Nape awapasua vichwa CHADEMA

Kama huna cha kuandika sioni sababu ya kutokuwa msomaji wa thread za wenzako tuu kuliko kuandika upambaf Kama huu
Kweli kabisa, huyu jamaa yawezekana kabisa alikuwa anaota! Au katumwa kutaga hayo aliyonayo kwa manufaa ya aliyemtupia ili atage
 
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM.

Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili.

Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!

Yani wewe jamaa una akili za kitoto sana, hivi kuna siku CDM walikaa wakatoa tamko dhidi ya Nape? Hivi unadhani watu wa CDM wana akili kama za watu wa CCM? Ati unajiita huna chama yani hata aibu huna, unadhani unaongea na wanafunzi wa darasa la kwanza hapa?
 
Jaribu kuona mbali ya PUA yako..... Soma maelezo ya Nyamizi na wengine walioona nini kimeandikwa.

Pia acha kuongeza maneno ambayo mie sijaandika kwenye quate zako :)

Anyway, ukikua utaelewa siku moja UANDISHI wa SIKONGE. Kwa leo ngoja nikuache tu kwenye mataa.....

Mwisho ni kuwa mie ni wa SIKONGE. Kuna lolote wataka kujua zaidi juu yangu kuachia mie ni wa wapi?
anaumiza magamba wenzake kichwa au CDM. Hivi Kisumo, Maige na wengine wanaokosoa siasa za Nepi nao Ni CDM! kaka wa wap wewe!
 
Ukiangalia trend ya mijala na thread mbalimbali JF na mitandao mingine ya kijamii including magazeti Nape anaonekana anawaumiza sana kichwa CDM.

Matusi , kejeli na kila aina ya shutuma, ukiziangalia kwa undani utagundua ni kwa jinsi gani dogo anawaumiza CDM. Kwa sisi tusio na vyama hii si dalili njema kwa chama makini kama CDM kuhangaika kiasi hichi na huyu dogo, mnampa umaarufu asiostahili.

Achaneni naye, anawapotezea muda mwingi sana bila sababu!
Huwezi kusema Nape anaipasua kichwa CDM kwasababu maoni unayoyasoma kwenye jf ni maoni ya wanamtandao na wala si maoni ya CDM kama chama. Ukweli, anayeumizwa ni Nape kwa jinsi CDM inavyopeta.
 
Salamu wana JF,
Napenda kujumuika nanyi kwa mara nyingine tena juu ya uwezo na ushujaa alionao kijana mzalendo Mh.Nape kwa kazi ngumu aliyokabidhiwa na CCM,kwanza kabisa amefanikiwa kuwatingisha mafisadi nguli ndani ya chama kwa kipindi kifupi alochoongoza pia anapambana na kelele za CHADEMA zenye nia ya kumkatisha tamaa ambazo bila shaka zinapata support ya MAGAMBA waliopo CCM ambao hawataki kutii amri ya kujivua ili chama kibaki salama bila kuleta chuki kama alivyofanya RA.

Kwa ujasiri alionao bila shaka anatakiwa apewe meno zaidi ya kuwashughulikia mafisadi pamoja na njama za CHADEMA kutumia mgongo wa MAGAMBA,CCM inaiimarika kila siku,watu wanafanyakazi kwa uadilifu,mfumo unabadilishwa ili kukidhi matarajio ya wananchi kupata huduma bora.
NAPE ni moto mkali kwa CHADEMA ndiyo maana hawalali bila kuuliza Mh.NAPE katoa kauli gani kila siku ili wabuni njia mpya ya kumkatisha tamaa...mfano mzuri ..VUA GAMBA VAA GWANDA.....huu ni upuuzi wa copy & paste !

Nilitegemea CHADEMA wawe focus kupata wanachama waadilifu badala ya kusubiri magamba wajiunge kwao.....HONGERA sana Mh.NAPE kwa kuwapa dozi nzito ya kuvua MAGWANDA wavae UZALENDO kama WEWE !

