Napata Wanawake sana ila mke sipati sijui shida iko wapi?

Napata Wanawake sana ila mke sipati sijui shida iko wapi?

Punguza sifa ulizojiwekea. Hauwezi pata mke mwenye sifa zite ukizojiwekea,

Pia jaribu kujichunguza wewe mwenyewe yawezekana kuna mahali unakwama maana hawa viumbe wameumbwa ku adapt kutokana na the way ulivyo,
Mazingira utakayomjengea mwanamke naye atakuwa hivyohivyo, namaanisha unaweza chukua mdada hajatulia na kwako akaja akatulia vizuri tuu na unaweza mchukua mdada aliyetulia lakini kwako akaanza kurukaruka, vyote ni kutokana na mazingira utakayomjengea,
Upo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom