Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,515
- 158,047
numskulls have nothing to lose .... katika hili unaonekana kama the guy anayependa sifa kutoka kwa upande ambao anadai kuwa hafungamani nao. Unajionesha kabisa kuwa una team katika hili, so far that team aint chadema!
Huonyeshi kwamba nina timu kwa sababu nina i criticise CHADEMA, unaonyesha kwamba huwezi ku stand criticism.
Watu wa CHADEMA wanaonyesha hawaelewi kanuni ya reciprocity, who is to say wakipewa nchi hawataenda nje na kuwa dissed bila kujua wamekuwa dissed?
It is one thin kuwa dissed ukaona "nimekuwa dissed sio?" na kuamua kuwa the biger person na kunyamaza, kujua kwamba CCM ni snobs, wametutumia Nape. It is quite another kuwa dissed, halafu unatoka unashangilia kama zuzu "Nape aikubali CHADEMA"
Inanikumbusha episode moja ya "The Cosby Show" - "A Touch of Wonder" ambapo Theo na Lisa wanakuwa thrilled kwa sababu wamegongana na limousine la Stevie Wonder, Mzee wao akawaambia nyinyi wapumbavu kabisa, mnashangilia ajali?
Sasa ndiyo haya ya CHADEMA, watu wamekuwa dissed, lakini bado wanashangilia tu kwa sababu "Nape aikubali CHADEMA". Hata propaganda zinatakiwa ziwe na akili zaidi.