Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,268
Kumekua na Taarifa nyingi kuhusu LOWASA kuwa si msafi ,fisadi ,mwizi yote majina haya ameitwa yeye,sasa nauliza je wewe unaemwita mwnzio mchafu ,mwizi wewe si kama yeye.
jikague usafi wako upo wapi mpaka sasa hivi.
NAULIZA NAOMBA KUJIBIWA....
Usafi wake uko wapi fisadi mkubwa huyo .
Wewe nae unajiita thinker nyau.tofautusha mtu kutaka kuongoza nchi na yule mtu just to keep the family happy. Mlungo wewe Dvs 5.
Swissme
Kumekua na Taarifa nyingi kuhusu LOWASA kuwa si msafi ,fisadi ,mwizi yote majina haya ameitwa yeye,sasa nauliza je wewe unaemwita mwnzio mchafu ,mwizi wewe si kama yeye.
jikague usafi wako upo wapi mpaka sasa hivi.
NAULIZA NAOMBA KUJIBIWA....
Kumekua na Taarifa nyingi kuhusu LOWASA kuwa si msafi ,fisadi ,mwizi yote majina haya ameitwa yeye,sasa nauliza je wewe unaemwita mwnzio mchafu ,mwizi wewe si kama yeye.
jikague usafi wako upo wapi mpaka sasa hivi.
NAULIZA NAOMBA KUJIBIWA....
Waziri mkuu yupi tanzania alishawahi fukuzwa kazi! Historia haidanganyi, nyerere alishasema hafai ni mwizi, leo hii unataka kutuaminisha kuwa anafaa, kamjaribu kwenye biashara zako ila si kwa nchi
Fisadi lililokubuhu kama Lowasa haliwezi kufaa kwa lolote lile.Hafai kwa lolote lile ni fisadi asiyefaa kabisa.
Kumekua na Taarifa nyingi kuhusu LOWASA kuwa si msafi ,fisadi ,mwizi yote majina haya ameitwa yeye,sasa nauliza je wewe unaemwita mwnzio mchafu ,mwizi wewe si kama yeye.
jikague usafi wako upo wapi mpaka sasa hivi.
NAULIZA NAOMBA KUJIBIWA....
Kabla 'Dhaifu' hajawa Rais nilisikia mengi mabaya juu yake: 'alimfunga fulani na wanae'; ni mwenda disco; 'Nyerere alisema hawezi'....Ilipofika wakati wa kampeni za urais vyombo vya habari vilivyo rasmi na visivyo vikakoma kuongelea habari za Mr. 'Dhaifu'. Kwa uzoefu huo EL anajua historia kama hii itajirudia. Kiukweli Mr. 'Dhaifu' siyo dhaifu walio dhaifu ni watanzania kutokana na sababu nyingi. Nasema tena kwa mtandao huu ccm waweza kufanya lolote ilimradi wasalie madarakani hata Kwa Rais aliye na historia chafu kama ya EL. It is hard even for me to believe this and i continue to pray that it should not happen. my aspirations is to see new Tanzania being ruled with a new visionary political party.
je wewe usafi wako upo wapi??
Magamba wote wachafu ndio maana Lowassa anachanja mbuga kuelekea 2015...Hakuna hata mmoja wa kumnyooshea kidole na kumwambia, "Kwa ufisadi ulioufanya nchi hii kamwe haustahili kupewa ridhaa na Watanzania ili kuwaongoza, hivyo kaa pembeni."
Mkapa mchafu, Mwinyi mchafu, Kikwete mchafu, SAS naye walishamchafua DHAIFU na kundi lake la mtandao, kwa UDHAIFU huo mkubwa uliopo ndani ya magamba Lowassa anajua watasema pembeni tu lakini hadharani wanaogopa kumkemea maana nao pia ni watenda dhambi hivyo ameanza kutoa rushwa mapema sana ili kujisafishia njia ya kwenda Ikulu 2015. Sijui mpaka tunafika October 2015 atakuwa ametumia mabilioni mangapi katika kutoa rushwa ili kununua ULAIS...Siyo siri nchi yetu imeoza!!!
Fisadi lililokubuhu kama Lowasa haliwezi kufaa kwa lolote lile.
je wewe usafi wako upo wapi??
Mkuu hapo kwa mkapa umeongea ukweli ..si unajua alimuua nyerere. .hiyo dhambi itamtafuna milele