Miss Pirate
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 305
- 75
How old are you, if I may ask?
basi kama hutaki kuhonga utabaki kwa kula kwa macho, maana watoto wa siku hizi mashairi hayapandi hatakidogoMpaka wewe kaka,,najua utakua unatania tu mkuu,,,TUJITAHIDI KUHONGA?? sikuungi mkono kabisaaaaaa
jifunze kutojibu maswali
Pesa kwanza penzi badae!!!!
ok najua mtasema sana nini na nini...point ya msingi hela utazitumbua nini..na nini..ila usisahau kwamba kuna ku "keep the change"= HIV/AIDS.... can you pay the price of keeping the change?womaaaan....enh?...ova...nitafute ili iweje?acha tule za wazee wanajua kuhonga,,,,but hapendwi m2 inapendwa pochi
Pesa kwanza penzi badae!!!!
Mayb yes Mayb not,,,Nimewakilisha Vijana woote humu Jamvini,,Haswa hivi vibinti vinavyoojita eti watoto wa mjini<<MTOTO WA MJINI HATA 1st degree HUNA??? KAZI KUCHUNA WATU TUU,,nina hasira sana ujue:A S angry: nimevimba vibaya mnoooo
Hivyo vijanamke vipo sana tu! Vinakera km harufu ya mdomo!!
mwambie huyo...k imekuwa commercialized...aliyekuwa na hela nyingi ndio anaye isasambua hahahha
How old are you, if I may ask?[/QUOTE
Since I am part of the universe, I am as old as that, but my parts have been organized somewhat consistently into "me" for 26 revolutions around the STAR we call the sun. (kwa lugha nyepesi 26 and broke)
Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart,unajipanga unampiga saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 26 years..utamsikia,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys who are 45 years above...Wanajua kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anajua kabisa miaka 26 bado ndo unasaka hela,ndo umeanza maisha huna cha kumhonga,ukijitahidi sanaaa utampeleka shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!
Anakuita Kid bila aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba na jitu la miaka 47..Uongo mtupu!Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare hadi afike miaka 45??Nyie semeni tu mnawalia timing coz mnajua mtu mwenye miaka 45 anakuwa ameshajipanga,amefanya kazi ana hela,unajifanya unampenda kumbe Parasite tu unataka kumnyonyoa mafao yake ya uzeeni,hamna hata aibu..Mnapenda sana vitu ready made,tengenezeni vya kwenu,ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke mwenzio amefanya kazi kumfikisha hapo alipo,we unakuja unadandia tu,,,Kama kweli una mahaba tafuta mwanaume wako,panda nae daladala za Buguruni mrukie wote dirishani,msotee maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi wote halafu akifika miaka 45 uone kimwanamke cha CHUO kinamsogelea eti she caring uone inavyouma,utatamani umpige patasi ya kisogo...Gold diggers,waone kwanza,msione gesi mtwara mshaanza kuandamana!45years guy waiting for u student of 23 years,ina maana miaka yote hiyo alikuwa Stevie Wonder au??
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
wewe ni Seth De Jesus Giovan? Kama siye why hujamuacknowledge kwa uzi huu ulioucopy ktk wall yake facebook? Halafu umecopy hadi nukta hata kuedit? PRAGIARISM! Teh teh teh!
nani kasema watu wanapiga kama kawa bila mshiko wala nini akija kushtuka kashaumia zamanibasi kama hutaki kuhonga utabaki kwa kula kwa macho, maana watoto wa siku hizi mashairi hayapandi hatakidogo
neggirl hapo umenena .......mwisho wa siku oooh mbona siolewi mfuate babu yako uyo akuoe............ila ukitaka kula lazima uliwe kidogo .....source JKpole sana Rural Swagga
wasikusumbue kichwa hao.. hawa wa type hii ndo wale wanakujaga kupost huku ooo sijampata nimpendae, oooo natamani kuolewaaaa na wakati alikuwa anakula hot cake na babus lol, sasa babus ana familia na mambo yake. (msinitupie mawe uwiiiii )
Lakini na wewe mkuuu usipende sana vya bure lol..!