Nape ashangilia ushindi wa CHADEMA?

Nape ashangilia ushindi wa CHADEMA?

Ila nadhan hata yeye sioi anashukuru kiaina kwa sababu mi sikumuona kama yupo serious na kampeni zake. Kina mwigulu walifuata pesaaa. Wameshajua kuwa hakuna kitu tena zaidi ya kula. Kama mnabisha mfuatiliene mwigulu mafanikio yake baada ya hii chaguzi.
 
ilikuwa vita embu acheni fix.
Unafikili mpk kumwita Mkapa hawakuchukulia serious
We hukusikia alichozungumza kwenye ufunguzi wa kampeni. Lakin kuna tetesi kwamba zile zinazoitwa kids zake ni za MRAMBA, laana hyo
 
Kuna tetesi kuwa Nape na wenzake Kama Kumi na moja wapo ktk baa Dar wakishangilia ushindi wa CDM. Kama kuna yoyote mwenye kutupa zaidi atujuze lakini Pongezi sana wana CDM

Ushindi wa cdm ni pamoja na wana ccm wapigania haki ndani ya ccm
 
Back
Top Bottom