nafurahije sasa mtu akijisikia hivi!
HONGERA Neiwa
naelewa unavojisikia!
sometimes tusikie matamu jamani sio kila siku vilio vilio hasira visasi!
inatia moyo sana!
mimi penda yu mingi for this!
jipe raha mama!maana RAHA YA KWELI YATOKA NDANI YAKO!ni kujitafuta tu na kuikubali na maisha yanasonga mbele!
raha ujipe mwenyewe kumbuka raha ya kupewa huenda ipo siku ikatoweka but all the best