.......... Nape... Nape..... Nape ! kama anakiri kwamba EL sio msafi.. pengine anao ushahidi wa kuthibitisha hayo..........
Kama EL ni msafi mbona amesepa kugombea NEC ngazi ya Taifa na badala yake akakimbilia Monduli?
akiongea na makutanoshow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia ccm baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.
Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake cc na nec siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.
Alitoa mfano mara tatu kuhusu lowassa kwamba siyo msafi na hata nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.
Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.
Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.
Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.
Membe is another dhaifu!! over my dead body shall allow another disaster in my country!! After all ma country can not survive the second blow!!Akiongea na MakutanoShow sasa hivi ameongelea kuhusu mgombea urais kupitia CCM baada ya kuulizwa kuhusu tuhuma za rushwa zinazohusishwa na mbio za urais.
Amesema hata kama mtu akijaza wapambe wake CC na NEC siyo kigezo cha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa urahisi.
Alitoa mfano mara tatu kuhusu Lowassa kwamba siyo msafi na hata Nyerere alisema hivyo. Alisema kwamba siyo lazima kuwepo ushahidi bali kama watu wanaongea tu na kukuhisi inatosha kuthibitisha kwamba wewe siyo msafi.
Katibu wa itikadi na Uenezi anayeeneza uchafu wa chama chake na wanachama bila kushurutisha hatua za kinidhamu kuchukuliwa.ningekuwa yeye ningejiuzulu nafasi hiyo kwa kuwa inaonekana chama hakiko tayari kujisafisha ili aeneze mambo masafi ya chama!
Mbona wenye unafuu CCm wapo wengi tu kwanini msiwatumie na kuwapa nafasi za kuongoza waokoe jahazi japo kwa muda mfupi tu. Maana hali ilivyo sasa si lowasa wala membe anayeweza kuokoa jahazi lenu lisizame. Membe, Lowasa na Sita mnaweza kutumia staili yenu ileile ya Zamu ya mwanamke au Zamu ya Zanzibar kumaliza uroho wa watu hao. Wao walishashindwa wanataka nini tena. Na haya mamilioni wanayoyatumia kupanga safu zao watayarudishaje. CCM WAKATAENI HAO WOTE KWANI WATAKUJA KUENDELEZA CHUKI, VISASI NA UFISADI TU