Nape ajitafakari kama kuna haja ya kuendelea kuwa waziri, kwenda Chato na kwenda kanda ya ziwa

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo?
 
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo??
Kwenda Chato au kanda ya ziwa? Kanda ya ziwa au chato ndiyo nchi gani hyo? Kwa hyo unamtishia asiende Chato wala kanda ya ziwa?
 
Jamaa kaongea kweli sema tatizo lipo katika uwasilishaji wake...

Ila kweli Nape ajitafakari...asiwe na Mihemko kupitiliza.Akumbuke aliwahi kwenda Ikulu kuomba msamaha na kukiri JPM ni kama mzazi kwake, kweli walisamehana.

Sasa leo bado analo la Moyon na kuropoka akisahau JPM bado anawafuasi kweli mpaka sasa.

Ita mchafua hii ajirekebishe.
 
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo??
Mbona hueleweki? Kafanya nini?
 
Jamaa kaongea kweli sema tatizo lipo katika uwasilishaji wake.....
Naona wachangiaji wengi mko kodhabiki zaidi.

Ningetamani mnamjadili JPM ajeshimiwe kama mtu aloyekuwa rais na sio ichama, ukanda au ufuasi.
 
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo??
"Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo"

Mbona umetumia tu lugha ya jumla ambayo haijaweza kuainisha tuhuma yako kwake?
Je! Ameropoka kitu gani kibaya dhidi ya JPM kinachopelekea kustahili kuwajibika ama kuwajibishwa?
 
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo??
Nyanda kalalage bhoziko wingelaga....
 
Kwann VIONGOZI mnapanda CHUKI Kwa wananchi kiasi hiki?

Mnadhani RAIS wa Nchi kufa akiwa madarakani ni jambo dogo?

Mnataka kuuaminisha umma wa watz kuwa mtu yule alitenda MABAYA tu hakuwa na MEMA?

Mnataka atoke huko alipolala aje ajitetee?

Mnadhani hakuna watu waliompenda ktk Nchi wahuzunikao na kumlilia Mungu alipize juu ya dhihaka juu yake?

Mnadhani WINGU JEUSI lililokuwa limetanda juu ya nchi limeondoka?

Kwanini kudharau MAONYO ya MUNGU kupitia vinywa vya MANABII?

Mhubiri 4:13-16
 
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo??
Acha dictator asemwe ma ameumiza wengi
 
Unataka kutuaminisha kuwa Magufuli alikuwa rais wa Chato na kanda ya ziwa pekee?

Nafikiri watu wa kanda ya ziwa mna ukabila uliovuka mipaka.
Tenganisheni majukumu ya kitaifa na ukabila
Eehh!! Ishia kumshambulia huyo mmoja. Umeambiwa kateuliwa kuwasemea watu wa kanda ya ziwa?? Ni uchuro basi umuhusu yeye tu
 
Jamaa kaongea kweli sema tatizo lipo katika uwasilishaji wake...

Ila kweli Nape ajitafakari...asiwe na Mihemko kupitiliza.Akumbuke aliwahi kwenda Ikulu kuomba msamaha na kukiri JPM ni kama mzazi kwake, kweli walisamehana.

Sasa leo bado analo la Moyon na kuropoka akisahau JPM bado anawafuasi kweli mpaka sasa.

Ita mchafua hii ajirekebishe.
MTU KESHA KUFA UNA KUWA MFUASI WAKE ILI IWEJE?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau zimedhidi nape atuambie hizi dharau ndio masharti ya uwaziri aliopewa??au Kuna mengineyo??
Mm nafikiri huyu hana hadhi ya kuwa Wazir kabisa.Ndio maana wanamtafutia Wizara ya habari ambayo hata darasa la saba anaweza kuisimamia.Huyu hana kitu kichwani .Hawezi kupewa Wizara yeyote ya maana.Kikwete aliwahi kusema,"Huyu Mwenezi wangu anaweza kukurupuka na lolote"Yaan kwa ufupi ni Zero brain.
 
Back
Top Bottom