Hii habari imepostiwa saa 6 usiku kwa saa za bongo. Ulikuwa wapi kupost tangu muda wa tukio? Au mkutano ulivunjika usiku? Hii source siiamini kabisa
Wewe unaishi Tanzania?Kamaungelikua unaishi Tanzania unapaswa kuelewa mosi tatizo la umeme pili tatizo la mtandao.Hivyo umtendei haki mtumaji wa post hiyo.Hii habari imepostiwa saa 6 usiku kwa saa za bongo. Ulikuwa wapi kupost tangu muda wa tukio? Au mkutano ulivunjika usiku? Hii source siiamini kabisa
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
Usitumie muda mwingi kujibizana a na hawa CDM huku, always wanajaribu kupindisha ukweli.Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
Usitumie muda mwingi kujibizana a na hawa CDM huku, always wanajaribu kupindisha ukweli.
CCM still tuna nguvu na tutaendelea kuwa na nguvu.
kuuliza sio ujinga.hivi wewe ni mtoto wa mzee wetu Mosses Nnauye?mbona akili zako tofaut na nilivyomfahamu marehem,Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
katibu wa itikadi na uenezi wa ccm bwana nape nnauye leo amepata aibu ya kuzomewa vibaya hapa serengeti alipokuja kumnadi mgombea wa udiwani wa ccm,mkasa ulianza pale alipoanza kusema kwamba chadema ni chama cha wahuni amezomewa vibaya mpaka mkutano ukavunjika.
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
Safari hii kuna kazi kweli kweli , Nape anadhani watu wanjifariji JF sijui ili iweje? Kuna mengi ya kufanya kuliko kujifariji kinakodaiwa na Nape humu JF, cha msingi yeye akubaliane na hali halisi kuwa watu wanahitaji mabadiliko!
Nape toka lini akawa muhuni?ndo dawa yake.
Njia pekee ya kufanya uhuni wake ni kupitia media, akifanya uhuni huo mbele ya public wenye uelewa watamgomea tu