Nape awasambaratisha Chadema Mafinga-Iringa

Nape Nnauye kasambaratisha ngome ya Chadema Mafinga Mjini na Wanachama wa Chadema wamesema wamechonga kuwepo kwenye Chama cha Kikabila na kinachoendeshwa na watu kadhaa utadhani chama ni chao na Familia yao, Hawajawahi hata kusema Mamilioni ya Rukuku wanatumiaje zaidi ya kuweka mifukoni mwao hakuna Kiongozi yeyote wa Mkoa au Wilaya anayenufaika na Mamilioni ya Ruzuku wanayopata kutoka kwenye serikali, Na wakauliza Je wakikabithiwa nchi itakuwaje,,

Na Nape kawaeleza adhari ya nchi kukabithiwa kwa wanaharakati Duniani haijawah kutokea nchi ikakabithiwa kwa Wanaharakat huwa haitawaliki na CCM HAWAPO TAYARI KUKABITH NCHI KWA WANAHARAKATI, Nchi huwa inkabithiwa kwa chama cha Siasa...

Tanzania Chama cha Siasa ni CCM Tu coz Viongozi wa vyama vyote ni Oil Chafu iliyomwagwa na Magari ya CCM.

Tatizo la Nape hajui maana ya siasa ya vyama vingi (MULTIPARTY SYSTEM) ndiyo maana anaropoka kila kona, na wewe mleta thread usijipe matumaini ya CCM kuendelea kutawala taifa hili.
 
Nape kiboko ya magwanda ya khaki. Anafanya kweli.

Kumbe wajinga nch hii bado hamjaishaeeee?mwanbieni nepi kwa Iringa kachemka,hapo wakisema basi maana yake basi,ni zaidi ya mwanza na mbeya.watamchekea nepi mwishowe pumpers.
 
Nape Nnauye kasambaratisha ngome ya Chadema Mafinga Mjini na Wanachama wa Chadema wamesema wamechonga kuwepo kwenye Chama cha Kikabila na kinachoendeshwa na watu kadhaa utadhani chama ni chao na Familia yao, Hawajawahi hata kusema Mamilioni ya Rukuku wanatumiaje zaidi ya kuweka mifukoni mwao hakuna Kiongozi yeyote wa Mkoa au Wilaya anayenufaika na Mamilioni ya Ruzuku wanayopata kutoka kwenye serikali, Na wakauliza Je wakikabithiwa nchi itakuwaje,,

Na Nape kawaeleza adhari ya nchi kukabithiwa kwa wanaharakati Duniani haijawah kutokea nchi ikakabithiwa kwa Wanaharakat huwa haitawaliki na CCM HAWAPO TAYARI KUKABITH NCHI KWA WANAHARAKATI, Nchi huwa inkabithiwa kwa chama cha Siasa...

Tanzania Chama cha Siasa ni CCM Tu coz Viongozi wa vyama vyote ni Oil Chafu iliyomwagwa na Magari ya CCM.

...acha uongo,lol!hivi huoni hata aibu kupost huu ujinga? Nape jana alikuwa mafinga na baadhi ya vijana wasiozidi 10,alikuwa anapandisha bendera pale mafinga maeneo ya stand! Kwa kifupi hakukuwa na watu kabusa,kusini ya ss sio ile ya miaka ile mliokuwa mnawarubuni watu!hutaki,waulize wabunge Mungai (nguli) na Malangalila waliopigwa chini...kajipange upya kwa hili umechemka nilikuwa eneo la tukio!
 
Nape kiboko yenu, kijana mdogo anawahenyesha ile mbaya.

Nasikia Mbeya kimenuka!

