FHL, Pole kaka yangu kwa yanayokusibu during this time. Naomba ujiulize kabla haujaweka a hard decision Je kabla ya ujauzito Je alikuwa hivyo hiyo mchumba wako?
Kama yes yatizame Je yanafanana, na yes ni mangapi, na kama no basi itakuwa ni ujauzito, naomba umsome vizuri huyo Dada kwa sababu dear vimeo Viki bungo na ukishafunga ndoa ndio basi hiyo kwa wale Wa kanisani!.
Kumpa ujauzito huyo mchumba isiwe sababu ya wewe kulazimishwa au kulazimisha kufunga Ndoa kisa ni ujauzito, have you think about your hapinness? Okay may be not how about her happiness? Or how about your unborn baby?
Listen bro don't move or make decision with emotional think a head. And I'm not say this ummisi treat your woman no , hebu kwanza kabla hujawaza kumuoa soon , waza jinsi uhusiano wenu ukoje. Kama kuna nyufa zitengenezwe pole pole then ndio step ya ndoa ianze.
Inmean time naomba uvumilie Mtoto azaliwe baada ya hapo usiharakishe ndoa , fuatilia hali kwanza itakavyokuwa kama ulilwa the same then huyo ndio tabia yake na si ujauzito tena , hapo sasa ndipo pa kufikiria nini utafanya. Na kama baada ya kujifungua Haya mambo ya sasa yakiwa hayapo then mkae chini mpange mipango yenu ya maisha.
Katika kipindi hichi wakati unavumilia jaribu kuongea nae kwa upole na kumuuliza kulikoni , just put your feelings out there , jinsi unavyojisikia kwa Yale anayokufanyia , usichoke dear ndio mahusiano hayo, kama ukiona haisadii kwa kueleza hisia zako ,basi vumilia kwa sasa mpaka hapo Mtoto azaliwapo na ujaribu tena kuongea nae.
Only in only just follow your heart kwa maana wewe ndiye unamjua huuo mpendwa wako. One thing kufanya mchepuko si deal maradhi kibao out there. Halafu kumbuka kuachana na baby Mama wako haionyeshi kuwa you ate a bad father no, as long as you will b there for your child nothing wrong .
Ila jaribu kama mtaweza kufix mambo yenu it will.be even better for your little one. Good lucky! Thanks.