Naona nikasombe mahitaji ya wiki mbili sasa

Naona nikasombe mahitaji ya wiki mbili sasa

Pale stock inaisha baada ya wiki mbili ndio quarantine inaanza[emoji30]
Well let me see
1. Mchele
2. Unga noo, mimi mwanaume wa Dar
3. Maharage
4. Maji ya kunywa
5. Should i take ng'ombe kuku or samaki
6. Condoms box zima or pakiti 5 tu
7. Sugar
8. Bread
9. Sanitizers na mask kadhaa
10. Fruits
11. Milk
12. Multivitamins za kutosha

Well, ujue sio kwamba naogopa sana ila am kinda frightened.

Demu wangu kanambia anakuja kwangu kipindi chote hiki cha Corona.

Anyway nadhani sijasahau kitu hapo

Uzi tayar...

Jr[emoji769]
 
Ushauri wangu chukua vitu vikavu...tambi, makaroni, mchele, maharage, nyanya za kopo,/pakti, sukari, chumvi, unga wa ngano. Mahindi, maziwa ya UHT n.k. nyama, samaki, mayai, maziwa, mikate hizo Ni perishables..haziwez kaa muda mrefu
 
Men hupendi kula ugali badala yake unashobokea mikate[emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Dah....mwanaume asbh kula ugali mbuzi choma plus greens za kutosha na mtindi juu..mchana makande na maji mengi..usiku kula matunda sahan nzima!
Dadek
Kwani hukuona hapo anasema yupo Dar [emoji23]
 
Pale stock inaisha baada ya wiki mbili ndio quarantine inaanza[emoji30]

Jr[emoji769]
Dah, maana nmeingia duka la dawa kuulizia sanitizer naambia bro zmeisha, na zilikua znauzwa elf 10 kachupa kadogo no znauzwa elf15 na akanambia kesho si ajab ztakua elf20
 
No 6 😛
Aww yah, ujue nmetoka duka la dawa now checking out sanitizers and mask, hakuna, sanitizer nilinunua juz elf 10 Kachupa kadogo leo yule dada ananambia zmeisha zote na kesho watauza elf15 or 20

Though condoms are still there.. Lol
 
Men hupendi kula ugali badala yake unashobokea mikate[emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Dah....mwanaume asbh kula ugali mbuzi choma plus greens za kutosha na mtindi juu..mchana makande na maji mengi..usiku kula matunda sahan nzima!
Dadek
Bro ugali kwasisi ma bachelor unatupa constipation tuu, bora vyakula lain,
 
Well let me see
1. Mchele
2. Unga noo, mimi mwanaume wa Dar
3. Maharage
4. Maji ya kunywa
5. Should i take ng'ombe kuku or samaki
6. Condoms box zima or pakiti 5 tu
7. Sugar
8. Bread
9. Sanitizers na mask kadhaa
10. Fruits
11. Milk
12. Multivitamins za kutosha

Well, ujue sio kwamba naogopa sana ila am kinda frightened.

Demu wangu kanambia anakuja kwangu kipindi chote hiki cha Corona.

Anyway nadhani sijasahau kitu hapo

Uzi tayar...
Ngoja tuone mbwembwe zinaisha lini
 
Back
Top Bottom