Nape alinunua kadi za CHADEMA

Tanzania ya Leo hakuna kijana angethubutu kujiunga na chama ambacho kipo hoi. Watu wapo makini sana.
 
Hivi kadi zinawasumbua? Kila chama cha siasa huwa kinatumia kadi za wapinzani wao kupiga propaganda. Nilikuwa kwenye chama fulani miaka ya nyuma kwenye mikutano tulikuwa tukipanga vijana wetu maeneo tofauti tofauti pale uwanjani na wanarudisha kadi ambazo ni fake ili kuwavuta watu. Kwa hakika katika kufanya hivyo walipatikana wanaorudisha kadi ki ukweli. Hizo ndizo siasa wala msihangaike na watu kurudisha kadi; uongo huwa mwingi kuliko ukweli.
 
NAPE- The most hopeless creature in the present world!
Ni utoto wa karne hii huu!
 
kadi zenyewe mpyaaa....

Mie nilikuwepo mkutano wa cdm,kadi za ccm zilizorudishwa ni za zamani ambazo zimechakaa,lkn hizi za jangwani jana ni kweli zote mpyaa nyingine hazina majina kabisa,hazina hata hologram!! Ccm wamechemka!!
 
Acheni kuweweseka, atleast jipangeni mje na uongo mmoja kuliko kila siku mara kadi feki, zimeibiwa. Nape mwib

Ukwl huwa unauma, nyie ndio mjipange kwn hatutakubal ifikapo 2015 muwe wapinzan mfu, 2nataka nanyi 2wajenge ili pind CHADEMA itakapoingia ikulu nany muweze kutoa changamoto.
 
NAPE- The most hopeless person creature in the present world!
Ni utoto wa karne hii huu!

Nnauye Jr, sifa zako hizo. Degree za kuchakachua, kisiasa ndo ushakuwa hivyo tena, we kwisha kabisa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kodemu kwa hiyo kwenye post yako ya kwanza unachotaka kusema ni kwamba siku CDM wanafanya mkutano walivuna wanachama fake na jana CCM wakarudisha wanachama wao au siyo? Hivyo ngoma drooo au? Hiyo yote ni michezo ya kisiasa. Wageni kwenye siasa ndio mnashangaa haya. Mwanzoni wakati tunaanzisha vyama vya siasa tuliitumia sana mbinu hii kuonyesha kwamba tunavuna wanachama toka CCM. Ila kuna wakati mbinu hiyo hizaa matunda kwa kuwa kwenye msafar wa mamba unakuta na kenge na mijusi wamo; unavuna.
 
Last edited by a moderator:

Duh! hii ni mbombonyafu!.
 
kama unavyosema ni kweli..mpango huu hautafanikiwa kwani benki hazitoi mikopo kwa kufuata itikadi za vyama...kila mtanzania ana haki ya kupata mkopo kutoka katika benki yoyote..bila kuangalia ametoka chama gani...na masharti ya mikopo hayaangalii vyama.....
 
Yan ni kiangalia card yangu na card za hapo juu, yani inabidi nicheke na kumuonea huruma wassira na nape.

Nawaomba nyinyiemu wajaribu kumpa binu nape za kudanganya watu hizi anazo tumia kwakweli ni njia za watoto.
 


Mkuu
magazeti makini nayo yamepungua sana, labda mwanahalisi
Subiri tuone
 
wewe ndio zuzu namba moja mbona hamkuwahi kulalamika? au ndio yale ya kuiga kila kitu cha cdm? mmebakia kuiga kuwa chama cha upinzani!!

Hata mavazi waliiga ya CDM
 
Kwenye post kama hizi ni vigumu kuwaona akina ritz,rejao,mafilili,niko hapa,watu8,na wale wenye tatizo kama lao

thubutu!!.....makombora kama haya unaweza kusogeza uso,unajipenda!
 
Mkuu
magazeti makini nayo yamepungua sana, labda mwanahalisi
Subiri tuone

Mkuu kipindi hiki watu wengi wamekuwa waelewa sana. hata vijijini wameshakataa kuonyeshwa picha za Rambo (za kivita) kipindi cha kuelekea uchaguzi.

So hili haliitaji ushaidi ili wananchi waelewe kuwa ni sanaa za ccm. Hilo la kadi feki na wanachama feki lilitarajiwa. jamaa ni ma bingwa wa kuchakachua eg. karatasi feki za kupigia kura.
 
Mbinu hizo ni matokeo ya kutoka usingizini na kudhani hawaoni kuwa ulikuwa unakoroma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…