Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,158
Hii nimeipata kutoka kwenye fainali za Maisha plus kuwa Nape ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi msimu uliopita alitoa ahadi kwa Mshindi,ambayo mpaka leo anampiga chenga kumpa zawadi hiyo
. Kweli ahadi za Viongozi wa CCM hazitekelezeki.
Maelezo zaidi...
KWENYE FAINALI ZA MAISHA PLUS leo Tar 18/05/2014...
MASOUD KIPANYA alimuuliza "ile zawadi" uliyoahidiwa na mgeni rasmi wa mwaka jana ulishapewa! Dada aliomba kupitia TBC kuwa "Mh.Nape ile zawadi uliyoniahidi mbona hujaitekeleza! Nimesumbuka sana ofisini kwako nakuta gari lako ila wasaidizi wako wananiambia haupo" Tehe tehe teheeeee!!!
Nnape Nnauye; Ritz; Faiza Foxy.
=======
UPDATE:
Kwa mujibu wa Nape, yeye hakuwepo kwny fainali za Maisha Plus