No mimi Sio mkenya,ni mtanzania
Sio kwamba nilimpenda kwa sababu ya pesa no,basi tu sioni Kama tutakuja endelea,
5yearz to come umri unaenda haumsubiri mtu,
Nishakujua, wewe ni Msambaa wa Lushoto, kule huwa tunasema MISHI YA NEMA IZA SHIA. sasa bi dada angalia ustaarabu mwingine, ukijifungua salama sepa zako hutashindwa kulea mwanao mbona kuna single mother kibao na wanaishi maisha wayatakayo, kama ukijisikia hamu ya tendo siku hizi kuna vitendea kazi kibao, unajinunulia cha kwako unajisevia mwenyewe chumbani bila bughuza, ndoa kitu gani bana,
Mhhhhhhhhhhh! Zinduna ushauri wako, wanitisha hadi mie KUBWA LA MAADUI!!!!!!!!!! Khatari hiiii!
Zinduna my dear, hivyo vitendea kazi vina joto? Na vipi kwenye ushirikiano? Yaani ni mwenyewe tu? Yaani huwa vipati picha Watu wanaburudikaje na hivyo vitendea kazi, lol!Nishakujua, wewe ni Msambaa wa Lushoto, kule huwa tunasema MISHI YA NEMA IZA SHIA. sasa bi dada angalia ustaarabu mwingine, ukijifungua salama sepa zako hutashindwa kulea mwanao mbona kuna single mother kibao na wanaishi maisha wayatakayo, kama ukijisikia hamu ya tendo siku hizi kuna vitendea kazi kibao, unajinunulia cha kwako unajisevia mwenyewe chumbani bila bughuza, ndoa kitu gani bana,
Mbona kawaida tu!Najisikia kuchoka kwa niaba yako.
Mhhh.
Zinduna ndio maana nimemuuliza maswali ya mtego ila pia hajaweza kuyajibu to me haya ndo majibu yangu:-
mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa mwaka huu ,I'm pregnant nategemea kujifungua mwezi wa 12,
Tatizo langu ni huyu mume wangu its like he's irresponsible,kila kitu kwake anaona hakina maana wakati wa uchumba hata sofa alikuwa Hana mimi ndie. nilimshikia bango hadi akanunua,alikuwa anaendesha swift akabadilisha
he's 33 years old anafanya kazi bank kwenye manager position for so many years now ila hata kakiwanja Hana,nimegundua ana deni kubwa kazini nikimuuliza alichukua mkopo wa nini haniambii,hela mwisho wa mwezi inaishia kwenye madeni mimi nabaki kuwa provider of the house for the wholy month,
mwezi uliopita gari yake wamechukua wadeni wake
Maisha yangu yamechange so abruptly,I was beta off before marriage,I can't even do shopping yangu the way I used to ,kazini inabidi nimpeleke na gari yangu asubuhi na jioni nimpitie,