Nape anapenda chadema

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Licha ya kuisifia chadema ameonekana kuipenda kivitendo.naona anaieneza bila yeye kujua.nimemwona taarifa ya saa mbili kavaa kombati ya chadema
 
Hebu tuabarishe sie ambao hatujarudi majumbani mwetu imekuwaje gamba ameisifia na kuvaa kombati za ukombozi?
 
surname hata kama sio chadema basi ana mapenzi na chadema. Kuna m2 havai njano cz haipend tim ya yanga. Na kijan vile2. Nape anaipenda CDM kwa moyo wake wote.
 
So ukimkuta mtu kavaa nguo ya njano utasema huyu anaipenda yanga?

Ubishi wa nini wewe? kombati ni vazi rasmi la chadema, kwa kuwa wako kwenye mapambano dhidi ya ccm kwa ajili ya kuwakomboa watanzania kifkra, mtizamo, kiuchumi n.k.
 
kama kwel haipend kutoka moyon hawez vaa. Kuna mashabik wa ukwel bana km ni simba huez mkuta kavaa nguo ya njano. Tena anaichukia hyo rangi. Wapo nawafahamu.
 
Hiyo hata Nape anajua ndani ya moyo wake kua CDM ndio chama cha ukombozi sema tu ndo hivo hataki kupiga teke kapu la hela si unajua CCM ni sehemu yao ya kujichotea (shortly Nape yupo pale kimaslahi tu)
 
Ukweli NAPE anaujua kuwa CHADEMA ndiyo chama cha kuleta uhuru TZ,Kashindwa kujizuia imembidi kuvaa vazi rasmi la chadema huwezi kumkuta mshabiki wa YANGA kavaa nguo nyekundu za Simba,ANGUKO LA CCM LIMETIMIA.
 
Ubishi wa nini wewe? kombati ni vazi rasmi la chadema, kwa kuwa wako kwenye mapambano dhidi ya ccm kwa ajili ya kuwakomboa watanzania kifkra, mtizamo, kiuchumi n.k.
Nilikuwa mbali na TV.lakini kelele za shangwe za watoto zilinistua ndipo nilipomuona ndani ya vazi linalovuta hisia za watu na mvuto wa pekee.nichosema imemngarisha.Nape tunajua upo mguu moja ndani mwingine nje endeleza fikira za kututambulisha.
 
Back
Top Bottom