Naona nikasombe mahitaji ya wiki mbili sasa

Naona nikasombe mahitaji ya wiki mbili sasa

Wiki m ili wakati ugonjwa umeingia stage ya kwanza?.
kama unataka kuji isolate weka miezi 6 maximum
Hahahahah, hapana mkuu. Ntafilisika, hapo itabid serikal iingilie kat kula yangu
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Demu wako atakuwa Mpare nini Mganga maana wapare kwa kupenda ngono ni Mungu na Daktari tu wanaweza kujua, anataka karentini imkute geto ili aikomoe kama sio yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Ushauri wangu chukua vitu vikavu...tambi, makaroni, mchele, maharage, nyanya za kopo,/pakti, sukari, chumvi, unga wa ngano. Mahindi, maziwa ya UHT n.k. nyama, samaki, mayai, maziwa, mikate hizo Ni perishables..haziwez kaa muda mrefu
Kwel mkuu, hzo zingne ntafata kesho,
 
Ana friji boss atahifadhi humo.
Ushauri wangu chukua vitu vikavu...tambi, makaroni, mchele, maharage, nyanya za kopo,/pakti, sukari, chumvi, unga wa ngano. Mahindi, maziwa ya UHT n.k. nyama, samaki, mayai, maziwa, mikate hizo Ni perishables..haziwez kaa muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well let me see
1. Mchele
2. Unga noo, mimi mwanaume wa Dar
3. Maharage
4. Maji ya kunywa
5. Should i take ng'ombe kuku or samaki
6. Condoms box zima or pakiti 5 tu
7. Sugar
8. Bread
9. Sanitizers na mask kadhaa
10. Fruits
11. Milk
12. Multivitamins za kutosha

Well, ujue sio kwamba naogopa sana ila am kinda frightened.

Demu wangu kanambia anakuja kwangu kipindi chote hiki cha Corona.

Anyway nadhani sijasahau kitu hapo

Uzi tayar...
Kondom au Mimba iliyotarajiwa
 
Aww yah, ujue nmetoka duka la dawa now checking out sanitizers and mask, hakuna, sanitizer nilinunua juz elf 10 Kachupa kadogo leo yule dada ananambia zmeisha zote na kesho watauza elf15 or 20

Though condoms are still there.. Lol
Duuuu
 
Pale stock inaisha baada ya wiki mbili ndio quarantine inaanza[emoji30]

Jr[emoji769]
Mi binafsi nimeamua kutopanikishwa na hii mihemko inayoendelea kwa sasa. Sifanyi shopping wala nini naendelea na maisha yangu ya kawaida. Afta roo nimeshahisi huu ugonjwa inawezekana unapewa promo kubwa kuliko uhalisia wenyewe. Wabongo wote waliozuiliwa China mpaka leo tusisikie yoyote amekufa?
Athari kubwa nayoiona ni kupanda bei za vitu siku chache zijazo baada ya watu wengi kukimbilia kufanya shopping ila baada ya muda mambo yatarudi kama kawaida tu.
 
Back
Top Bottom