Nape apotea njiani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape apotea njiani

Discussion in 'Jamii Photos' started by andrews, Jun 4, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]:israel:
   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  SASA KWELI HAJUI ALIFANYALO MAANA HAPA UCHAGUZI UKIJA UTAWAAMBIA NINI WAPIGA KURA WA CCM SIFA ZINAMPONZA HUYU ***** ATAISHIA KUCHEZEWA NGOMA HATA UBUNGE HATAUPATA WAKATI CHADEMA IMECHUKUA NCHI 2015 RIP NAPE NA CCM:violin:
   
 3. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kapotea nini sasa, mbona picha haitoi maelezo zaidi.
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,568
  Likes Received: 18,313
  Trophy Points: 280
  Wajameni, hivi haiwezi kupita siku bila kumtaja huyu mtu humu?!. Mbona mnampa umaarafu asio stahili?!.

  Please stop this obsession kuhusu haya mavuvuzela!. Kama vuvuzela halipigi kelele kuvuvuzeli, nyie wote mnaokosa usingizi bila kulitaja jina lake sasa ndio mnageuka mavuvuzela yake!.
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Anaogopa kufanya Rally kwa wananchi anatoa ushamba kwa kupiga picha na ngozi nyeupe. Ama kweli maskini akipata ****** huchezacheza

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 6. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hahahahahaha heee napeeeeeeeeeeee...boooooooooooo
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Jeshi la mtu mmoja kanyaga twende.
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hivi huyu anajijua kweli vitu anavyofanya huyu?ndo maana alifukuzwa kushiriki kampeni igunga huyu
   
Loading...