Nape Aikubali CHADEMA,Ntagazwa apokelewa rasmi

CCM kumpeleka Nape katika kuongoza delegation yake instead of Makamba or another senior officionado ni dharau.

CHADEMA wanafurahia "Nape aikubali CHADEMA".

Hilarious.

Leo hii Makamba unamwona wa muhumu zaidi kuliko Nape, du, kweli mtazamo hasi unazuia tafakuri makini. Kiranga unakoelekea siko. Huyu Nape aliyemshikia bango Makamba kwa ufisadi wa Jumuia ya vijana ya CCM leo unamwona hana maana, kwako wa maana ni Makamba?. Wengine wengi wanamwona Nape ni mzito kuliko Makamba, tatizo ninaloona hapa ni fikira hasi. Huyu Makamba anayesema JK maarufu kuliko CCM, halafu akageuka, Slaa ni tishio kwa JK na si CCM. Huyu anayeshidwa kujua kuwa kwa kauli yake anakiri Slaa ni tishio kwa JK na CCM ndiyo unamwona wa muhimu? Kiranga unaweza kufikiri zaidi ya hapa, unajishusha sana.
 
Mimi Mwafrika kani convince tusimdharau Nape kama vile yeye sio binadamu (najua mnaweza kunijia na kusema ubinadamu si hoja lakini nimeelewa anakotokea Mwafrika).

Kusema eti kwa nini hakwenda mtu mzito na blah blah nyingine kama hizo mimi naona huko ni kuendeleza libeneke la cult of personalities.
 
Leo hii Makamba unamwona wa muhumu zaidi kuliko Nape, du, kweli mtazamo hasi unazuia tafakuri makini. Kiranga unakoelekea siko. Huyu Nape aliyemshikia bango Makamba kwa ufisadi wa Jumuia ya vijana ya CCM leo unamwona hana maana, kwako wa maana ni Makamba?. Wengine wengi wanamwona Nape ni mzito kuliko Makamba, tatizo ninaloona hapa ni fikira hasi. Huyu Makamba anayesema JK maarufu kuliko CCM, halafu akageuka, Slaa ni tishio kwa JK na si CCM. Huyu anayeshidwa kujua kuwa kwa kauli yake anakiri Slaa ni tishio kwa JK na CCM ndiyo unamwona wa muhimu? Kiranga unaweza kufikiri zaidi ya hapa, unajishusha sana.
Watanzania

Unafikiri huyo jamaa wa maana basi akili yake ndipo ilipoishia angalia aina ya post zake

Huyu Nape ukija na angle nzuri inaelekea unaweza hata kumtia kidole atiiii...... cha machooo.

Maana alikubali vipi kuvaa hii fulana na kidole akatae kutiwa ?
 
Sad. I think this is now condoning trivialities at its best.
Egoistic mentality za namna hii ("wasomi" wengi sana wanazo) ndizo zinatufanya tusifike kokote nchi hii.
Let's address those underlying critical issues za kuiondoa nchi hii kutoka hapa kwenda kule....badala ya kuangalia sura za watu (eti nzuri/mbaya; kubwa/ndogo).

Hapa kuna principle kubwa tu ya reciprocity imekuwa violated, trivialize this at your own peril.Mimi siwezi kuelewa ikiwa nitakuja mwenyewe kwenye shughuli yako, halafu shughuli yangu unitumie mtoto bila ya sababu ya msingi, nitaona dharau hii.
 
No less an official than the Chairman himself. Si ndiyo siku ile Mrema akawa anarukaruka kama mwendawazimu.
Rejeo kwa Mrema na siku ya tukio halitusaidii. Mrema hayuko CHADEMA.

CHADEMA walimpeleka nani mkutano mkuu wa CCM?
 
Watanzania

Unafikiri huyo jamaa wa maana basi akili yake ndipo ilipoishia angalia aina ya post zake

Uzuri wa 'huyu jamaa' ni kwamba hana haja na sifa, wala haogopi lawama.Na baada ya hapo hafungamani na upande wowote kumshinda Sukarno pale Bandung. Halafu hana dogo, down to the Oxford comma. Kwa nini numskulls wasiendeshe matumbo?
 
