Nape apata aibu Serengeti

Nape azawadiwa mizomeo Serengeti-alikuja kujibu mashambulizi baada ya kamanda mimi na mwenyekti wa cdm taifa na wabunge 5 wa chadema kuangusha mvua ya elimu kwa wapiga kura wetu, Nape alianza kutoa kejeli kwa wapinzani na kukomelea misumari ya kashifa ambayo ilimgeukia na kumchoma mwenyewe, jamaa alimponda marehemu diwani na kusema watu wa kata husika hawakupata maendeleo kwa kuwa walimchagua kibaka ( diwani ambae ni marehemu) watu waliposikia hivyo walianza kutukana na kuzomea huku wakiondoka..., kama anabisha huyo nepi aseme, anasema hata kitambi alichonacho yeye ni zao la udc aliofanya takribani miezi 7, hivi kweli kwa mwanasiasa mwelewa na mwenye akili unjisifu kwa maradhi tena kwa kodi za wananchi ambao wanakula mlo mmoja kwa siku
Shame on you nape, anyway tumsamehe unajua hajapata malezi ya pande zote mbili baba na mama, maana yeye ni mtoto wa nje ya ndoa hivyo ana inferior complex, kwa hiyo kupata kitambi kaona kamaliza kila kitu
nawasilisha
 
WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
HATA WEWE UNARUHUSIWA KUSEMA UKWELI SIO UNALETA MAMBO nusu nusu hapa YA KINAFKI weka bayana watu walireact vipi wakati mkutano ulikuwa niwenu magamba.tunakusubiri arusha ujekupigia kampeni madiwani wenu ktk kata tano ulete story zako ziczo na mashko ndo utajua kwanini arusha na moshi vijana wanajiita ma chalii na sio masela
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....

ninachojua ni kwamba ww ni mnafiki nambari 1 hasa kwa photo caption yako ya juzi kule FB uliyo mhusisha dr slaa kwamba ni mnafiki mbele ya dr mkweree, sisiemu hakika bora iwe na fisadi EL, Rosttamu na mr vijisent kulko ww.
 
katibu wa itikadi na uenezi wa ccm bwana nape nnauye leo amepata aibu ya kuzomewa vibaya hapa serengeti alipokuja kumnadi mgombea wa udiwani wa ccm,mkasa ulianza pale alipoanza kusema kwamba chadema ni chama cha wahuni amezomewa vibaya mpaka mkutano ukavunjika.

hizo ni siasa chafu kwan nape yupo kukukitetea chama na c kutaka kuleta mabadiliko wangempiga mawe kabsa
 
Nape toka lini akawa muhuni?
au unamfananisha Nape na wahuni wa CDM?

nape ni zaidi ya muhuni hajielewi yupo kichama kulko ktaifa.. Nimemshusha thamani kwa status yake kule fb.. Hakika watu kama hawa huku kwetu songea tunawaita "left hand"
 
katibu wa itikadi na uenezi wa ccm bwana nape nnauye leo amepata aibu ya kuzomewa vibaya hapa serengeti alipokuja kumnadi mgombea wa udiwani wa ccm,mkasa ulianza pale alipoanza kusema kwamba chadema ni chama cha wahuni amezomewa vibaya mpaka mkutano ukavunjika.

mbona anazunguka sana? kwani ataenda lini kwa mpwa wangu Igunga?
 
Nnauye we muoga! Ebu niambie kwa nini nilipokupasha kule FB umeniblock? Mwaka huu wako! Narudia kukuambia jivue uanachama wa CCM uwe huru otherwise ile tahadhari uliopewa inaweza kuwa kweli. Tuje ktk mada: unajickiaje kila unapoenda hupendwi? Unazomewa? Na km kweli mbowe jana alizomewa km wewe kwa ulivyo na akili za kitoto mbona haukubandika hapa mpaka usemwe ndo umtumie Mbowe km ngao? I pity u ooh...!

Nape, soma kwa makini hapo juu.
 
nape ni zaidi ya muhuni hajielewi yupo kichama kulko ktaifa.. Nimemshusha thamani kwa status yake kule fb.. Hakika watu kama hawa huku kwetu songea tunawaita "left hand"
usije ukamsababishia dege dege lakini!
 
