Naomba Kuuliza Je WAZIRI NAPE anayo mamlaka kisheria Kuunda Tume ya Kufanya Uchunguzi dhidi ya Mtu ambae ni Presidential appointee, ambaye kimsingi wapo level moja. Tena Tume yenyewe inatoka chini ya mfumo uliyopo nje ya Serikali.
Mkuu wa mkoa ni bosi wa mkoa..... waziri ni boss ya wizara na ukuu wake hauna mipaka ya mikoaKwani waziri ni sawa na mkuu wa mkoa nani humtetemekea mwenzie
Waziri na mkuu wa mkoa wapi sawaunaposema kimsingi wapo level moja unamaanisha hata wateule wote wa raisi kama wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wapo level moja na mawaziri?... sio sahihi
Ndiyo ila hana mamlaka ya kumwajibishan mpaka aombe mteule wakeNaomba Kuuliza Je WAZIRI NAPE anayo mamlaka kisheria Kuunda Tume ya Kufanya Uchunguzi dhidi ya Mtu ambae ni Presidential appointee, ambaye kimsingi wapo level moja. Tena Tume yenyewe inatoka chini ya mfumo uliyopo nje ya Serikali.
Ninachofaham mimi mwenye mamlaka ya kuunda tume ni Rais, na hawa viongozi wengine kikatiba wanayo mamlaka ya kuunda kamati. Na Nape aliunda kamati na siyo tume, rejea tamko lake.Naomba Kuuliza Je WAZIRI NAPE anayo mamlaka kisheria Kuunda Tume ya Kufanya Uchunguzi dhidi ya Mtu ambae ni Presidential appointee, ambaye kimsingi wapo level moja. Tena Tume yenyewe inatoka chini ya mfumo uliyopo nje ya Serikali.
Ni kweli wapo level moja,mshahara wa waziri ni sawa na mshahara wa mkuu wa mkoa na Naibu waziri yupo chinu ya Mkuu wa Mkoaunaposema kimsingi wapo level moja unamaanisha hata wateule wote wa raisi kama wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wapo level moja na mawaziri?... sio sahihi
huwezi,ni subornation,kimumo unapaswa kuuliza mamlaka iliyowateua,pia anajua kuwa mkuu wa mkoa kwenye mkoa wake ana mamlaka kwa sekta zote na waziri ana mamlaka kwenye sekta yake tu.Naomba Kuuliza Je WAZIRI NAPE anayo mamlaka kisheria Kuunda Tume ya Kufanya Uchunguzi dhidi ya Mtu ambae ni Presidential appointee, ambaye kimsingi wapo level moja. Tena Tume yenyewe inatoka chini ya mfumo uliyopo nje ya Serikali.