Rejeo kwa Mrema na siku ya tukio halitusaidii. Mrema hayuko CHADEMA.

CHADEMA walimpeleka nani mkutano mkuu wa CCM?

Kama hujui kusoma sasa mimi nitakusaidiaje zaidi, maana kusoma hujui, na hapa ni forum ya kuandika na kusoma, sasa nikusaidieje? Nikushike mkono ?
 
Hapa kuna principle kubwa tu ya reciprocity imekuwa violated, trivialize this at your own peril.Mimi siwezi kuelewa ikiwa nitakuja mwenyewe kwenye shughuli yako, halafu shughuli yangu unitumie mtoto bila ya sababu ya msingi, nitaona dharau hii.

Kwani CHADEMA walimpeleka nani? Na reciprocity mimi naielewa lakini kwenye hili it reflects more on the character of CCM than it does on CHADEMA's.

Halafu hiyo ya dharau labda ni wewe tu lakini sioni kilicho kibaya sana hadi CHADEMA wajione wamedharauliwa kwa kuletewa Nape. Sana sana mimi naona wao ndio watakuwa wameonyesha ukomavu na heshima kwa watu wa aina yote wasipolalama kudharauliwa. CCM watakuwa wameonyesha jinsi walivyo na madharau. Sasa bora ni yupi hapo?
 
Kama hujui kusoma sasa mimi nitakusaidiaje zaidi, maana kusoma hujui, na hapa ni forum ya kuandika na kusoma, sasa nikusaidieje? Nikushike mkono ?
Tunaongelea CHADEMA unaleta habari za Mrema alihudhuria, nani anamuongelea Mrema siku hizi?

CHADEMA walimpeleka nani Mkutano wa CCM?
 
Kwani CHADEMA walimpeleka nani? Na reciprocity mimi naielewa lakini kwenye hili it reflects more on the character of CCM than it does on CHADEMA's.

Halafu hiyo ya dharau labda ni wewe tu lakini sioni kilicho kibaya sana hadi CHADEMA wajione wamedharauliwa kwa kuletewa Nape. Sana sana mimi naona wao ndio watakuwa wameonyesha ukomavu na heshima kwa watu wa aina yote wasipolalama kudharauliwa. CCM watakuwa wameonyesha jinsi walivyo na madharau. Sasa bora ni yupi hapo?

In context, in context my dude.Sijasema CHADEMA wamedharau, nimesema wamedharauliwa.

Ingekuwa hivyo tu ningechill, kwani mangapi fyongo nayaona lakini sina muda? Lakini huyu dada wa CHADEMA kaja na propaganda mbuzi anakenua mpaka jino la mwisho kwamba kapata kumuona Nape ananukia kweli, mimi nikamwambia careful sis, that Nape is a slick attack dog usijione eti 'tuna nia moja' above all kuletewa ki Nape ni diss.CCM wana vi subliminal messages babu kama huko sawa sawa unaweza kutukanwa hivi hivi ukawa unashangilia, usiku unaenda kulala ndiyo unashtuka, alaa, kumbe pale nilitukanwa eenh ?
 
Kwani CHADEMA walimpeleka nani? Na reciprocity mimi naielewa lakini kwenye hili it reflects more on the character of CCM than it does on CHADEMA's.

Halafu hiyo ya dharau labda ni wewe tu lakini sioni kilicho kibaya sana hadi CHADEMA wajione wamedharauliwa kwa kuletewa Nape. Sana sana mimi naona wao ndio watakuwa wameonyesha ukomavu na heshima kwa watu wa aina yote wasipolalama kudharauliwa. CCM watakuwa wameonyesha jinsi walivyo na madharau. Sasa bora ni yupi hapo?

In context, in context my dude.Sijasema CHADEMA wamedharau, nimesema wamedharauliwa.

I think you've had a long day ma man...maana mimi nimeongelea kudharauliwa huko huko unakokuongelea wewe....unless labda macho yangu yananidanganya hapa...
 
