Nape Aikubali CHADEMA,Ntagazwa apokelewa rasmi

Huyu Nape ukija na angle nzuri inaelekea unaweza hata kumtia kidole atiiii...... cha machooo.

Maana alikubali vipi kuvaa hii fulana na kidole akatae kutiwa ?

:glasses-nerdy::glasses-nerdy:

:confused2::confused2:
 
Sasa msiwaalike kabisa, ukimualika mtu maana yake unamuheshimu, apparently CHADEMA wanaiheshimu CCM.

Adui yako muombee maisha marefu ili ayashuhudie na hatimaye aiibike atakapokuwa anashuhudia mafanikio yako! Nadhani ni ahueni kuwakilishwa na kijana mwenye uono mrefu kama Nape kuliko na mzee mwenye akili iliyosinyaa kama Makamba
 
Heavyweight wote wako Dodoma...kila mtu anaangalia nafasi yake..
Afadhali hata wamemtuma mtu..je asingekuja mtu.???
 
Asante sana Regia,

Kalale dada yangu so far so good. Huyu Kiranga anakesha na kulala hapa JF so hajaisha bado. Hii tone yake mpya dhidi ya chadema inaonesha kuwa kuna mtu kagusa nerves zake.

So far, huyo mtu anaweza kuwa wewe. .... lol.

Ha ha ha,kamwe siwezi kuwa namtazamo kama wa Kiranga.
 
Hizi ndio shida za Afrika yetu tunachinjama sababu ya mambo kama haya...mimi CCM yeye CHADEMA...mimi Mkikuyu yeye Mjaluo...mimi Mkristo yeye Muislam...kutofautiana itikadi ahkufuti utaifa wote mnabakia watanzania mwisho wa yote...kwenye uchaguzi watu hawaangalii wewe chama gani zaidi ya wewe utawafanyia nini wapiga kura

Siasa sio uadui mkuu na sijaeleza hayo uliyoyataja popote.

Kwa mfumo wa uchaguzi tulio nao, mbunge kwanza ni wa chama kisha ni wa wananchi wa jimbo, uchaguzi huu ni juu ya sifa za wagombea wenyewe lakini pia vyama na sera zao.

Kumbuka ubunge utakoma pale mbunge akapovuliwa uanachama wa chama chake kwa kwenda kinyume na maagizo ya chama, kutokuliona hili kutapoteza nafasi ya wapinzani kushindana na kuwashinda wagombea wa CCM, ambao katika majimbo mengi nchini wana sifa kuliko wagombea wa vyama vya upinzani.
 
Ligi nyingine bwana hata hazina vichwa wala miguu! Hivi nyie mnaodai CHADEMA wamedharauliwa kwa uwakilishi wa Nape, mnajua CHADEMA walimwalika nani (to be specific?) walimwalika JK? au Makamba au Chiligati au Nape?

Nijuavyo mimi CHADEMA walialika chama cha mapinduzi kama chama, si kama mtu binafsi hivyo kilikuwa na uamuzi wa kumtuma mwakilishi yeyote yule kulingana na nafasi za viongozi or wajumbe wake na kulikuwa na uwezekano wakutotuma mtu kabisa.....! Sasa huyo aliyeenda amewakilisha CCM.....! Chochote alichokisema na kukifanya pale ni kilifanyika kwa niaba ya CCM....CCM ipo responsible kwa yote aliyoyafanya NAPE.......!

Sasa kama CCM kwa kumtuma Nape walitaka waonyeshe dharau kama wengine wanavyofikiria hapa.....that's upon them....Chadema haliwahusu hilo! Kitu cha msingi ni kwamba CHADEMA wameheshimu ujumbe wa CCM na umepewa nafasi uliostahili kama waalikwa wengine wote kwenye mkutano ule........! haya mawazo mengine to me ni upotofu tu!
 
Sasa kama CCM kwa kumtuma Nape walitaka waonyeshe dharau kama wengine wanavyogikira hapa.....that's upon them....Chadema haliwahusu hilo! Kitu cha msingi ni kwamba CHADEMA wameheshimu ujumbe wa CCM na umepewa nafasi uliostahili kama waalikwa wengine wote kwenye mkutano ule........! haya mawazo mengine to me ni upotofu tu!
homuboi sibitisha hapa:
The Following User Says Thank You to Next Level For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 
Ligi nyingine bwana hata hazina vichwa wala miguu! Hivi nyie mnaodai CHADEMA wamedharauliwa kwa uwakilishi wa Nape, mnajua CHADEMA walimwalika nani (to be specific?) walimwalika JK? au Makamba au Chiligati au Nape?