Nape azawadiwa mizomeo Serengeti-alikuja kujibu mashambulizi baada ya kamanda mimi na mwenyekti wa cdm taifa na wabunge 5 wa chadema kuangusha mvua ya elimu kwa wapiga kura wetu, Nape alianza kutoa kejeli kwa wapinzani na kukomelea misumari ya kashifa ambayo ilimgeukia na kumchoma mwenyewe, jamaa alimponda marehemu diwani na kusema watu wa kata husika hawakupata maendeleo kwa kuwa walimchagua kibaka ( diwani ambae ni marehemu) watu waliposikia hivyo walianza kutukana na kuzomea huku wakiondoka..., kama anabisha huyo nepi aseme, anasema hata kitambi alichonacho yeye ni zao la udc aliofanya takribani miezi 7, hivi kweli kwa mwanasiasa mwelewa na mwenye akili unjisifu kwa maradhi tena kwa kodi za wananchi ambao wanakula mlo mmoja kwa siku
Shame on you nape, anyway tumsamehe unajua hajapata malezi ya pande zote mbili baba na mama, maana yeye ni mtoto wa nje ya ndoa hivyo ana inferior complex, kwa hiyo kupata kitambi kaona kamaliza kila kitu
nawasilisha

Ahsante sana kamanda kwa taarifa za ukweli.

Kifo cha diwani ryoba kimehusishwa na wanaccm, alikuwa anapependwa sana na wananchi na ndio walimshawishi kuingia kwenye siasa baada ya kuchoshwa na ccm.

Kwa namna yoyote ile kumsema vibaya marehemu ryoba kwa wapiga kura wake ni kujitafutia ugomvi nao.
 
Wananchi saizi wameamka sana wana kiu na mageuzi bila kujali kama mageuzi hayo yatawasaidia au laa. Ona Zambia na kama CCM haitakuwa makini hali itakuwa mbaya uchaguzi ujao 2015.
Mzee hiyo usiulize 2015 CCM ni safari, hayo maghamba sijui minyumbuliko, sijui kbadilika ni ngumu saana, hawana pa kushika zao zimefika!!!!!!!!
Waswahili wana msemo ukitaka kufa chungulia kaburi!!! Mwenzio akinyolewa zako tia maji Zambia mfano tosha!!!!!!!
 
Mkuu, huyu nape si ndio alisema sio ajabu kwamba PF imeshinda Zambia, kwani walishawahi kushinda tena zamani??! Hajui hata PF ilianzishwa lini na the fact kwamba haijawahi kushinda uchaguzi wowote zaidi ya huu wa juzi.....huyo ni mzee wa kauli za rejareja.
Mwambie aende kwa machalii akaongee hayo aone kama hawatambusu.
Mkuu Nape kulinganisha mikutano yenu na CHADEMA ni kama kulinganisha apples and bananas maana nyie ni mafundi wa kukusanya watu kutoka vijijini kwa malori, kuwapa kofia, vilemba na vitenge na pia burudani kwa sanaaaaa. Sasa kama haya nnayosema hayakuwepo basi ni kweli ulimpiku Mbowe japo siamini mpaka nione ushahidi. Mwaga picha mkuu!! Halafu kumbuka uliniahidi mwisho wa wiki kwamba unaelekea Igunga na seriously nikabet $100 kama kweli tutakuona Igunga ukihutubia mkutano wa kampeni vp imekuwaje mbona mara Mwanza sasa Serengeti. I am very serious na hiyo $100.
 
wewe nape hivi unataka kuuambia ulimwengu na jamii ya watanzania kuwa wewe sio mteule wa rais ambapo alikutewa kuwa mkuu wa malaya DC na sasa kazi hiyo unaifanya muda gani kule ulikopelekwa na huku ukizurula kutafuta popularity tuamba ny*****do isato
 
wewe nape hivi unataka kuuambia ulimwengu na jamii ya watanzania kuwa wewe sio mteule wa rais ambapo alikuteuwa kuwa mkuu wa malaya DC na sasa kazi hiyo unaifanya muda gani kule ulikopelekwa na huku ukizurula kutafuta popularity  tuamba ny*****do isato 
 
Usitumie muda mwingi kujibizana a na hawa CDM huku, always wanajaribu kupindisha ukweli.
CCM still tuna nguvu na tutaendelea kuwa na nguvu.
Kama mna nguvu Rejao mbona mlikwenda kuchoma magari ya kampeini ya CDM, mmechoka mbaya na siasa zenu uchwara!!!!!!! Watu wamewachoka mnasubiri siku zenu tuu kama Zambia mkalale!!!!!!!
 
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....

Kwani wingi wa weatu wa watu ndo manake nini? Kuwa wako upande wako?. Pole!!
 
Kuweni makini mikutano yenu mpaka msombe watu kwa malori uwingi wenu kwa siku za leo hautishi watu wameamka mpaka mlazimishe na watoto Wa shule kuacha masomo kisa kampeni.

QUOTE=Nnauye Jr;2548075]Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom