D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,160
- 3,259
Anayeuza line za tigo pesa na Mpesa aje chap na bei kabisa
Hata kulipa kutoka tigo kwenda lipa mpesa wanakata sawa sawa na kutoa pesa, tigo wana gharama sana.Jaman mnao amisha pesa kutoka mtandao wa airtel money au halopesa kwenda lipa kwa Tigo kuweni makini leo mm nimeamisha 1,114,000/= kutoka airtel money kwenda lipa kwa tigo wamenikata 15,000/=.
Ni buree, wasiliana na vodacom.Anayeuza line za tigo pesa na Mpesa aje chap na bei kabisa
Ina charges lakini kidogo sana, na kwenye kutoa njia ya kuepuka makato makubwa ni kuhamishia benki ndo utoeJe kwa upande wa lipa kwa mpesa ukitoa nao wanakata???