Kimenuka kitu gani? Nape bora arudi Dar Mbeya sio Dar atajuta akamuulize jk kilichomkuta pale Dox
 
Nape Nnauye kasambaratisha ngome ya Chadema Mafinga Mjini na Wanachama wa Chadema wamesema wamechonga kuwepo kwenye Chama cha Kikabila na kinachoendeshwa na watu kadhaa utadhani chama ni chao na Familia yao, Hawajawahi hata kusema Mamilioni ya Rukuku wanatumiaje zaidi ya kuweka mifukoni mwao hakuna Kiongozi yeyote wa Mkoa au Wilaya anayenufaika na Mamilioni ya Ruzuku wanayopata kutoka kwenye serikali, Na wakauliza Je wakikabithiwa nchi itakuwaje,,

Na Nape kawaeleza adhari ya nchi kukabithiwa kwa wanaharakati Duniani haijawah kutokea nchi ikakabithiwa kwa Wanaharakat huwa haitawaliki na CCM HAWAPO TAYARI KUKABITH NCHI KWA WANAHARAKATI, Nchi huwa inkabithiwa kwa chama cha Siasa...

Tanzania Chama cha Siasa ni CCM Tu coz Viongozi wa vyama vyote ni Oil Chafu iliyomwagwa na Magari ya CCM.

Asante kwa mawazo yako mwenyewe na sio ya watu Wa Iringa.
 
Nape kiboko yenu, kijana mdogo anawahenyesha ile mbaya.

Nasikia Mbeya kimenuka!

...mtasubiri sana,ndoto za alinacha hizo!jipeni moyo......kiboko yenu El!mvueni gama tuone ss!
 
Nape Nnauye kasambaratisha ngome ya Chadema Mafinga Mjini na Wanachama wa Chadema wamesema wamechonga kuwepo kwenye Chama cha Kikabila na kinachoendeshwa na watu kadhaa utadhani chama ni chao na Familia yao, Hawajawahi hata kusema Mamilioni ya Rukuku wanatumiaje zaidi ya kuweka mifukoni mwao hakuna Kiongozi yeyote wa Mkoa au Wilaya anayenufaika na Mamilioni ya Ruzuku wanayopata kutoka kwenye serikali, Na wakauliza Je wakikabithiwa nchi itakuwaje,,

Na Nape kawaeleza adhari ya nchi kukabithiwa kwa wanaharakati Duniani haijawah kutokea nchi ikakabithiwa kwa Wanaharakat huwa haitawaliki na CCM HAWAPO TAYARI KUKABITH NCHI KWA WANAHARAKATI, Nchi huwa inkabithiwa kwa chama cha Siasa...

Tanzania Chama cha Siasa ni CCM Tu coz Viongozi wa vyama vyote ni Oil Chafu iliyomwagwa na Magari ya CCM.

Papa we nimutu ya congo?unaikala kipande ipi mucongo?motema nangai kinshasa boye kweli kabisaaaaaaaaaaa
 
Ngome ya chadema chini ya jimbo la ccm imesambaratishwa vipi??
Kwa iyo mambo ya maana aliyoenda kuwaambia ni uwo ukabila??? Kama kuna raiya yeyote anavutiwa na sera hizi za nape basi lazima ana walakini.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa ufupi ccm tumewachoka na sera ambazo hazna utekelezaji.
 
Nape Nnauye kasambaratisha ngome ya Chadema Mafinga Mjini na Wanachama wa Chadema wamesema wamechonga kuwepo kwenye Chama cha Kikabila na kinachoendeshwa na watu kadhaa utadhani chama ni chao na Familia yao, Hawajawahi hata kusema Mamilioni ya Rukuku wanatumiaje zaidi ya kuweka mifukoni mwao hakuna Kiongozi yeyote wa Mkoa au Wilaya anayenufaika na Mamilioni ya Ruzuku wanayopata kutoka kwenye serikali, Na wakauliza Je wakikabithiwa nchi itakuwaje,,

Na Nape kawaeleza adhari ya nchi kukabithiwa kwa wanaharakati Duniani haijawah kutokea nchi ikakabithiwa kwa Wanaharakat huwa haitawaliki na CCM HAWAPO TAYARI KUKABITH NCHI KWA WANAHARAKATI, Nchi huwa inkabithiwa kwa chama cha Siasa...

Tanzania Chama cha Siasa ni CCM Tu coz Viongozi wa vyama vyote ni Oil Chafu iliyomwagwa na Magari ya CCM.

Hizi MODEM za ubwete sometimes zina matatizo yake.
 
Back
Top Bottom