Tunahitaji viongozi wenye UTASHI wa KIZALENDO zaidi badala ya CHAMA kama Mh.ZITTO,Mh.KAFURILA,Mh.MACHAL I,Mh.FILIKUNJOMBE,Mh.MKOSAMALI ,Mh.MNYIKA nk
CHAMA kitumeke kama njia ya kupazia sauti tuuu na si ushabiki wakijinga kama anavyofanya WENJE,LEMA na baadhi ya wanaCDM....
 
hivi ndio anavyowakosesha usingizi? LMAO!!!!!!!
wazee3.jpg
 
Wewe kama jinsia yako ni KE, utakuwa kwenye jitihada za kutafuta mchumba baada ya kukosa kwa muda mrefu sana. Na kama ni ME inawezekana unahitaji msaada wa nepi wa kuku-cameron. Huwezi msifia hivyo bure.
 
Nape hana jipya kwanza ni msaliti wa chama chake alianzisha chama ndani ya chama hivyo siwakuaminiwa sana inamaana wakimnyima keki anasusa nakutaka kujitenga kisiasa kwamaana hiyo siyo kiongozi mvumilivu CCM wamkane na wamnyime ushirikiano maana hana lolote jipya mkimnyima ushirikiano ataenda upinzani ubavu hana ndani ya CCM watu wanamwangalia mwisho atapoa nimaji yaliyochemshwa hayasahau kwao!!
 
Mbona Nape kwa CDM ni mwepesi kama utando wa baibui kwenye upepo wa jangwani.

Umeshawahi kuona CDM wanamjibu Nape? Nape ndiyo anacheza mziki wa CDM.

Ona Lema Ikulu ilimjibu, na bado kichwa kinawauma mpaka magamba yanachanganyana kwa nini alivuliwa ubunge maana havui magamba bali anayayeyusha kwa moto wa gesi.

Bado Kidogo 2015 utaona
 
Duh! Hivi kumbe nchi hii bado ina wendawazimu kama huyu? Sasa ninaamini kuwa kumbe hata Mungu Ashuke vichaa kama hawa hawataisha dunia hii!
Salamu wana JF,
Napenda kujumuika nanyi kwa mara nyingine tena juu ya uwezo na ushujaa alionao kijana mzalendo Mh.Nape kwa kazi ngumu aliyokabidhiwa na CCM,kwanza kabisa amefanikiwa kuwatingisha mafisadi nguli ndani ya chama kwa kipindi kifupi alochoongoza pia anapambana na kelele za CHADEMA zenye nia ya kumkatisha tamaa ambazo bila shaka zinapata support ya MAGAMBA waliopo CCM ambao hawataki kutii amri ya kujivua ili chama kibaki salama bila kuleta chuki kama alivyofanya RA.

Kwa ujasiri alionao bila shaka anatakiwa apewe meno zaidi ya kuwashughulikia mafisadi pamoja na njama za CHADEMA kutumia mgongo wa MAGAMBA,CCM inaiimarika kila siku,watu wanafanyakazi kwa uadilifu,mfumo unabadilishwa ili kukidhi matarajio ya wananchi kupata huduma bora.
NAPE ni moto mkali kwa CHADEMA ndiyo maana hawalali bila kuuliza Mh.NAPE katoa kauli gani kila siku ili wabuni njia mpya ya kumkatisha tamaa...mfano mzuri ..VUA GAMBA VAA GWANDA.....huu ni upuuzi wa copy & paste !

Nilitegemea CHADEMA wawe focus kupata wanachama waadilifu badala ya kusubiri magamba wajiunge kwao.....HONGERA sana Mh.NAPE kwa kuwapa dozi nzito ya kuvua MAGWANDA wavae UZALENDO kama WEWE !

