Napata Wanawake sana ila mke sipati sijui shida iko wapi?

Napata Wanawake sana ila mke sipati sijui shida iko wapi?

Labda sifa za kuwa mume hauna.... Hilo nalo jaribu kuliangalia
Kwa uandishi wake kiuhalisia akikutana na mwanamke mwenye akili jamaa anakua down maana mwanaume unawazaje kumpa mtu mimba aibebe umlipe? Na ukiulizwa gharama za kubeba mimba siku moja unazijua? Akili ndio inayofanya mtu aonekane tofauti na wengine sasa mleta mada hana akili unatarajia atapata mke
 
Halafu anajisifu kutembea na wanawake tofauti tofauti tena wadangaji. So sad
 
Nimekuelewa ila mke mwenye sifa ya uke anapatikana kwenye harakati zakl za maisha so nianze kukuuuliza maswali yafuatayo
1/Wewe dini gani
2/Unapenda mwanamke mmwenye muonekano gani na tabia
3/Unatumia approach gani kutongoza
4/Una sifa gani mhuni/mpole nk
5/Unafanya kazi mazingira gani

Kwaupande wangu sijaoa ila mke nimempata kwenye harakati za maisha hapahapa kwenye jengo la ofisi nazofanyia kazi, tiali nilikuwa na sample ya mke kichwani yeye akafiti humo tabia, lifestyle nk chakuongeza Ni brand new (simu kwenye box) tujaongelea ndoa ila yupo tayari mimi nikisema tu kimsingi Sina hela nyingi ila naweza mpa 2000 akaniambia utajaaliwa zaidi pesa yangu kubwa kumpa kwa pamoja 5000 sijisifu tunaweza kuja achana ila huyu ni anasifa ya mke mwema.
 
Tafuta demu mmoja,mtunze,mgaramie,mfanye malaya wako mwisho lazima awe mke wako..
Niliwahi kufanya hivyo lakini mwisho wasiku iliikua ni huzuni tuu.. kwani aliniacha na nilipo uliza nilijibiwa tuu kirahisi kua hakunipenda bali alipenda huduma
 
Uwe unajifunza kusoma between the line. Ujumbe uliojificha hapo ni wameona hakuna baba serious wa kulea familia ya mke na mtoto hapo.

Haujilizi kwann mabinti wengi wanazaa na wanaume za watu wakijua wana wake zao na ndoa zao? Jibu ni simple, mwanamke anavutiwa na anachokiona kwa macho kwanza ndipo hisia zinashika kasi. Akiona mume wa mtu akili yake inamwambia huyu ndio baba wa familia, mletee ushindani mkewe aachwe uchukuliwe wewe. Na ndio maana huwa wanapata ujasiri wa kupata hata watoto nao.

Ukitaka kuprove hili,anza kubadilika wewe anza kuwa serious na mipango yako, hao wanawake unaodate nao tazama vigezo vya msingi vya mke kama kutii na kuelewa maelekezo,kukaa chini na wewe na kupanga maisha.
Sawa mkuu na shukuru sana
 
Nimekuelewa ila mke mwenye sifa ya uke anapatikana kwenye harakati zakl za maisha so nianze kukuuuliza maswali yafuatayo
1/Wewe dini gani
2/Unapenda mwanamke mmwenye muonekano gani na tabia
3/Unatumia approach gani kutongoza
4/Una sifa gani mhuni/mpole nk
5/Unafanya kazi mazingira gani

Kwaupande wangu sijaoa ila mke nimempata kwenye harakati za maisha hapahapa kwenye jengo la ofisi nazofanyia kazi, tiali nilikuwa na sample ya mke kichwani yeye akafiti humo tabia, lifestyle nk chakuongeza Ni brand new (simu kwenye box) tujaongelea ndoa ila yupo tayari mimi nikisema tu kimsingi Sina hela nyingi ila naweza mpa 2000 akaniambia utajaaliwa zaidi pesa yangu kubwa kumpa kwa pamoja 5000 sijisifu tunaweza kuja achana ila huyu ni anasifa ya mke mwema.
1: mkristo
2: mke mwema in general
3:Meet and seduce
4: mpole
5: mazingira ya hospital , japo hapa siwezi pata mke nisha pima sana na ndipo napatiaga sometime wanawake ambao unakuja kugundua baadae hawa ni wadangaji au mademu tuu
 
Habari za asubuhi ndugu zangu...

Katika harakati zangu nataka kuoa ila mwanamke wa kuoa sipati kabisa pia napenda sana niwe na familia ila mama mtoto ndie awe mke na awe mama kweli kweli maana sitaki kabisa wanangu waishi katika mfumo wa malezi ya mzazi mmoja au walio achana

mademu napata wakutosha na nyapu za kutuliza maomivu ya kukosa mke napata tuu kirahisi , kweli mademu wote naopata hawana hata sifa ya kuwa mke au angalau hata mama mtoto. Imefika mahali nasema sometime kama hali ni hii bora nikubali kukosa mke ila watoto wapate mama bora kwa kweli na dhani wa Baba wameelewa hapa kwenye kukosa mke ila watoto wapate mama bora.

Kiukweli hii hali inatisha sana mpaka nahisi labda ni mkosi japo nimepiga maombi naona sasa yanagonga mwamba nataka nigairi kila kitu niishi kama kivuli au upepo na niwe mbinafsi sana na kujijali mwenyewe na swala la kuoa ni gairi ila moyo na nafsi havitaki kusikilizana napo taka kugairi huu mpango.

Nimefikiria niangalie mwanamke mwenye afadhali ni mwombe anibebe mimba hata kwa kumlipa ila nikiwaza mwanangu atakua mbali na mimi au mimi kua mbali na mwanangu, au wakati mwingine mtoto kuwa mbali na mama yake naona kabisa sitomtendea mtoto haki yake na moyo unakataa japo mwili unaforce nifanye hivyo..

Ndugu zangu. Nishaurini nifanyaje wakuu

Umri wangu ni ule ule 31+ wakuu
Unafanya uzinzi af unapiga maombi we chenga kweli
 
Punguza sifa ulizojiwekea. Hauwezi pata mke mwenye sifa zite ukizojiwekea,

Pia jaribu kujichunguza wewe mwenyewe yawezekana kuna mahali unakwama maana hawa viumbe wameumbwa ku adapt kutokana na the way ulivyo,
Mazingira utakayomjengea mwanamke naye atakuwa hivyohivyo, namaanisha unaweza chukua mdada hajatulia na kwako akaja akatulia vizuri tuu na unaweza mchukua mdada aliyetulia lakini kwako akaanza kurukaruka, vyote ni kutokana na mazingira utakayomjengea,
 
Back
Top Bottom