Nijuavyo mimi CHADEMA walialika chama cha mapinduzi kama chama, si kama mtu binafsi hivyo kilikuwa na uamuzi wa kumtuma mwakilishi yeyote yule kulingana na nafasi za viongozi or wajumbe wake na kulikuwa na uwezekano wakutotuma mtu kabisa.....! Sasa huyo aliyeenda amewakilisha CCM.....! Chochote alichokisema na kukifanya pale ni kilifanyika kwa niaba ya CCM....CCM ipo responsible kwa yote aliyoyafanya NAPE.......!

Sasa kama CCM kwa kumtuma Nape walitaka waonyeshe dharau kama wengine wanavyofikiria hapa.....that's upon them....Chadema haliwahusu hilo! Kitu cha msingi ni kwamba CHADEMA wameheshimu ujumbe wa CCM na umepewa nafasi uliostahili kama waalikwa wengine wote kwenye mkutano ule........! haya mawazo mengine to me ni upotofu tu!

Kweli wewe ni Next Level. Level yako ya kufikiria iko mbele zaidi kuliko mtu nyingi humu hasa Kiranga and Co. Hii sisi wengine ndio twaita busara. Mungu akuone
 
Kiranga,vyama ni taasisi na watu ni watu.Unaweza ukawa CHADEMA lakini tabia zikawa za kiCCM na unaweza ukawa CCM na ukawa safi.Sio wote ndani ya CCM ni wachafu na sio wote ndani ya CHADEMA ni wasafi.

Habari ya upinzani mimi sielewi ninachoelewa ni kuwa ninafanana mtazamo na Nape..

Wise reply...
 
Uzuri wa 'huyu jamaa' ni kwamba hana haja na sifa, wala haogopi lawama.Na baada ya hapo hafungamani na upande wowote kumshinda Sukarno pale Bandung. Halafu hana dogo, down to the Oxford comma. Kwa nini numskulls wasiendeshe matumbo?

Hakuna ukweli wowote hapo. You are anti-CHADEMA. We know you...
 
In context, in context my dude.Sijasema CHADEMA wamedharau, nimesema wamedharauliwa.

Ingekuwa hivyo tu ningechill, kwani mangapi fyongo nayaona lakini sina muda? Lakini huyu dada wa CHADEMA kaja na propaganda mbuzi anakenua mpaka jino la mwisho kwamba kapata kumuona Nape ananukia kweli, mimi nikamwambia careful sis, that Nape is a slick attack dog usijione eti 'tuna nia moja' above all kuletewa ki Nape ni diss.CCM wana vi subliminal messages babu kama huko sawa sawa unaweza kutukanwa hivi hivi ukawa unashangilia, usiku unaenda kulala ndiyo unashtuka, alaa, kumbe pale nilitukanwa eenh ?

Haya ni matusi. Hayasemwi na mtu isipokuwa kama ni mkosefu wa busara na heshima... Kama Kiranga...
 
"Sisi hatuangalii cheo cha mtu tunaangalia dhamira dhati ya mtu.Binafsi nimemfurahia Nape kuliko angefika Makamba.Alionge vizuri kwa kuwa dhamira yake yafanana na yangu..Aliongea vizuri kwa kweli na ninaamini alichokiongea kilitoka moyoni".

Hayo ni maneno makini kabisa Regia sidhani kama angekuja huyo Makamba angezungumza cha maana
 
08_10_hxqb4f.jpg

...I might be wrong or right, but the mere fact that Nape agreed to put on the T-shirt suggests somethin iz in his heart which matches with one aspect which prominently features in the hearts of most CHADEMA guards- Fight Against GRAFT!

But again, kwa wale walioona tukio hilo kwenye luninga hata shati (au T-shirt) aliyokuwa amevaa NAPE inafanana sana na magwanda ya CHADEMA...labda ni coincidence!!!! (kwa aliye na picha tubandikie picha ya Nape kwenye mkutano kabla hajavaa hiyo T ya CHADEMA).
 
