Nape amdhulumu mshindi wa Maisha Plus 2013

Nape amdhulumu mshindi wa Maisha Plus 2013

alikuwa anaenda ofisi gani? nape ofisi zake ni blogs na jf.kazi kuweka picha za sekretarieti.na tumbo lake kama pipa.ni tapeli aliyekubuhu
 
Hii nimeipata kutoka kwenye fainali za Maisha plus kuwa Nape ambaye aliyekuwa mgeni rasmi msimu uliopita alitoa ahadi kwa Mshindi,ambayo mpaka leo anampiga chenga kumpa zawadi hiyo. Kweli ahadi za Viongozi wa CCM hazitekelezeki.
Habari yenyewe imekaa kama kaandika mwanao haina kichwa wala miguu inamapungufu makubwa sana kwa maana ya kutokamilika hebu twambie ilikuwa zawadi gani,ilikuwa lini,wapi,nani kadhulumiwa na kwa malengo gani,je upande wa pili nape umemuuliza kasemaje.
 
Alidhulumiwa nini? Lini? kuna ushahidi? Maana nyie wana siku hizi mmezidi uzushi ni vigumu sana kuaminiwa!
 
Msalani-Mjepo someni thread za wengine hapo juu sio mnakurupuka kisa nimemtaja Boss wenu! Tena ngoja nimuulize mdau wa Maisha plus ni zawadi gani Msonyxxxxxxxo!
 
Nape kakosea sana ahadi ndogo kama ile imemshinda kutimiza sasa ahadi nyingine ataweza
 
CCM na makada wao wote ndivyo walivyo!
mwambie mdada wa watu asiikomalie sana hiyo zawadi asije akaambulia VVU na tusker bariiidi!
 
Hii nimeipata kutoka kwenye fainali za Maisha plus kuwa Nape ambaye aliyekuwa mgeni rasmi msimu uliopita alitoa ahadi kwa Mshindi,ambayo mpaka leo anampiga chenga kumpa zawadi hiyo. Kweli ahadi za Viongozi wa CCM hazitekelezeki.

Uharo!!!
 
Habari yenyewe imekaa kama kaandika mwanao NIMEANDIKA MIMI BAADA YA KUSHIKWA NA BUTWAA.
haina kichwa wala miguu inamapungufu makubwa sana kwa maana ya kutokamilika HAINA KICHWA NA MIGUU KWA KUSHIKWA NA BUTWAA.
hebu twambie ilikuwa zawadi gani MASOUD KIPANYA HAIKUITAJA ,
ilikuwa lini MWAKA JANA MWISHONI MWA MAISHA PLUS NNAPE ALIKUWA MGENI RASMI,
wapi MAISHA PLUS VILLAGE KIGAMBONI ,
nani kadhulumiwa MSHINDI WA KWANZA
na kwa malengo gani ANAYOYAJUA NNAPE MWENYEWE,
je upande wa pili nape umemuuliza kasemaje YUPO BUSY NA YULE KATIBU MWENYE USO MPANA NA RANGI YA NJANO ANAYE VUNA NYARA AMBAZO JINA LAKE LINAFANANA NA LA KWANGU LA KWANZA.

Natumaini nimekujibu!
 
Eleza vizuri Tusker baridiii,hatutaki tetesiiiiii

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Faiza siku hizi hayuko nao hivyo unapomtaja Ritz n company usimchanganye tena kaamua kusimama mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa kwanini ile listi ya akina ndama mutoto ya ng'ombe na msofe na yule aliyekamatwa Dubai inakosa mtu kama nape......ni tapeli mkubwa....
 
Back
Top Bottom