Napata wapi simu ya Xiaomi?

Sahihi, Ni simu bora , pia nitishio kwa simu tajwa hizo zilizo zoeleka, Sababu wao ,MI, hawajawekeza kwenye matangazo sana kama ilivyo kwa samsung, apple na wengine hivyo simu zao kuwa za ghalama nafuu zaidi kwa ubora mkubwa.
-




Zifanyie utafiti zaidi.
Dah! Hawa jamaa ni noma! Jana ile ile nilifanya huo utafiti, and am Impressed! Yaani nimeshaiweka in my "memory cart" Nimeshaamua nijichanganye nipate ile Mi 8 series (or Mi 9 kama haitapishana sana na 8) manake imenivutia zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom