Naona nikasombe mahitaji ya wiki mbili sasa

Naona nikasombe mahitaji ya wiki mbili sasa

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,063
Well let me see
1. Mchele
2. Unga noo, mimi mwanaume wa Dar
3. Maharage
4. Maji ya kunywa
5. Should i take ng'ombe kuku or samaki
6. Condoms box zima or pakiti 5 tu
7. Sugar
8. Bread
9. Sanitizers na mask kadhaa
10. Fruits
11. Milk
12. Multivitamins za kutosha

Well, ujue sio kwamba naogopa sana ila am kinda frightened.

Demu wangu kanambia anakuja kwangu kipindi chote hiki cha Corona.

Anyway nadhani sijasahau kitu hapo

Uzi tayar...
 
Well let me see
1.mchele
2.unga noo, mim mwanaume wa dar
3.maharage
4.maji ya kunywa
5.should i take ngombe kuku or samak
6.condoms box zima or pakiti 5 tuu
7.suger
8.bread
9.sanitizers na mask kadhaa
10.fruits
11.milk
12.multivitamins za kutosha

Well, ujue sio kwamba naogopa saana ila am kinder frightened...

Dem wangu kanambia anakuja kwangu kipind chote hik cha corona..

Anyway nadhan sijasahau kitu hapo

Uzi tayar...
Watu mmefurahii wenyewe, si uchawi huu..
 
Well let me see
1.mchele
2.unga noo, mim mwanaume wa dar
3.maharage
4.maji ya kunywa
5.should i take ngombe kuku or samak
6.condoms box zima or pakiti 5 tuu
7.suger
8.bread
9.sanitizers na mask kadhaa
10.fruits
11.milk
12.multivitamins za kutosha

Well, ujue sio kwamba naogopa saana ila am kinder frightened...

Dem wangu kanambia anakuja kwangu kipind chote hik cha corona..

Anyway nadhan sijasahau kitu hapo

Uzi tayar...
Hata ya miezi 6 ukiweza mambo yanaweza kuwa si mambo.
 
Kwa akili yako unadhani itakaa week 2?
Well let me see
1.mchele
2.unga noo, mim mwanaume wa dar
3.maharage
4.maji ya kunywa
5.should i take ngombe kuku or samak
6.condoms box zima or pakiti 5 tuu
7.suger
8.bread
9.sanitizers na mask kadhaa
10.fruits
11.milk
12.multivitamins za kutosha

Well, ujue sio kwamba naogopa saana ila am kinder frightened...

Dem wangu kanambia anakuja kwangu kipind chote hik cha corona..

Anyway nadhan sijasahau kitu hapo

Uzi tayar...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well let me see
1.mchele
2.unga noo, mim mwanaume wa dar
3.maharage
4.maji ya kunywa
5.should i take ngombe kuku or samak
6.condoms box zima or pakiti 5 tuu
7.suger
8.bread
9.sanitizers na mask kadhaa
10.fruits
11.milk
12.multivitamins za kutosha

Well, ujue sio kwamba naogopa saana ila am kinder frightened...

Dem wangu kanambia anakuja kwangu kipind chote hik cha corona..

Anyway nadhan sijasahau kitu hapo

Uzi tayar...
Demu wako anakuja na corona
 
Huko ulipo asubuhi mama ntilie wanauza supu na ugali au ugali na mbuzi choma.
Men hupendi kula ugali badala yake unashobokea mikate[emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Dah....mwanaume asbh kula ugali mbuzi choma plus greens za kutosha na mtindi juu..mchana makande na maji mengi..usiku kula matunda sahan nzima!
Dadek

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom