya 'vua gamba vaa uzalendo' ameongea hilo katika eneo la Misenyi mkoani Kagera.
Source:chanel 10 taarifa ya habari saa 1usiku.
My take kweli magamba hali yao ni mbaya mwaka huu wanalo! Magamba kwishney! Lol!

ni namna tu ya kuwakumbusha kuwa CCM hakuna jipya. kuuvaa uzalendo ni kuwa funs wa CDM, kwani ndio wazalendo, wanaoibua ufisadi wa viongozi wa serikali na ccm, hivyo kuvua gamba kuvaa uzalendo, ni sawa na kuvua gamba vaa gwanda
 
sio ivyo tu bali ccm ni la kuvunda, halina ubani tena

Hivi Nape ni kigezo gani kilikufanya ukapewa wadhifa mkubwa namna hiyo ilhali hata maadili ya uongozi huna. Kati ya watu wanaohusika kuipoteza ccm we ni mmoja wao tena kwa jitihada kubwa! Wanachama tumechoshwa na mambo yenu kiukweli...
 
pole sana Nape kwa mikiki ya M4C usipojitune unalekea kuugua pressure chama chako kimechoka hakisafishiki ukisoma vizuri usemi usemao 'nafasi ya wakati' ndio utaelewa kwanini ccm imefika hapa ilipo.
 
[h=6]"INATOSHA!! Mmewadanganya sana watu, utadhani wakivaa magwanda matatizo yao na ya nchi yanakwisha!! Mnatafuta biashara ya magwanda yenu!! Karibuni nazindua operation ya VUA GWANDA NA GAMBA VAA UZALENDO!! kinachopungua kwetu, Afrika na Dunia nzima ni UZALENDO, sasa tunakwenda kuwavua magwanda na magamba na KUWAVISHA UZALENDO na ndo DAWA INAYOHITAJIKA DUNIANI LEO. Stay tuned!!!! Soon operation hii itaanza tufute uongo!"- Nape Nnauye[/h]
 
Inaonekana huyu Nape kilaza sana. Cjui elimu yake kaikota wapi. Falsafa ya kifala sana aliyoileta leo hii na akiwa pamoja na Mwizi wa wake za watu Mwigulu.
 
Nape is among the boys with very mediocre thinking i even dreamed to meet...he is an opportunist and he always thinks on the negative direction....
 
Ni kweli KWA VIPIMO VYA MAGWANDA SINA SIFA MAANA WAO LAZIMA UJUE KUSEMA UONGO, UZUSHI, UMBEA ,UKANDA NA UKABILA NA UJUE NAMNA YA KUSHAWISHI WATU KUCHANGA TSHS MBILIMBLI HUKU MKIWAAMBIA HAWANA PESA HATA ZA DALADALA! hizo sifa sina, so you are right!

Hivi kumbe hujui maana ya kazi inayokufanya ule,uvae na uwe media target.....PROPAGANDA.
Haya endelea bana,mie ngoja nikalime pembejeo yangu jembe....wewe endelea kueneza propaganda pembejeo yako mdomo!
 
Hahahaaaaa! MMEFULIA, MSIPOTOSHE UKWELI, NYIE MNAVUA MAGAMBA NA KUWAVISHA WATU MAGWANDA NA KUWADANGANYA NDIO TIBA YA MATATIZO YAO, SIE TUNAWAVUA MAGWANDA NA MAGAMBA NA KUWAVISHA UZALENDO... Kanyaga twende sasa!
acha uongo wewe, magamba ndo ninyi mmevaa sasa uzalendo umepata wapi? Usiropoke tulia uone unavyovuliwa gamba, pole pole.
 
Back
Top Bottom