Tunahitaji viongozi wenye UTASHI wa KIZALENDO zaidi badala ya CHAMA kama Mh.ZITTO,Mh.KAFURILA,Mh.MACHAL I,Mh.FILIKUNJOMBE,Mh.MKOSAMALI ,Mh.MNYIKA nk
CHAMA kitumeke kama njia ya kupazia sauti tuuu na si ushabiki wakijinga kama anavyofanya WENJE,LEMA na baadhi ya wanaCDM....
 
Salamu wana JF,
Napenda kujumuika nanyi kwa mara nyingine tena juu ya uwezo na ushujaa alionao kijana mzalendo Mh.Nape kwa kazi ngumu aliyokabidhiwa na CCM,kwanza kabisa amefanikiwa kuwatingisha mafisadi nguli ndani ya chama kwa kipindi kifupi alochoongoza pia anapambana na kelele za CHADEMA zenye nia ya kumkatisha tamaa ambazo bila shaka zinapata support ya MAGAMBA waliopo CCM ambao hawataki kutii amri ya kujivua ili chama kibaki salama bila kuleta chuki kama alivyofanya RA.

Kwa ujasiri alionao bila shaka anatakiwa apewe meno zaidi ya kuwashughulikia mafisadi pamoja na njama za CHADEMA kutumia mgongo wa MAGAMBA,CCM inaiimarika kila siku,watu wanafanyakazi kwa uadilifu,mfumo unabadilishwa ili kukidhi matarajio ya wananchi kupata huduma bora.
NAPE ni moto mkali kwa CHADEMA ndiyo maana hawalali bila kuuliza Mh.NAPE katoa kauli gani kila siku ili wabuni njia mpya ya kumkatisha tamaa...mfano mzuri ..VUA GAMBA VAA GWANDA.....huu ni upuuzi wa copy & paste !

Nilitegemea CHADEMA wawe focus kupata wanachama waadilifu badala ya kusubiri magamba wajiunge kwao.....HONGERA sana Mh.NAPE kwa kuwapa dozi nzito ya kuvua MAGWANDA wavae UZALENDO kama WEWE !

Tunahitaji viongozi wenye UTASHI wa KIZALENDO zaidi badala ya CHAMA kama Mh.ZITTO,Mh.KAFURILA,Mh.MACHAL I,Mh.FILIKUNJOMBE,Mh.MKOSAMALI ,Mh.MNYIKA nk
CHAMA kitumeke kama njia ya kupazia sauti tuuu na si ushabiki wakijinga kama anavyofanya WENJE,LEMA na baadhi ya wanaCDM....

Toa utumbo wako na thread zisizo na maana. Huyo unaye msifia una fahamu kwamba hajui kazi za katibu mwenezi wa chama? Sasa hivi ni waziri asiye na wizara maalum ambapo amebaki kuwapa maelekezo mawaziri. Refer issue ya Magufuli. Wanachama wanakihama chama mpaka sasa hajabuni mbinu mbadala ya kuepuka balaa hilo, matokeo yake anawaita wanao hama oil chafu na kwamba hata wakihama yeye atabaki na chama na hakito kufa. Mtu mwenye mawazo kama hayo ndio unasema hawapi usingizi CDM? Jipeni moyo mpaka kimbunga kitakapo wakumba. Ni ajabu mpaka sasa bado hamuamini kwamba chama kinakufa. KANU nao walikuwa kama ninyi. Ila tofauti na KANU kifo chenu kitakuwa kibaya sana kiasi hata dalili za kwamba ilikuwepo CCM hazito kuwepo. Even if you argue time will but tell..
 
Inabidi huyu jamaa asikilize sana ZILIPENDWA...............

Last edited by a moderator:
Salamu wana JF,atuitaji salam yako
juu ya uwezo na ushujaa alionao kijana mzalendo Mh.Nape kwa kazi ngumu aliyokabidhiwa na CCM,kwanza kabisa amefanikiwa kuwatingisha mafisadi nguli ndani ya chama
{nimafisadi wangapi kawatoa ndani ya chama? kwa kipindi kifupi alochoongoza{kumbe Nape nikiongozi?} pia anapambana na kelele za CHADEMA {CDM nikama maji usipo yakoga utayanywa}zenye nia ya kumkatisha tamaa ambazo bila shaka zinapata support ya MAGAMBA waliopo CCM ambao hawataki kutii amri ya kujivua ili chama kibaki salama bila kuleta chuki kama alivyofanya RA.

Kwa ujasiri alionao bila shaka anatakiwa apewe meno zaidi ya kuwashughulikia mafisadi pamoja na njama za CHADEMA kutumia mgongo wa MAGAMBA,CCM inaiimarika kila siku,watu wanafanyakazi kwa uadilifu,mfumo unabadilishwa ili kukidhi matarajio ya wananchi kupata huduma bora.
NAPE ni moto mkali kwa CHADEMA ndiyo maana hawalali bila kuuliza Mh.NAPE katoa kauli gani kila siku ili wabuni njia mpya ya kumkatisha tamaa...mfano mzuri ..VUA GAMBA VAA GWANDA.....huu ni upuuzi wa copy & paste !

Nilitegemea CHADEMA wawe focus kupata wanachama waadilifu badala ya kusubiri magamba wajiunge kwao.....HO
NGERA sana Mh.NAPE kwa kuwapa dozi nzito ya kuvua MAGWANDA wavae UZALENDO kama WEWE !

Tunahitaji viongozi wenye UTASHI wa KIZALENDO zaidi badala ya CHAMA kama Mh.ZITTO,Mh.KAFURILA,Mh.MACHAL I,Mh.FILIKUNJOMBE,Mh.MKOSAMALI ,Mh.MNYIKA nk
CHAMA kitumeke kama njia ya kupazia sauti tuuu na si ushabiki wakijinga kama anavyofanya WENJE,LEMA na baadhi ya wanaCDM....

Kama si bangi ni gongo au nikutokujuwa kwako au niposho!
 
hivi ndio anavyowakosesha usingizi? LMAO!!!!!!!
wazee3.jpg

Source please!!

Yaani hii picha ya NEPI inayoonyesha akihutubia wanawake wanaogaragara chini kama vile wamepandisha maruhani ndo inayo wakosesha CHADEMA usingizi kweli????You must be joking! Hivi umewahi kushuhudia picha za mikutano ya

CHADEMA inavyofurika??

beybnp.jpg
 
Attachments

  • 122c5g1.jpg
    122c5g1.jpg
    113.7 KB · Views: 27
CHAMA HAKIIMARISHWI KWA KUCHEZA NGOMA HUO MUDA ULISHAPITA HAO WOTE WANAOCHEZA NGOMA WAMEPEWA VITENGE NA KUNYWESHWA GONGO NA NAPE HAKUNA MVUTO NI KUJITANGAZA YEYE TU SASA PALE BARABARA YA DODOMA IRINGA KAINGIZA WANACHAMA WANGAPI ASUBIRI LOWASA ACHUKUE NCHI ATARUDI KWAO NEWALA KIKWETE KAKULENGESHA POLE SANA:crazy:
 
"can mendacity of this allegation obfuscate the trajectory of this projectile??? Napita tu lakini nitarudi, hakuna chama makini kama chadema. Kama mnabisasha mniambie kingine, hakuna tanzania.
 
Nape huyo kaja kivingine. Tumia jina lako Ndugu Nape sio unapitia mlango wa nyuma. Thread kama hizi ni zile za Mapunguani.
 
Ni kweli kabisa maneno yako......

attachment.php

Kwa taarifa yako hata hawa hawadanganyiki. Nafikir kawapata wengi kiasi hiki kwa kuwa kulikuwa na ngoma na maturumbeta, lakini ukisema 'Peopleeeeeeeeeeeez!! Utausikia mwangwi wake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom