serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,354
- 4,772
Hahahahahahaaa... Transparency for prosperity ...hata kama ndo uwazi aisee ndo mpaka mmefikia huko dooh
Hahahahahahaaa... Transparency for prosperity ...hata kama ndo uwazi aisee ndo mpaka mmefikia huko dooh
hahahahahahahaHahahahahahaaa... Transparency for prosperity ...
ni mvulana anayepevuka analeta stori za kombolela hapa........ kuandika kwenyewe ni mungu tu anajua kusoma hahaha ngoja nitafute deal za pesa mieZingatia ushauri wa wachangiaji waliotangulia, mimi sijasoma kabisa stori
Aisee Ledada unaonaje na sisi tukawaiga hawa watu..transparency [emoji125] [emoji125]hahahahahahaha
hahahahahaAisee Ledada unaonaje na sisi tukawaiga hawa watu..transparency [emoji125] [emoji125]
Mana hiyo kauli mimi naona dhairi ananipima ntajibu nin au ntaionaje si bule keshawekwa mambo ya kazini sio watu wanachapiwa wake sembuse mchumba??
KUOA SIO TATIZO HATA UKIOA KAMA AMEZOEA KUCHAPWA ATACHAPWA TUAshkum c matusi..Kuchamba kwingi kutoka na mavi.
Mnachunguuuuuuzaaa,mnasubiriaaaaanaaaa,mwisho wa siku kutahamaki muda umeenda
Fanya maamuz sahihi muoe msitiri zaid ili asipate vishawishi kama kweli anajitunza kama usemavyo
Shukrani ntaufanyia kaziUshauri unaopewa wa kuachana na mwanamke wako ni zaidi ya uovu. Wanaokwambia umuache wenyewe hawana hata wa kuwaita 'mpnz' roho zinawauma!
Nionavyo mimi huyo binti hajui msimamo wako kwake pindi akijua kwamba utamuoa hataweza kufikiria kutoka nje. Tunza hilo penzi mkuu ukilipoteza utajutia! Kupata mpenzi mwaminifu na unaye "mfeel "ni issue siku hizi ikiwezekana peleka posa na mwamishe awe karibu.
HahahaKUOA SIO TATIZO HATA UKIOA KAMA AMEZOEA KUCHAPWA ATACHAPWA TU
Hata mi nimeshangaahata kama ndo uwazi aisee ndo mpaka mmefikia huko dooh