Napata Shida

Napata Shida

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,643
Reaction score
1,175
Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart,unajipanga unampiga saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 26 years..utamsikia,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys who are 45 years above...Wanajua kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anajua kabisa miaka 26 bado ndo unasaka hela,ndo umeanza maisha huna cha kumhonga,ukijitahidi sanaaa utampeleka shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!
Anakuita Kid bila aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba na jitu la miaka 47..Uongo mtupu!Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare hadi afike miaka 45??Nyie semeni tu mnawalia timing coz mnajua mtu mwenye miaka 45 anakuwa ameshajipanga,amefanya kazi ana hela,unajifanya unampenda kumbe Parasite tu unataka kumnyonyoa mafao yake ya uzeeni,hamna hata aibu..Mnapenda sana vitu ready made,tengenezeni vya kwenu,ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke mwenzio amefanya kazi kumfikisha hapo alipo,we unakuja unadandia tu,,,Kama kweli una mahaba tafuta mwanaume wako,panda nae daladala za Buguruni mrukie wote dirishani,msotee maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi wote halafu akifika miaka 45 uone kimwanamke cha CHUO kinamsogelea eti she caring uone inavyouma,utatamani umpige patasi ya kisogo...Gold diggers,waone kwanza,msione gesi mtwara mshaanza kuandamana!45years guy waiting for u student of 23 years,ina maana miaka yote hiyo alikuwa Stevie Wonder au??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampen-da Mwanamke kabisa from ur heart,unajipang-a unampiga saundi..anakuji-bu,''How old are you kaka'' unamwambia am 29 years..utamsiki-a,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys who are 45 years above...Wanajua- kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anaj-ua kabisa miaka 29 bado ndo unasaka hela,ndo umeanza maisha huna cha kumhonga,ukijit-ahidi sanaaa utampeleka shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!
Anakuita Kid bila aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba na jitu la miaka 47..Uongo mtupu!Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare hadi afike miaka 45??Nyie semeni tu mnawalia timing coz mnajua mtu mwenye miaka 45 anakuwa ameshajipanga,a-mefanya kazi ana hela,unajifanya- unampenda kumbe Parasite tu unataka kumnyonyoa mafao yake ya uzeeni,hamna hata aibu..Mnapenda sana vitu ready made,tengenezen-i vya kwenu,ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke mwenzio amefanya kazi kumfikisha hapo alipo,we unakuja unadandia tu,,,Kama kweli una mahaba tafuta mwanaume wako,panda nae daladala za Buguruni mrukie wote dirishani,msote-e maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi wote halafu akifika miaka 45 uone kimwanamke cha CHUO kinamsogelea eti she caring uone inavyouma,utata-mani umpige patasi ya kisogo...Gold diggers,waone kwanza,msione gesi mtwara mshaanza kuandamana!45ye-ars guy waiting for u student of 23 years,ina maana miaka yote hiyo alikuwa Stevie Wonder au??

Hahahahaha umeua mkuu sijapata ona,maisha ya kwenye tamthilia yanawayumbishe mithili ya jahazi baharini lol
 
Wanakera sana wanawake wa aina hiyo tena ukimpata mpenda mavumba ndo usiseme utasikia "sihitaji mwanaume suruali, hapa ni mwendo wa tichi tachi".
 
Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampen-da Mwanamke kabisa from ur heart,unajipang-a unampiga saundi..anakuji-bu,''How old are you kaka'' unamwambia am 29 years..utamsiki-a,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys who are 45 years above...Wanajua- kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anaj-ua kabisa miaka 29 bado ndo unasaka hela,ndo umeanza maisha huna cha kumhonga,ukijit-ahidi sanaaa utampeleka shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!
Anakuita Kid bila aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba na jitu la miaka 47..Uongo mtupu!Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare hadi afike miaka 45??Nyie semeni tu mnawalia timing coz mnajua mtu mwenye miaka 45 anakuwa ameshajipanga,a-mefanya kazi ana hela,unajifanya- unampenda kumbe Parasite tu unataka kumnyonyoa mafao yake ya uzeeni,hamna hata aibu..Mnapenda sana vitu ready made,tengenezen-i vya kwenu,ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke mwenzio amefanya kazi kumfikisha hapo alipo,we unakuja unadandia tu,,,Kama kweli una mahaba tafuta mwanaume wako,panda nae daladala za Buguruni mrukie wote dirishani,msote-e maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi wote halafu akifika miaka 45 uone kimwanamke cha CHUO kinamsogelea eti she caring uone inavyouma,utata-mani umpige patasi ya kisogo...Gold diggers,waone kwanza,msione gesi mtwara mshaanza kuandamana!45ye-ars guy waiting for u student of 23 years,ina maana miaka yote hiyo alikuwa Stevie Wonder au??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
umenena kaka. mabinti wengi hasa wa vyuo wanapenda sana miteremko, hawajui mtu alisaga miguu, jua kali linamuwakia, ameloana na mvua na kutembea peku baada ya kukatikiwa na sendoz au viatu kutoboka akiwa anatafuta maisha.
tena utasikia siku hizi wanaita daaaady, ovyooooooo tafuta wako muanzie chini ndo awe dady kwa wanao, sio unamendea wa mtu mwenye age ka ya babako afu unambania pua.
 
