yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,553
- 3,515
Natafuta wanakouza hizi simu za Xiaomi hapa Dar, ni maduka gani?
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.
Jumia wanazo baadhiNatafuta wanakouza hizi simu za Xiaomi hapa Dar, ni maduka gani?
Natanguliza shukrani.
Kama unapenda bei kubwa kubwa wacheck hawa Wahindi ambapo ukiagiza wewe utasave hadi 100k.mi nakuwa sina imani na kuagiza. nilifikiri kuna maduka zipo hapa bongo
We watafute mkuu kupitia fb wanaitwa HIGHLIFE TANZANIA watakuelekeza wenyewe boss.wanapatikana maeneo yapi hawa wahindi mkuu
Wanapatikana wapi?Kama unapenda bei kubwa kubwa wacheck hawa Wahindi ambapo ukiagiza wewe utasave hadi 100k.
Mfano hiyo Note 6 pro nimeagiza kwa 460,000 ya gb 32 na Ram 3 December January imeingia.
*XIAOMI WHOLESALE*
*REDMI S2 4+64GB*
BLUE GREY PINK
Tsh 550,000
*REDMI 6A 2+16GB*
BLACK BLUE GOLD
Tsh 390,000
*REDMI 6A 2+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 420,000
*REDMI 6 3+64GB*
BLACK BLUE
Tsh 500,000
*REDMI NOTE 5 3+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 550,000
*REDMI NOTE 5 4+64GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 610,000
*REDMI NOTE 5 Pro 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 770,000
*NOTE 6 PRO 3+32GB*
BLACK PINK BLUE
Tsh 580,000
*NOTE 6 PRO 4+64GB*
BLUE BLACK PINK
Tsh 660,000
*Mi A2 4+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 640,000
*Mi A2 4+64GB*
PINK BLACK GOLD BLUE
Tsh 660,000
*Mi 6X 6+64GB*
BLUE GOLD RED
Tsh 720,000
*Mi A2 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 830,000
*Mi 8 SE 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE RED
Tsh 940,000
*Mi 8 6+64GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,060,000
*Mi 8 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,130,000
*Mi 8 Lite 4+64GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 690,000
*Mi 8 Lite 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 860,000
*Mi MAX 3 4+64GB*
BLACK GOLD PINK
Tsh 760,000
*Mi MAX 3 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 900,000
*Mi MIX 2S 6+64GB*
WHITE BLACK
Tsh 1,110,000
*Mi MIX 2S 6+128GB*
BLACK WHITE
Tsh 1,220,000
*Mi Pocofone F1 6+64GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 940,000
*Mi Pocofone F1 6+128GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 1,050,000
*MI MIX 3 6+128GB*
BLACK
Tsh 1.4 million
Bei ya Redmi note 7 ni gani?Kama unapenda bei kubwa kubwa wacheck hawa Wahindi ambapo ukiagiza wewe utasave hadi 100k.
Mfano hiyo Note 6 pro nimeagiza kwa 460,000 ya gb 32 na Ram 3 December January imeingia.
*XIAOMI WHOLESALE*
*REDMI S2 4+64GB*
BLUE GREY PINK
Tsh 550,000
*REDMI 6A 2+16GB*
BLACK BLUE GOLD
Tsh 390,000
*REDMI 6A 2+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 420,000
*REDMI 6 3+64GB*
BLACK BLUE
Tsh 500,000
*REDMI NOTE 5 3+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 550,000
*REDMI NOTE 5 4+64GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 610,000
*REDMI NOTE 5 Pro 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 770,000
*NOTE 6 PRO 3+32GB*
BLACK PINK BLUE
Tsh 580,000
*NOTE 6 PRO 4+64GB*
BLUE BLACK PINK
Tsh 660,000
*Mi A2 4+32GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 640,000
*Mi A2 4+64GB*
PINK BLACK GOLD BLUE
Tsh 660,000
*Mi 6X 6+64GB*
BLUE GOLD RED
Tsh 720,000
*Mi A2 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 830,000
*Mi 8 SE 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE RED
Tsh 940,000
*Mi 8 6+64GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,060,000
*Mi 8 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE WHITE
Tsh 1,130,000
*Mi 8 Lite 4+64GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 690,000
*Mi 8 Lite 6+128GB*
BLACK GOLD BLUE
Tsh 860,000
*Mi MAX 3 4+64GB*
BLACK GOLD PINK
Tsh 760,000
*Mi MAX 3 6+128GB*
BLACK GOLD
Tsh 900,000
*Mi MIX 2S 6+64GB*
WHITE BLACK
Tsh 1,110,000
*Mi MIX 2S 6+128GB*
BLACK WHITE
Tsh 1,220,000
*Mi Pocofone F1 6+64GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 940,000
*Mi Pocofone F1 6+128GB*
BLACK BLUE RED
Tsh 1,050,000
*MI MIX 3 6+128GB*
BLACK
Tsh 1.4 million
Check fb mkuu na instaWanapatikana wapi?
Sifahamu wacheck insta na fbBei ya Redmi note 7 ni gani?
Jamaa wanazo hao ni Wahindi ila bei yao Mkasi mzee ila k/koo huwezi zikuta wengi tunaagiza nje haina haja ya wala kumtuma mtu au kuwa na ndugu nje.Hizo simu usiahangaike na wafanyabiashara wa bongo watakuibia Hazipo,Fanya uchunguzi wengi walitoka nazo china walienda wenyewe au waliletewa na ndugu zao!
Upatikanaji wake ni mgumu, ni vyema ukafanya order.Natafuta wanakouza hizi simu za Xiaomi hapa Dar, ni maduka gani?
Natanguliza shukrani.
Ondoa shaka ndugu, utapata bila shida iwapo utaagiza kupitia mimi.mi nakuwa sina imani na kuagiza. nilifikiri kuna maduka zipo hapa bongo
Hii imetoka hivi karibuni.Bei ya Redmi note 7 ni gani?
Habari ndugu BANGO JEUPE
Hii itakufaa
Xiaomi Redmi Note 7
- Size: 4GB 64GB
- Cameras 48MP ( Hii camera itakidhi sana mahitaji ya kazi zako, iwe ni picha ya kawaida au video )
- Screen size: 6.3'' Water Drop FHD+
- Battery: C 4.0 4000
BEI - Chagua kati ya 4GB na 6GB ram
- 6GB/ 64GB = TZS 603,000
- 4GB/ 64GB = TZS 557,172
Picha
View attachment 1030088
VIDEO
TARATIBU ZA KUWEKA ORDER
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
MUDA: Wiki Tatu (3) mzigo unakufikia
KARIBU
Sahihi, hizi simu zinakuja kwa order.Hizo simu usiahangaike na wafanyabiashara wa bongo watakuibia Hazipo,Fanya uchunguzi wengi walitoka nazo china walienda wenyewe au waliletewa na ndugu zao!
Tell me something Mkuu! Unajua hizi simu mi nilikuwa nazichukulia poa sana!! Ina maana ni one of the best phone in the market, au?! Unajua sie wengine tumeshaathirika na old brands like Samsung, Apple and Sony and even LG or at least HTC! Hata zile Huawei bado kabisa hazijanishawishi!Upatikanaji wake ni mgumu, ni vyema ukafanya order.
Taratibu za kuweka order nimeweka hapa: www.bit.ly/101buy4me
Karibu
Sahihi, Ni simu bora , pia nitishio kwa simu tajwa hizo zilizo zoeleka, Sababu wao ,MI, hawajawekeza kwenye matangazo sana kama ilivyo kwa samsung, apple na wengine hivyo simu zao kuwa za ghalama nafuu zaidi kwa ubora mkubwa.Unajua hizi simu mi nilikuwa nazichukulia poa sana!! Ina maana ni one of the best phone in the market, au?!