Chapakila
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 291
- 1,440
Nina mchumba nipo nae mda na nna mipango nae japo bado sijamuonyesha yet ila nimeridhika nae. Mimi ndie niliemtoa sield/kufungua njia na ni mda mda ka miaka mi3 nyuma ndo nlitunukiwa iyo zawadi.
Tupo mikoa tofauti na kazi zimetubana so show azipigwi as before hatujaonana ka miezi mitano inaelekea sita sasa. Ni mwaminifu na namuamini tunaminiana (Najua mtaguna na kusema kimoyo maneno kadhaa ila ni kweli anajisitiri na kujiheshimu na kunitunzia heshima mimi). Sasa tatizo ni hili waungwana,
Katika mazungumzo yetu akafunguka kua ajawai hisi ivi sijui ni hizo hamu zinasababisha kaniambia for the first time anataman kulala na mfanyakaz mwenzie. Hamtamani kuwa mpenzi wake no ila akimuona tu anataka kumpa aichape. Kwa kua alifunguka mi nkamshauri kua asiwe karibu nae au kukubali waende wote awhwmu za starehe japo moyoni najua hii ni red alert kama bado ajachapwa basi atachapwa tu .
Sijui kwa wengine mtalichukuliaje ila mimi binafsi tayari naona disco kaingia mmasai mbaya zaidi yupo nyanda za kaskazini kikazi ni nipo kusini so you can tell why tumekaa mada bila kuonana na had likizo maybe ndo mmojawapo anaweza mfata mwenzie.
Naombeni mnishauri ni kitu serious sio mzaha Mimi hadi sasa nipo ready for anything na nisha anza kubadili mawazo kuendelea Kua nae.