08_10_zbraec.jpg

Jamaa walikuwa wanamtega Nape? November hii ni naibu waziri huyu. Achana na kura za maoni.

Kwa mawazo yangu, ni vizuri kuwaanaglia sana hawa watu walioshindwa kwenye kura za maoni katika vyama vyao na kukimbilia kujiunga na vyama vingine.

Yawezekana kweli wamedhulumiwa, lakini pia yawezekana ni mamluki wametumwa ili kuchunguza mwenendo mzima wa kiutawala ili atoe siri kwenye chama kilicho mtuma.
 
Ramos unapoteza muda wako kujibishana na Kiranga.Mwafirka na Quineni ndio kiboko yake..

Hapana mbunge mtarajiwa, ramos hapotezi muda wake.......kumbuka watu wa aina ya Kiranga utapambana nao kila siku ktk maisha yako ya ubunge...... hao wanatakiwa hoja zao zipewe muarobaini kila zinapoibuka....wakiachwa hivi hivi lazima watakuchafulia hali ya hewa....!
 
Ccm wamejawa na dharau, na kuamua kupeleka mtu asijekuwa na jina kwenye ngazi ya uongozi katika mkutano mkuu wa wenzao, lakini hili halishangazi sana, ccm wanajuulikana kwa dharau yao.

Kinachonishangaza ni chadema kufurahia hali hiyo na kumwagia sifa kem kem Nape wakati huu tukielekea kwenye uchaguzi mkuu.

Ikiwa chama cha upinzani kinafikia hatua ya kukiri kwa kujifaharisha kuwa ndani ya ccm kuna watu machachari ambao opinions zao zina matter ndani ya chama hicho, kwanini tukichague chama pinzani?
 
Ccm wamejawa na dharau, na kuamua kupeleka mtu asijekuwa na jina kwenye ngazi ya uongozi katika mkutano mkuu wa wenzao, lakini hili halishangazi sana, ccm wanajuulikana kwa dharau yao.

Wewe ulitaka aende nani? Kikwete? au Makamba? ukubwa wa pua si wingi wa kamasi. Kinachoangaliwa hapa ni je,CCM iliwakilishwa kny mkutano ule au la? wanachokisifia hapa ni maneno mazuri aliyoyaongea Nape jana, kwa mtu yeyote mwenye objective mind angemsifia no matter ananafasi gani ndani ya chama chake.......! Hizi tabia za kuchekeleaga mahudhurio ya watu wakubwa ni kasumba mbovu sana na hazitakiwi kwenye jamii.......? just to ask: angekuja JK au Makamba kuna nini cha pekee CHADEMA wangepata?

Kinachonishangaza ni chadema kufurahia hali hiyo na kumwagia sifa kem kem Nape wakati huu tukielekea kwenye uchaguzi mkuu.

Kwa hiyo wewe ulitaka wamrushie mawe eti kwa kuwa wanaelekea kny uchaguzi mkuu? upinzani si vita wala uadui! wapinzani ni wadau katika maendeleo ya nchi......sasa kuna mambo wanakubaliana na kunabaadhi ya mambo wanatofautiana......! upinzani si kupinga kila kitu tu.......!
Ikiwa chama cha upinzani kinafikia hatua ya kukiri kwa kujifaharisha kuwa ndani ya ccm kuna watu machachari ambao opinions zao zina matter ndani ya chama hicho

Mheshimiwa, unafikiri CCM wanachama wote ni wachafu? utakuwa unakosea sana kama hayo ndio mawazo yako......! Si kila aliye CCM ni mchafu na si kila aliye upinzani ni msafi.......! kuna watu wenye nia nzuri kabisa huko CCM na ni watanzania wazalendo we need them.......!

kwanini tukichague chama pinzani

Aliyekwambia unachagua chama nani ndugu yangu? hizi fikira za kuchagua vyama ni potofu kabisa! tunachagua kiongozi bora, mwenye uchungu wa kweli na nchi hii, mwenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo ya kweli! Kiongozi bora anaweza akawa ndani ya CCM au upinzani......!
 
Back
Top Bottom