Naona yamefika mwisho

Naona yamefika mwisho

Huyo mwanamke kuna uwezekano mkubwa sana anataka attention yako,, labda anaona siku hzi humuonei wivu( kuonewa wivu ni raha sometimes) kaamua kukwambia ivo ili umpe attention aone unamjali,,,wanawake bana,,,Kuna mwingine anaweza kutunga kabisa kuwa Fulani ananisumbua ili mwanaume aumie au km ana chelewa kujitambulisha kwao aongeze speed...usipomjua mwanamke atakusumbua hasa ambaye akili yake haija-mature. Hujawahi sikia mwanamke anasingizia anaumwa ili tu aone attention yako
 
Duh no aseme anataka kugawa mzigo?
 
Tulia na huyo demu, millage yake bado ni ndogo. Acha wivu wa kitoto, na wewe mwambie kuna mdada ofisini kwenu anataka kukupa ufanyaje?
 
Ahahaha simple but sure. Ntaaribu hali ya hewa aisee.

Back
Top Bottom