Ha ha ha ha..Tatizo lenu vijana hela zenu mnazicikilizia sana fedha zenu.. Mnataka mkubaliwe kwa mashairi tu na swaggas za bure.. Enzi zetu ndo mashairi yalikuwa yanafanya kazi.. Ciku hizi mjitahidi kuhonga vijana..
 
Mpaka wewe kaka,,najua utakua unatania tu mkuu,,,TUJITAHIDI KUHONGA?? sikuungi mkono kabisaaaaaa
 
Pole sana kaka, naona yamekukuta
Mayb yes Mayb not,,,Nimewakilisha Vijana woote humu Jamvini,,Haswa hivi vibinti vinavyoojita eti watoto wa mjini<<MTOTO WA MJINI HATA 1st degree HUNA??? KAZI KUCHUNA WATU TUU,,nina hasira sana ujue:A S angry: nimevimba vibaya mnoooo
 
ha ha ha ha ha! pole sana mkuu ,ila usikate tamaa wa dizaini yako pia bado wapo.......... halafu akuulize how old are you , kwani ana akili ndogo sana kushindwa kutofautisha kid wa 26 na guy wa 45?
ana mashauz tu huyo
 
Aise hawa watoto wa 20s ni balaa!! Wanataka maisha ya hali ya juu na wanaweza kuyapata tu kwa masugar daddy tu!! Kwa taarifa hata ukishamuoa usipokuwa makini bado atakuwa anatumbua kwa mzee mzima tu? Vivoda fasta hivi ni hatari!! Parasites!!
 
Mayb yes Mayb not,,,Nimewakilisha Vijana woote humu Jamvini,,Haswa hivi vibinti vinavyoojita eti watoto wa mjini<<MTOTO WA MJINI HATA 1st degree HUNA??? KAZI KUCHUNA WATU TUU,,nina hasira sana ujue:A S angry: nimevimba vibaya mnoooo
Unawakilisha vijana wote humu jamvini kivipi?
Did they designate you by cooptation or election?
Wanajua unawawakilisha kwa njia hii au auto-proclaimed?
Wewe kama umepigwa chini kaa utunze majeraha yako tu
sio useme kua unawakilisha vijana wote humu jamvini
 
Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart,unajipanga unampiga saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 26 years..utamsikia,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys who are 45 years above...Wanajua kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anajua kabisa miaka 26 bado ndo unasaka hela,ndo umeanza maisha huna cha kumhonga,ukijitahidi sanaaa utampeleka shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!
Anakuita Kid bila aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba na jitu la miaka 47..Uongo mtupu!Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare hadi afike miaka 45??Nyie semeni tu mnawalia timing coz mnajua mtu mwenye miaka 45 anakuwa ameshajipanga,amefanya kazi ana hela,unajifanya unampenda kumbe Parasite tu unataka kumnyonyoa mafao yake ya uzeeni,hamna hata aibu..Mnapenda sana vitu ready made,tengenezeni vya kwenu,ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke mwenzio amefanya kazi kumfikisha hapo alipo,we unakuja unadandia tu,,,Kama kweli una mahaba tafuta mwanaume wako,panda nae daladala za Buguruni mrukie wote dirishani,msotee maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi wote halafu akifika miaka 45 uone kimwanamke cha CHUO kinamsogelea eti she caring uone inavyouma,utatamani umpige patasi ya kisogo...Gold diggers,waone kwanza,msione gesi mtwara mshaanza kuandamana!45years guy waiting for u student of 23 years,ina maana miaka yote hiyo alikuwa Stevie Wonder au??

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

nitafute ili iweje?acha tule za wazee wanajua kuhonga,,,,but hapendwi m2 inapendwa pochi
 
Hapo umenena kaka,nina rafiki yangu alipigwa kibuti na mchumba'ake kisa msichana anadai hayuko tayari kwenda clinic kwa daladala kwa kuwa rafiki yangu ndo kwanza alikuwa kaajiriwa na hana hata gari.
Nishawahi kuwasikia mabinti wakati niko chuo wanadai eti wao kwenye ndoa ni KWA RAHA TU,WAKATI WA SHIDA mwanaume peke yake!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kijana usiwe na tatizo ....unaongea hivyo koz huna hela kamata hela na utawagegeda hao mpaka uchoke na hapo u will have the power...gegeda na kuwabwaga while bado wanataka maofa yako lol.

second thing mbona hujawakandia hao wanaowachezea watoto wadogo wakati home wana wake....dnt be one sided ata sie wanaume tunaendekeza umalaya ndio maana tunavegeda hao watoto ambao kwa kwelipesa kwao ni mtego mkubwa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom