Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Jaribu kufanya taamuli na ifanye kwa dhati kabisa kwa lengo la kujiboresha wewe mwenyewe.
Solution: huyo mtu unayemchukia jaribu kuwa nae karibu na ufanye nae shughuli(kazi) pamoja !!utakuja kugundua licha ya mabaya yake ambayo umejijengea taswira moyoni mwako anayo yake mazuri mengi tu hapo taratibu utaanza kumpenda and letting it go
Kumbuka jinsi unavyozidi kujenga nae umbali ndo utazidi kumchukia
Pole Senior Boss, hili ni tatizo dogo ukimtanguliza Mungu . Maandiko matakatifu yanasema kisasi ni cha Mungu. Tena ikibidi mtendee wema huyo aliekuudhi ili yeye ajiulize maswali, kwamba pamoja na yote haya bado unamjali
yeah pride kills many peopleThats wise nd kind of true....but pride is what kills us humans u kno. " Ile hali like, muone kajileta mwenyewe".
Senior boss kuliongea tuu kutoka moyoni ni one of the medicine...jaribu kuwaza good things za huyo ndugu alizowah kukufanyia hata kama ni moja. Usimfanyie baya kwan waweza kuja kujuta maisha yako yote yaliyobaki.
Achilia kilichopo moyoni huku ukimuomba Mungu akupe uwezo ktk hili kwan kwa nguvu ya kibinadamu yaweza kukushinda. Let the past go and don't allow it eats you. U have a bright future a heard of u usiruhusu kwenda na roho hiyo. Kisasi mwachie Mungu. Have fun talk with friends itaisha tu.
Mwaah and cheerup!
Jaribu kufanya taamuli na ifanye kwa dhati kabisa kwa lengo la kujiboresha wewe mwenyewe.
Mi mwenyewe nina kinyongo na wewe. M,bongo kujifanya Mzungu, kingreza ma.vi. nini na nini kila komenti. Nifanyaje? Ushauri wangu kalale Barabarani wakati semi inakuja120.