08_10_zbraec.jpg

Jamaa walikuwa wanamtega Nape? November hii ni naibu waziri huyu. Achana na kura za maoni.

kweli wewe kada wa kupepea ahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Sad. I think this is now condoning trivialities at its best.
Egoistic mentality za namna hii ("wasomi" wengi sana wanazo) ndizo zinatufanya tusifike kokote nchi hii.
Let's address those underlying critical issues za kuiondoa nchi hii kutoka hapa kwenda kule....badala ya kuangalia sura za watu (eti nzuri/mbaya; kubwa/ndogo).

You are very right. Even so it is shame kwa mtu kama Makamba mwenyewe kuhdhuria mkutano kama huo. Nape Nnauye ni mmoja kati ya wanaccm wenye mawazo yanayofanana na itikadi za CHADEMA, we have to remember that there are those who are fighting from inside (CCM wapiganaji) and there are those who are fighting from outside, much better to have mpiganaji from inside kuliko kuwa na msaliti wa watanzania aliye inside.

Lakini still the bigger picture mi kuwa change is what we need, sio nani amemwakilisha nani na nani hajamwakilasha yupi, au nani hajawakilishwa au hajahudhuria wapi.
 
Tunaongelea CHADEMA unaleta habari za Mrema alihudhuria, nani anamuongelea Mrema siku hizi?

CHADEMA walimpeleka nani Mkutano wa CCM?

Obviously mimi nimemuongelea Mrema, you don't set the rules here.

Hata nikiamua kumuongelea Julius Miselya namuongelea tu kama kuna reference yenye relevance, achilia mbali Mrema ambaye ni household name. Kuna watu kibao watakumbuka siku hiyo kirahisi zaidi kwa kukumbuka kituko hicho cha Mrema, it's not like nimesema Mrema ndiye atakuwa the next president.
 
Hooooshi,

Jamaa king'ang'anizi hadi inaboa sasa. Angalau angekuwa anabaki kwenye hoja inayoongelewa, yeye yuko all over the map hadi inakuwa kazi kweli kujibu anachouliza. Matokeo yake, threads zake anabaki akiwa mwenyewe tu (labda na ndugu yake tindikali) - si unaona ile thread ya Ulimwengu jinsi walivyoiharibu?

..... umemsahau Malariasugu.
 
CCM kumpeleka Nape katika kuongoza delegation yake instead of Makamba or another senior officionado ni dharau.

CHADEMA wanafurahia "Nape aikubali CHADEMA".

Hilarious.

bora Nape kuliko makamba ambaye kwangu ni sawa na muimba mchiriku hana anachokijua zaidi ya kupiga makelele tu..
 
nadhani hapo kwenye zambarau karibu kila mtu analifahamu hilo, lakini Tatizo sio Nape kuja kwenye mkutano wa Chadema, swali ni kuwa Nape kwenye CCM ni nani (ana cheo gani?) mpaka akiwakilishe Chama badala ya uongozi wa CCM?

hizi ndio hizo dharau tunazozizungumza, kama CCM walipewa mwalko wa kuja kwenye Mkutano mkubwa kabisa wa Chadema, inamaana Makamba alishindwa kutafuta Kiongozi yoyote wa CCm kuja hapo kwa heshima ya kiuongozi na badala yake kuchagua mwanachama wa kawaida kabisa Nape?
 
Kama hivi ndivyo, utawashawishi vipi watu wa Kilombelo waichague Chadema badala ya CCM?nashawishika unaenda kuifanya njia ya Pedejee Abdul Mteketa kwenda bungeni kuwa rahisi kuliko kawaida.

Hizi ndio shida za Afrika yetu tunachinjama sababu ya mambo kama haya...mimi CCM yeye CHADEMA...mimi Mkikuyu yeye Mjaluo...mimi Mkristo yeye Muislam...kutofautiana itikadi ahkufuti utaifa wote mnabakia watanzania mwisho wa yote...kwenye uchaguzi watu hawaangalii wewe chama gani zaidi ya wewe utawafanyia nini wapiga kura
 
Back
Top Bottom