Nape awapasha wana taaluma Mlimani City

BILA DR. SLAA KUWA RAIS HAKUNA HUDUMA BURE KWA JAMII.
progress.gif


Je, mumeshawaandaa wake zenu kuwa naye? Nabii Jones wa Marekani.
 
Dah hii Kali atutajie wakina nani hao tule nao sahani moja haiwezekani tukawa tunapiga kelele kumbe kuna watu wanoishauri serikali upumbavu. Najua watajitetea kuwa tuliwashauri hivi serikali wakabisha. Lakin twende nyuma twende mbele wanasheria ndo wanaoifanya nchi yetu iwe masikini.

Wanasiasa ndo wanaoifanya nchi yetu iwe tajiri? au ni nani haswa?
 
Back
Top Bottom