Nape ndio kiboko yao. Silaha za maangamizi ziko pembeni, zimetulia tuli.
Movement for Crusade is really forever, no doubt.this is another philosophy of silly Ccm (ccm for crusade of Tanzanians rights,welfare,resources) that they are preparing themselves to crucify TANZANIANS in 2015 so that their power couldnt move to CDM's hands,poor ccm,silly ccm fulled with unreasonable leader.all moves of yours have encountered blocks from cdm
Silaha za maangamizi ni magufuli mkariri data au mwakyembe CDM square zamani jangwani walistack Kama cd mbovuNape ndio kiboko yao. Silaha za maangamizi ziko pembeni, zimetulia tuli.
Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!
Join Date : 22nd June 2012Ni Id yako yako ya ngapi hii?
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!
Hawa wagambo humwaga,hupola na kula vyakula mama lishe,siku watawekewa sumu!!!nape yupo hapo?saluti za nini magamba wanapagawa kweli
Nape ndio kiboko yao. Silaha za maangamizi ziko pembeni, zimetulia tuli.
Watoto wa shule wanafanya nini kwenye mikutano ya siasa za Nape? Kama anataka watoto wa shule ajaribishe international/saint schools.
Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya juu Mbeya. Kagawa kadi mpya kwa wanachama wa CCM 167!!!Hivi bado kuna wapuuzi wanaojiita wasomi wanawasikiliza magamba jamani?? Wanachelewesha ukombozi wa nchi yetu! Sugu kamanda angalia umeingiliwa huKu!!
Kawaida yao kutojitambua.mleta thread umepwaya sana hujataja ukumbi ulipo,jina lake pia hujui du lakini asante kwa taarifa ngoja nimwambie dereva wangu wa ajiandae kukodiwa kusomba watu leo.