Nape awasambaratisha Chadema Mafinga-Iringa

Nape Nnauye kasambaratisha ngome ya Chadema Mafinga Mjini na Wanachama wa Chadema wamesema wamechonga kuwepo kwenye Chama cha Kikabila na kinachoendeshwa na watu kadhaa utadhani chama ni chao na Familia yao, Hawajawahi hata kusema Mamilioni ya Rukuku wanatumiaje zaidi ya kuweka mifukoni mwao hakuna Kiongozi yeyote wa Mkoa au Wilaya anayenufaika na Mamilioni ya Ruzuku wanayopata kutoka kwenye serikali, Na wakauliza Je wakikabithiwa nchi itakuwaje,,

Na Nape kawaeleza adhari ya nchi kukabithiwa kwa wanaharakati Duniani haijawah kutokea nchi ikakabithiwa kwa Wanaharakat huwa haitawaliki na CCM HAWAPO TAYARI KUKABITH NCHI KWA WANAHARAKATI, Nchi huwa inkabithiwa kwa chama cha Siasa...

Tanzania Chama cha Siasa ni CCM Tu coz Viongozi wa vyama vyote ni Oil Chafu iliyomwagwa na Magari ya CCM.

AMA KWELI, UJINGA NI MZIGO! KWANZA UMEANDIKA RUKUKU BADALA YA RUZUKU, HALAFU NADHANI WEWE UTAKUWA NI MTANGAZAJI WA REDIO UHURU (JIMMY KAGARUKI)! ANAYEKABIDHI NCHI NI CCM AU NI WAPIGA KURA? USE PROPER ORGANS FOR THINKING PLEASE! THREAD KAMA HIZI NI UCHAFUZI MKUBWA WA Jamiiforums,MODERATORS MUWE MAKINI NA WATU WACHAFU KAMA HAWA!
 
ole wao wale wanaoshadadia upumbavu katika nchi yao wenyewe (ccm) ilaaniwe na watu wote
 
Chama cha ccm kinakopi na kupesti kutoka Chama makini Chadema mfano operation sangara/vua gamba vaa gwanda nae Nape na ccm yake wakafuata njia waliyopita Chadema,aibu aibu kwa chama chenye Serikali kufuata midundo ya mpinzani-Chadema.

CCM wanakwenda kuwatanabahisha Watanzania uongo mnaozua. Eti nani anakopi? vua gwanda ni ya chadema? amma kweli hauko dunia hii.
 
Nape Nnauye kasambaratisha ngome ya Chadema Mafinga Mjini na Wanachama wa Chadema wamesema wamechonga kuwepo kwenye Chama cha Kikabila na kinachoendeshwa na watu kadhaa utadhani chama ni chao na Familia yao, Hawajawahi hata kusema Mamilioni ya Rukuku wanatumiaje zaidi ya kuweka mifukoni mwao hakuna Kiongozi yeyote wa Mkoa au Wilaya anayenufaika na Mamilioni ya Ruzuku wanayopata kutoka kwenye serikali, Na wakauliza Je wakikabithiwa nchi itakuwaje,,

Na Nape kawaeleza adhari ya nchi kukabithiwa kwa wanaharakati Duniani haijawah kutokea nchi ikakabithiwa kwa Wanaharakat huwa haitawaliki na CCM HAWAPO TAYARI KUKABITH NCHI KWA WANAHARAKATI, Nchi huwa inkabithiwa kwa chama cha Siasa...

Tanzania Chama cha Siasa ni CCM Tu coz Viongozi wa vyama vyote ni Oil Chafu iliyomwagwa na Magari ya CCM.

sijawahi kutupa tusi kwenye jamii forum kwa sababu naiheshimu sana lakini kwa leo ashakumu si matusi....wewe ni kiuno tena cha changu...na unafikiria kwa ktutumia masaburi shenzi kabisa usituwekee ***** humu huu muukalie wewe na Nnape wako aliyevimbia utafikiri mwanaume mjamzito kwa sababu ya ufisadi wa fedha za chama chao kila siku chadema kwani ni dume na nyuma yake tuko watu wenye nguvu kama cc...ungenijua yaani wewe na Nnape ungekimbia
 
Kwanza huyu jamaa ni mwongo sana! Nnape alipofanya mkutano huo hapa Mafinga Mjini, watu waliohudhuria mkutanonni hata 200 hawakufika! na hao wachache waliohudhuria ni wana ccm tu, baada ya hapo akaona akusanye walimu wa shule za msingi zilizopo hapa mjini ndo azungumze nao! aibu mtu mzima kuwa mwongo! Hapa ni great thinkers, siyo pa kuleta upupmbavu wako hapa!.
 
Back
Top Bottom