We jamaa tuambie Polepole alipo.Kuna muda na msapot Polepole lazima tujenge ile nchi ya kukosoana tukiwa ndani ili hawa watawala manyani wasianze mambo ya
Ila namlaumu kwa kutokwenda angalau kuishi penye ulinzi mkali ndani ya nchi!
Angekuwa na Mabaunsa kama 30 hivi
Hao ni ma dayaspora tuuu
Britanicca
... mtu asiyeridhika na kingi alichonacho mwisho wake huwa sio mzuri!Kilichotokea kwa polepole ni sawa na lowasa.
Polepole aliambiwa tangulia tunakuja, anza kwa kuandika barua ya kujiuzulu, wewe ndiyo utaongoza mapambano. Jamaa kavuka mto akajikuta yupo peke yake.
Lowasa aliambiwa tangulia chadema tunakuja akajikuta yupo na mgeja, mgana msindai na guninita
Wenzake wale walomwambia tangulia ndo wakawa wanamcheka
Aliyemchoma H. P ni Mzee butiku. Huyu ni miiongoni mwa walomwambia jamaa atangulie
Sasa Butiku nae ana nguvu gani serikalini au kwenye chama.Kilichotokea kwa polepole ni sawa na lowasa.
Polepole aliambiwa tangulia tunakuja, anza kwa kuandika barua ya kujiuzulu, wewe ndiyo utaongoza mapambano. Jamaa kavuka mto akajikuta yupo peke yake.
Lowasa aliambiwa tangulia chadema tunakuja akajikuta yupo na mgeja, mgana msindai na guninita
Wenzake wale walomwambia tangulia ndo wakawa wanamcheka
Aliyemchoma H. P ni Mzee butiku. Huyu ni miiongoni mwa walomwambia jamaa atangulie
Hivi bado yupo hai?Kwamba ndugu Polepole alikuwa hajui kama kujirecord vidio kama zile na upo ndani ya nchi ingemletea shida?
Kwamba alikuwa na uelewa mdogo kuhusu teknolojia?
Inakuwaje unajipiga picha au recording na kusema hapa ni wapi kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa
Au kipindi anafanya hayo alilewa🙄
Pia soma Kupotea kwa Humphrey Polepole kumefanya hata walio CCM wajione wao sio lolote wala chochote. Ni onyo ma kitisho
Pole Pole alikuwa mbele ya muda.Sasa Butiku nae ana nguvu gani serikalini au kwenye chama.
Lakini Wapo waliodai kuwa Polepole alirogwa,
Kuna muda na msapot Polepole lazima tujenge ile nchi ya kukosoana tukiwa ndani ili hawa watawala manyani wasianze mambo ya
Ila namlaumu kwa kutokwenda angalau kuishi penye ulinzi mkali ndani ya nchi!
Angekuwa na Mabaunsa kama 30 hivi
Hao ni ma dayaspora tuuu
Britanicca
Kuna muda na msapot Polepole lazima tujenge ile nchi ya kukosoana tukiwa ndani ili hawa watawala manyani wasianze mambo ya
Ila namlaumu kwa kutokwenda angalau kuishi penye ulinzi mkali ndani ya nchi!
Angekuwa na Mabaunsa kama 30 hivi
Hao ni ma dayaspora tuuu
Britanicca
Hakuna teknolijia hiyo kama ipo tuekezee, zaidi ni mzee butiku ndie alimchomaKwamba ndugu Polepole alikuwa hajui kama kujirecord vidio kama zile na upo ndani ya nchi ingemletea shida?
Kwamba alikuwa na uelewa mdogo kuhusu teknolojia?
Inakuwaje unajipiga picha au recording na kusema hapa ni wapi kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa
Au kipindi anafanya hayo alilewa🙄
Pia soma Kupotea kwa Humphrey Polepole kumefanya hata walio CCM wajione wao sio lolote wala chochote. Ni onyo ma kitisho
Ndude ananiuma sanaPolepole ndiyo basi tena ,ameenda kama Ben Saanane ,kama Azory ,Kama Soka ,Kama Mdude n.k
Homera atakuja kujibu oneday alimzika wapi Mdude.Ndude ananiuma sana
Angeongea na akina Kimambi wampe maarifa.Kwamba ndugu Polepole alikuwa hajui kama kujirecord vidio kama zile na upo ndani ya nchi ingemletea shida?
Kwamba alikuwa na uelewa mdogo kuhusu teknolojia?
Inakuwaje unajipiga picha au recording na kusema hapa ni wapi kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa
Au kipindi anafanya hayo alilewa🙄
Pia soma Kupotea kwa Humphrey Polepole kumefanya hata walio CCM wajione wao sio lolote wala chochote. Ni onyo ma kitisho
Huyo mzee alijuaje alipo?Hakuna teknolijia hiyo kama ipo tuekezee, zaidi ni mzee butiku ndie alimchoma
Alikuwa anawasiliana naeHuyo mzee alijuaje alipo?