Napata Wanawake sana ila mke sipati sijui shida iko wapi?

Napata Wanawake sana ila mke sipati sijui shida iko wapi?

Kama umeshazoea wadangaji endelea nao tu na ikiwezekana oa tu maana na yenyewe yana amsha amsha kitandani, ukioa wife material utamchoka mapema sana maana utaona kama amepoa kitandani.
Habari za asubuhi ndugu zangu...

Katika harakati zangu nataka kuoa ila mwanamke wa kuoa sipati kabisa pia napenda sana niwe na familia ila mama mtoto ndie awe mke na awe mama kweli kweli maana sitaki kabisa wanangu waishi katika mfumo wa malezi ya mzazi mmoja au walio achana

mademu napata wakutosha na nyapu za kutuliza maomivu ya kukosa mke napata tuu kirahisi , kweli mademu wote naopata hawana hata sifa ya kuwa mke au angalau hata mama mtoto. Imefika mahali nasema sometime kama hali ni hii bora nikubali kukosa mke ila watoto wapate mama bora kwa kweli na dhani wa Baba wameelewa hapa kwenye kukosa mke ila watoto wapate mama bora.

Kiukweli hii hali inatisha sana mpaka nahisi labda ni mkosi japo nimepiga maombi naona sasa yanagonga mwamba nataka nigairi kila kitu niishi kama kivuli au upepo na niwe mbinafsi sana na kujijali mwenyewe na swala la kuoa ni gairi ila moyo na nafsi havitaki kusikilizana napo taka kugairi huu mpango.

Nimefikiria niangalie mwanamke mwenye afadhali ni mwombe anibebe mimba hata kwa kumlipa ila nikiwaza mwanangu atakua mbali na mimi au mimi kua mbali na mwanangu, au wakati mwingine mtoto kuwa mbali na mama yake naona kabisa sitomtendea mtoto haki yake na moyo unakataa japo mwili unaforce nifanye hivyo..

Ndugu zangu. Nishaurini nifanyaje wakuu

Umri wangu ni ule ule 31+ wakuu
 
Penye Miti hakuna Wajenz[emoji445][emoji753][emoji54][emoji26]

Vijn wa ckuhz imekubwa na nn
 
Shida ni sampuli unazozichagua emu badilika hapo kwanza
 
Tatizo yani ni wadangaji na waongo waongo si kawaida mkuu... Na pia hawapendi kuoa.. nimewapima wote kwa kujaribu kuwaomba wazae wakishika mimba yangu ila majibu ni kwamba hawataki kulea
Uwe unajifunza kusoma between the line. Ujumbe uliojificha hapo ni wameona hakuna baba serious wa kulea familia ya mke na mtoto hapo.

Haujilizi kwann mabinti wengi wanazaa na wanaume za watu wakijua wana wake zao na ndoa zao? Jibu ni simple, mwanamke anavutiwa na anachokiona kwa macho kwanza ndipo hisia zinashika kasi. Akiona mume wa mtu akili yake inamwambia huyu ndio baba wa familia, mletee ushindani mkewe aachwe uchukuliwe wewe. Na ndio maana huwa wanapata ujasiri wa kupata hata watoto nao.

Ukitaka kuprove hili,anza kubadilika wewe anza kuwa serious na mipango yako, hao wanawake unaodate nao tazama vigezo vya msingi vya mke kama kutii na kuelewa maelekezo,kukaa chini na wewe na kupanga maisha.
 
Habari za asubuhi ndugu zangu...

Katika harakati zangu nataka kuoa ila mwanamke wa kuoa sipati kabisa pia napenda sana niwe na familia ila mama mtoto ndie awe mke na awe mama kweli kweli maana sitaki kabisa wanangu waishi katika mfumo wa malezi ya mzazi mmoja au walio achana

mademu napata wakutosha na nyapu za kutuliza maomivu ya kukosa mke napata tuu kirahisi , kweli mademu wote naopata hawana hata sifa ya kuwa mke au angalau hata mama mtoto. Imefika mahali nasema sometime kama hali ni hii bora nikubali kukosa mke ila watoto wapate mama bora kwa kweli na dhani wa Baba wameelewa hapa kwenye kukosa mke ila watoto wapate mama bora.

Kiukweli hii hali inatisha sana mpaka nahisi labda ni mkosi japo nimepiga maombi naona sasa yanagonga mwamba nataka nigairi kila kitu niishi kama kivuli au upepo na niwe mbinafsi sana na kujijali mwenyewe na swala la kuoa ni gairi ila moyo na nafsi havitaki kusikilizana napo taka kugairi huu mpango.

Nimefikiria niangalie mwanamke mwenye afadhali ni mwombe anibebe mimba hata kwa kumlipa ila nikiwaza mwanangu atakua mbali na mimi au mimi kua mbali na mwanangu, au wakati mwingine mtoto kuwa mbali na mama yake naona kabisa sitomtendea mtoto haki yake na moyo unakataa japo mwili unaforce nifanye hivyo..

Ndugu zangu. Nishaurini nifanyaje wakuu

Umri wangu ni ule ule 31+ wakuu
Hii Aya ya mwisho umewaza mbali sana mkuu,hakuna kitu kinachotesa watoto kama kukaa mbali either na mama yao mzazi au baba,sema tu ni kwa sababu hawezi kuuliza,nakushauri kati ya hao unaowapata,chagua mmoja ambaye unaona ana afadhali kuliko wengine,oa weka ndani,ukweli ni kwamba hakuna mwanamke au mwanaume aliyekamilika hivyo angalia ambaye unaweza kubeba madhaifu yake
 
Usikute wewe ndo huna sifa za mume bora, kaa chini ujithathimini Vizuri,,, huwezi kutudanganya eti Kati ya hao wanawake wote uliotembea nao umeshindwa kuchagua mmoja na kumfanya mke.

Au unataka kuoa malaika wewe?
 
Back
Top Bottom