Nape ainusuru CCM Kibondo

Nape ainusuru CCM Kibondo

CCM wanajikaza tu lakini ni kama hakipo!! Kama anasafiri eti kuweka mambo sawa basi ni hataree! Hivi mwaka kesho atasafiri mara ngapi kwa hoja ya kuweka sawa mambo???
 
tanzania chadema leo liliandika kuwa ccm itapoteza kiti au viti hivyo mbona imekuwa tofauti hawa tanzania chadema/tanzania daima vipi mbona tarifa zao haziko varid sasa.

There is no such vocabulary in English language!

You need to go back on the drawing board (read communication skills)
 
wewe umepinga nini sasa,umeishia kurukaruka tu hujaandika chochote cha maana ni kama hujitambui vile mkuu.

Bugando Hosptial kuna wodi inaitwa C1 (C one) naisi ulisitaili ukaishi kwenye wodi hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom