Napata shaka kama ana mapenzi ya dhati kwangu

swank

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
748
Reaction score
1,043
Habarini wana MMU,

Naombeni mnipe ushauri kwa hii changamoto ninayoipitia sasa!

Mimi ni binti niliyekuwa kwenye uhusiano kwa muda wa miaka mitatu lakini huyo boyfriend wangu sikuwahi hisia nae sana ila niliingia kwenye mahusiano naye ili tu kujipooza nafsi mara baada ya kuachana na boy mwingne!

Ninekua kwake muaminifu siku zote na haijawahi tokea tugombane, labda kwa mambo madogo madogo tuu!
(Kumbuka moyo wangu haujamkubali sema nashindwa kutoka)

To cut the story Short, nilikutana na kijana fulani kwenye dala dala! Honestly, Moyo wangu ukaangukia hapo! Yule kijana akanipa contacts zake ukawa mwanzo wa kuwasiliana nae!

Huyu kijana (mpya) amekuwa na kawaida ya kunitafuta usiku tuu, yaani nashindwa kuelewa shida nini but may be he is kinda busy so I can't complain!

So, last week aliniita niende home kwake! Nikaenda na nikalala hapo! Lakini kinachoniumiza ni kuwa hakuwa na time na mm kabisa! Nimefika tu akataka game nivompa ht dkk10 hazijafika akaaga anaenda kuprint document akaja kurudi saa6 usiku hapo kumbuka mm ni mgeni na sikula kitu chochote toka nafika!

Pia hana story na mm kabisa, yaani yupo busy busy na anachokifanya ht hakieleweki!

Wana MMU, naombeni mnishauri ni kweli ananipenda huyu mtu? Maana naumia sana si mnajua mtu ukipenda tena!
Dooh!!

Hapa nipo kwenye dillema, nibaki na huyu boyfriend wangu au nimgande huyu kipenzi changu kipya

NB: Kejeli na matusi hayatosaidia, hili ni janga na kila mtu humpata!
 
Wewe ni chawote..! Kahaba mkubwa wewe kila mtu unatoa papuchi, hapa tu wamefika wa3, hivi hayo mashimo hamuyahurumii wapuuuzi nyie.
 
Pole sana hapo umepata bahati mbaya! Ushauri mm nafikiri ungemwacha huyo mpya maana huwezi kukufanyia hivyo kwa mtu anayekupenda na utanyanyasika maisha yako yote! Ni afadhali Ubaki kwa kaka wa kwanza ambaye hata kama humpendi sana Ila Upo salama kwa maisha ya mapenzi Ila pia kwa afya yako ya mwili. Kupenda kunakuja siku mnavyozidi kukaa pamoja
 
Wewe ni mmoja kati ya wale aliowaita mkapa marofa anayekupenda humpend kisa tu unakuta hana sijui ile six pac na havai katakundu, umeenda kwa shalobalo asiwe haata na time na wewe unakuja kutuomba siye ushaur shubamitttttttti shabashiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaujua moyo? Ushawahi kupenda? Unaweza penda chizi na watu wakakushangaa wala sijampendea hizo sifa unazoziwaza! Thanks for your advice though
 
Wewe ni chawote..! Kahaba mkubwa wewe kila mtu unatoa papuchi, hapa tu wamefika wa3, hivi hayo mashimo hamuyahurumii wapuuuzi nyie.
Shubamiiitiiiii shabashiiiiiiiii

Acha nicheke mie

Hata mie nimeshutuka mkuu kama hapa wamefika watatu si atakuwa ana folen ya mabwana huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni chawote..! Kahaba mkubwa wewe kila mtu unatoa papuchi, hapa tu wamefika wa3, hivi hayo mashimo hamuyahurumii wapuuuzi nyie.
Asante! Lakin kwa kukujuza tuu nina miaka 24 My first boyfriend tuliachana 2013. Ndo nikakimbilia kwa huyo niliemuita tulizo now I have fallen for the other guy! Huo ni umalaya? Sidhani kama ht demu wako kapitia wanaume wachache ivo
 
Back
Top Bottom